Dkt. Emmanuel Nchimbi: Nililipiwa ada na Hayati Mkapa. Nasikitika kutohudhuria mazishi yake

Mimi nami Nililipiwa chuo na serikali ya Mstaafu Mheshimiwa Mzee Daktari Jakaya Mrisho Kikwete kupitia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu. Kidumu chama cha Mapinduzi
Angalia na hii takataka nayo ,huo ni mkopo ndugu wewe ni kama ulijisomesha.
Ulivyo tahaira unashangilia ujinga,kw ulitakiwa usomeshwe bura na serikali.
Viongozi wengi wa ccm waliosomeshwa bure under government sponsorship hata huyo kikwetwe unayemsifia alisomeshwa bure ila waliamua kusitisha mpango huo na kuubadili kuwa mkopo.
Kusudi ili wapate fedha nyingi za kufuja,kuiba ,kujilipa hovyo na sasa wameamua hadi wake /waume wao wawe wanalipwa na pension hadi watakapokufa.
Pia kujinunulia magari ya kifahari siku hizi imefika mbali hadi gari la kubeba mavi.
Wewe boya embu angalia huo msafara hapo chini unafikiria ungetumika kufadhili wanafunzi wa elimu ya juu si ingekuwa bora usingetakiwa kudaiwa huo mkopo wa elimu ya juu unaodaiwa na kuulipa huwezi kwani hadi sasa huna kipato rasmi bodi inahangaika kuwatafuta
 

Attachments

  • 5772829-61bcb6aead70ef320cbcacf28f10751.mp4
    1.4 MB
Wewe hunaga akili wala uwezo wa kujenga hoja
 
Hii kitu Mkapa ameikopi kwa mentor wake Nyerere.

Nyerere kasaidia watu wengi sana.

Ingawa Mzee wangu alipata ufadhili wa serikali ya kikoloni kwenda nje kusoma kabla ya uhuru.

Ila Nyerere alimpiga tafu mzee nauli yake, walikua wanatembeza bakuli kwa watu miaka hiyo.

Nchi ilikua haina wasomi hivyo wakati walikua wanajiandaa kutupa uhuru walihakikisha kuwa tuna wataalam maeneo mbali mbali.
 
Tumsifu Tu mtu kwa mazuri yake aliyoyafanya kama kiongozi lakini kusema kwa kakulipia ada kutoka mfukoni mwake c kweli hiyo hela imetoka serikalini,na huyo Rizwan kusema kalipiwa ada na mkapa ni uwongo na ni kumvunjia heshima baba yake kwamba alishindwa kumsomesha.
 
Sasa wewe unawakatalia kama nani ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa mawazo mpaka unabishia ukweli.
 
Pole, ulikimbizwa nchini na Jiwe baada ya kujidai unakijua chama cha CCM saana.
 
Huwa nakupenda kwasababu huwa una hoja nzuri na kuonyesha kujiamin hoja zako huwa ni ndefu safi Sana na hongera sana,ila huwa naumia pale ambapo huwa unatoa tusi ukijibiwa vibaya naomba ukitoa kitu Kizuri namna hiyo usiwe unajibu asante
 
Wewe ndiye huna akili kabisa umekaa kusifiasifia maujinga. Unaudhi sana ujue we boya ndio maana unatukanwa kwani unatoaga hoja za hovyo sana
Ukitaka kunywa sumu UFE tu.maana huna faida yoyote ile hapa nchini na wala hakuna atakayeumia ukifa.
 
BALOZI NCHIMBI AZURU KWENYE KABURI LA HAYATI BENJAMIN MKAPA LUPASO

Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiongozana na Wajumbe wa Sekretarieti amezuru katika kaburi la hayati Benjamin Mkapa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu .

"Naomba nikiri kuwa Mimi ni mwanafunzi wa hayati na nimekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa katika kipindi Chake kwani ndio alinilipia Ada ya kusoma Chuo kikuu kwani alikuwa mfuatiliaji sana na sisi alitulea lakini kwa Watanzania wote alikuwa mzalendo kwa Nchi alifanya mabadiliko Makubwa kwa Nchi yake na Kwa Chama Chake lakini yote CCM chini ya Dkt Samia tutaendelea kuyaenzi Yale yote aliyoyoacha Hayati Benjamin Mkapa". Balozi Nchimbi.

#MchapakaziSamia
#VitendoVinasauti
#TunaendeleanaMama
#KaziIendelee
 
Rizwan K, naye alisema alilipiwa ADA na Mkapa, inashangaza.
 
Ni kuonyesha upendo na thamani kwa mtu fulani pamoja na kumpa moyo wa kusonga mbele zaidi.
Mbona wewe hakukulipia ada?, kwa hiyo mkapa alikuwa mbaguzi ambaye alichagua watu wa kuwalipia ada wakati yeye ni Rais wa nchi nzima halafu akapendelea kuwalipia ada wenye uwezo aache watoto wa maskini kama wewe uhangaike na mkopo?
Mbona unaandika utopia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…