Dkt. Godwin Mollel anastahili Uwaziri Kamili Sasa!

Kama ni elimu anayo (DDS). Uzoefu wa uongozi, siasa (za upinzani na Chama chetu) kwann hapewi promotion kuwa Waziri Kamili kabla hajatemwa ubunge 2025 na Mwanri? Tatizo lipo wapi?

Naibu chini ya Mawaziri watatu tofaut? Kuna nini kimejificha?
Hivi uwaziri ni kama ubalozi wa nyumba kumi?
 
Kama ni elimu anayo (DDS). Uzoefu wa uongozi, siasa (za upinzani na Chama chetu) kwann hapewi promotion kuwa Waziri Kamili kabla hajatemwa ubunge 2025 na Mwanri? Tatizo lipo wapi?

Naibu chini ya Mawaziri watatu tofaut? Kuna nini kimejificha?
Mikataba walioingia na Magufuli ilikuwa ni kuwa naibu waziri tu mwisho na sio waziri kamili.

waliotoka upinzani enzi za Magufuli wote wanamakubaliano nayo ndio maana hata kutolewa hawawezi.
 
Kama ni elimu anayo (DDS). Uzoefu wa uongozi, siasa (za upinzani na Chama chetu) kwann hapewi promotion kuwa Waziri Kamili kabla hajatemwa ubunge 2025 na Mwanri? Tatizo lipo wapi?

Naibu chini ya Mawaziri watatu tofaut? Kuna nini kimejificha?
Hakuna mtu wa hovyo kama Dr Mollel. Hakuna Naibu Waziri wa hovyo kama Dr Mollel. Amepata tu hiyo nafasi kwa sbabu wakati wa Mwendazake alikubali kununuliwa kama bidhaa.

Kila nikiona muundo wa kichwa chake siamini kama kuna kitu ndani ya ubongo wake.
Screenshot_20240817_101001_Google.jpg
 
Kama ni elimu anayo (DDS). Uzoefu wa uongozi, siasa (za upinzani na Chama chetu) kwann hapewi promotion kuwa Waziri Kamili kabla hajatemwa ubunge 2025 na Mwanri? Tatizo lipo wapi?

Naibu chini ya Mawaziri watatu tofaut? Kuna nini kimejificha?
Mtu bure sana huyo!
 
Hakuna mtu wa hovyo kama Dr Mollel. Hakuna Naibu Waziri wa hovyo kama Dr Mollel. Amepata tu hiyo nafasi kwa sbabu wakati wa Mwendazake alikubali kununuliwa kama bidhaa.

Kila nikiona muundo wa kichwa chake siamini kama kuna kitu ndani ya ubongo wake.
View attachment 3072275
Mwendazake anahusika vp tena wakati sasa hivi mwenye mamlaka ni Samia ndio mwenye kuteua na kutengua na keshawatengua hadi akina January na Nape, sasa huyo Mollel kama ni wa hovyo basi Samia ndio kamuweka hapo na si Magufuli.
 
Kama ni elimu anayo (DDS). Uzoefu wa uongozi, siasa (za upinzani na Chama chetu) kwann hapewi promotion kuwa Waziri Kamili kabla hajatemwa ubunge 2025 na Mwanri? Tatizo lipo wapi?

Naibu chini ya Mawaziri watatu tofaut? Kuna nini kimejificha?
Unaona wengine hawastahili apewe yeye? Mbona mna assume hivi vyeo ni zawadi.

Natamani vyeo vya mawaziri visiwe vya wanasiasa bali professionals,CV zitumwe wachunguzwe etc. kuwe kuna sheria kabisa akifanya uharamia, wizi,ubadhirifu yeye na vitu vyake vinaenda na maji. Haitoshi kuwatumbua tu wanaoingiza Taifa hasara.
 
Kama ni elimu anayo (DDS). Uzoefu wa uongozi, siasa (za upinzani na Chama chetu) kwann hapewi promotion kuwa Waziri Kamili kabla hajatemwa ubunge 2025 na Mwanri? Tatizo lipo wapi?

Naibu chini ya Mawaziri watatu tofaut? Kuna nini kimejificha?
Kumbe ni mng'oa meno?😂 Ndo maana hana akili.
 
Back
Top Bottom