Dkt. Godwin Mollel anastahili Uwaziri Kamili Sasa!

Dkt. Godwin Mollel anastahili Uwaziri Kamili Sasa!

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,190
Reaction score
3,039
Kama ni elimu anayo (DDS). Uzoefu wa uongozi, siasa (za upinzani na Chama chetu) kwann hapewi promotion kuwa Waziri Kamili kabla hajatemwa ubunge 2025 na Mwanri? Tatizo lipo wapi?

Naibu chini ya Mawaziri watatu tofaut? Kuna nini kimejificha?
 
Kama Ni elimu anayo (DDS). Uzoefu wa uongozi, siasa (za upinzani na Chama chetu) kwann hapewi promotion kuwa Waziri Kamili kabla hajatemwa ubunge 2025 na Mwanri? Tatizo lipo wapi?

Naibu chini ya Mawaziri watatu tofaut? Kuna nn kimejificha?
Huyu ni Naibu Waziri wa Kudumu.
Kila awamu huwa inakuwa na naibu waziri wake wa kudumu. Kipimdi cha Kikwete alikuwepo marehemu Makongoro Mahanga.
Pia huwa wanakuwepo wakuu wa Wilsya wa kudumu ambao huwa wanahudumu awamu zote katika nafasi hiyo. Mfano Julius Mtayiro, huyo ni mkuu wa wilaya wa kudumu hadi either atakapostaafu au atakapoamua kujiweka pembeni
 
Back
Top Bottom