Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Kuna watu wanaiba Kura huko Ili wapate madaraka tutakayoyaacha Kwa kifo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona 27 Novemba, 2025 bado hatujafika??!!Tanzia
View attachment 3162827
Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Kigamboni, Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile kilichotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba, 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu.
"Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile. Kwa niaba ya Wabunge natoa pole kwa familia, wakazi wa Kigamboni na Watanzania wote. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi", amesema.
Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na familia inaendelea kuratibu shughuli za mazishi na taarifa zaidi zitaendelela kutolewa.
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, APUMZIKE KWA AMANI.
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma,
Ofisi ya Bunge,
DODOMA.
27 Novemba, 2024
You're sick and hopeless with these wicked ideas.Yes sure, you can't hate death, because it is the only way to attain Eternal life.
Hivi huyo Mafuru alikuwa mtanzania kweli? Mbona wasifu wake ulizua maswali!Tumepoteza watu Wenye CV za kidunia
Tumebakiwa na Waigizaji watupu waliojibatiza kuwa wao ni chawa
Nikitoka hapa Kituo cha Kupigia KURA naelekea Kanisani direct
Ahsanteni sana
Yuko wapi Lucas Mwashambwa? 🐼
Kumbe alikuwa mgonjwa mgonjwa?.... Nakumbuka bifu yake na Jiwe kuhusu COVID 19 na chanjo zake. RIP Dr.😔Makonda ana dawa, anyway, alitolewa kwenye uwaziri kwa sababu ya frequent trips za kwenda India kwa matibabu.
R. I. P, kigamboni imepoteza
New order inasemaje .? Watu watakuwa wanafariki namba zinapo "rhyming" .?Alishinda ukurugenzi wa afya August 27.
Amefariki Dunia November 27.
I like the way those numbers are rhyming.
Do you think we are up against the New World Order here?
"Kwenye taarifa rasmi ya Bunge inaonesha kafariki 2025??? bahati mbaya?"Duh,
Aliumwa lini? Tanzania yetu ina mambo
----
Huu utaratibu tuliojiwekea wa kutangaza kifo cha mtu tu bila kujali aliugua au ni ajali ni mbaya sana
Kwenye taarifa rasmi ya Bunge inaonesha kafariki 2025??? bahati mbaya?
Sasa jamii inabaki na mtanziko na sintofahamu kubwa..
1.Aliumwa
2 Kama aliumwa aliumwa nini na alianza lini?
3.Ajali?
4.Matibabu India ilikuwaje?
5.Chronic deaseases? Taarifa haisemi...
Ndungulile ni mtu mkubwa sana kuacha kujibu hayo maswali kwenye taarifa rasmi ya Kifo chake...
Tunaweza dhani ni jambo jema na privacy lakini minongono na 'umbea ' na 'siasa' zetu, ikatugharimu baadae...
Binafsi nilipenda sana hustle zake,
Poleni sana familia ya Dr. Faustine.
Pumzika kwa amani kaka.
Mtanzania ni ama Mtanganyika au Mzanzibar 😀Hivi huyo Mafuru alikuwa mtanzania kweli? Mbona wasifu wake ulizua maswali!
Ndugulile, may his soul rest in peace.
Duniani tunapita tu
Ndipo tunajaribu kufanya marekebisha hapa, komredi. Si unajua tena tuko kwenye kashkashi za uchaguzi?"Kwenye taarifa rasmi ya Bunge inaonesha kafariki 2025??? bahati mbaya?"
Labda aliyeandika kakurupuka tu. La sivyo alipaswa aandike "atafariki" 27 Novemba, 2025 maana bado hatujafika!
Tobaaa 🙄🙄Usiishe hadi Saa100 naye aitwe kwanza
Nchi imekuwa ya madondocha , ccm hawapendi sikia mtu anayejitambua , wametengeza machawa , hali ni mbaya lakin Mungu yupo kaziniTumepoteza watu Wenye CV za kidunia
Tumebakiwa na Waigizaji watupu waliojibatiza kuwa wao ni chawa
Nikitoka hapa Kituo cha Kupigia KURA naelekea Kanisani direct
Ahsanteni sana
Yuko wapi Lucas Mwashambwa? 🐼
Kama bunge linaandika kituko kama hicho, je aliyeko ngazi ya serikali ya mtaa, kijiji na kitongoji?! Aliyehusika kuandika naye aenguliwe mara moja! La sivyo bado hajafa hadi ifike 27 Novemba, 20252025????
Hakuna mtu ambaye sio muhimu watu wote ni muhimu.Rest in Peace FauDah! Tumepoteza mtu muhimu Sana.
RIP Ndugulile
Nimekuelewa sanaNchi imekuwa ya madondocha , ccm hawapendi sikia mtu anayejitambua , wametengeza machawa , hali ni mbaya lakin Mungu yupo kazini