Dkt. Emmanuel Nchimbi: Nililipiwa ada na Hayati Mkapa. Nasikitika kutohudhuria mazishi yake

Hata Ridhiwani alilipiwa Ada na Mkapa

Makonda na Zitto Kabwe walilipiwa na Samuel Sitta

Mnyika alilipiwa na Malecela nk
 
Mimi nami Nililipiwa chuo na serikali ya Mstaafu Mheshimiwa Mzee Daktari Jakaya Mrisho Kikwete kupitia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu. Kidumu chama cha Mapinduzi
Sisi tulisoma bure hadi Chuo kikuu na kulazimishwa kufanya Kazi serikalini kwa miaka 5 mfululizo

Wewe wa Bodi ya Mikopo CCM imekulipiaje? 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…