Dkt. Emmanuel Nchimbi: Nililipiwa ada na Hayati Mkapa. Nasikitika kutohudhuria mazishi yake

Mbona unauliza swali la kitoto kiasi hiki ndugu yangu?
Kwanza kabisa, umewanyanyapaa watoto.

Watoto huuliza kati ya maswali mazuri kabisa.

Wewe tatizo lako unaendeleza utamaduni wa kunyanyapaa watoto.

Hujajibu swali, Mkapa hizo pesa alizitoa wapi?
 
..Mama Samia naye alishikwa mkono na Mama Anna Mkapa alipokuwa kwenye NGOs kabla hajaingia ktk siasa
 
..Mama Samia naye alishikwa mkono na Mama Anna Mkapa alipokuwa kwenye NGOs kabla hajaingia ktk siasa
Rais Samia ni Mpango Wa Mungu Mwenyewe.Na kila alipopitia ilikuwa ni mipango ya Mungu Mwenyewe katika kumuandaa kuja kushika nafasi hii ya Urais
 
Sawa,airudishie familia hiyo pesa aliyolipiwa na mkapa
Atakuwa amerudisha shkran

Ova
 
Sawa,airudishie familia hiyo pesa aliyolipiwa na mkapa
Atakuwa amerudisha shkran

Ova
Kwani familia umekwambia inahitaji malipo. Kwa hiyo wewe ukimsaidia mtu mwenye shida unataka ulipwe. Ningependa kukwambia kuwa saidia watu bila kikomo namalipo utapewa na Mungu Mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…