Dkt. Godwin Mollel anastahili Uwaziri Kamili Sasa!

Dkt. Godwin Mollel anastahili Uwaziri Kamili Sasa!

Kama ni elimu anayo (DDS). Uzoefu wa uongozi, siasa (za upinzani na Chama chetu) kwann hapewi promotion kuwa Waziri Kamili kabla hajatemwa ubunge 2025 na Mwanri? Tatizo lipo wapi?

Naibu chini ya Mawaziri watatu tofaut? Kuna nini kimejificha?
Ni kama askofu Kilaini kutopewa jimbo toka tangu na tangu mapaka amestafu hajaonja utamu w jimbo
 
Tatizo lake hajui anasimamia nini.

Kipindi cha Covid ya Jiwe alisimamisha uwaraza wake kutetea Covid. Upepo ulivyobadilika na yeye alibadilika kama sio yeye.

Mollel ni ithibati ya akili ni nywele, mwamba akili zake nusu kama nywele zake😂😂
 
Jamaa kinachomkwamisha si kingine, ni kigugumizi. Hana uwezo wa kujieleza.
 
Sijawahi kuona mtu kutoka upinzani anakuwa waziri kamili
Waitara
Katambi
Moleli
Silinde
N.k
 
Kama ni elimu anayo (DDS). Uzoefu wa uongozi, siasa (za upinzani na Chama chetu) kwann hapewi promotion kuwa Waziri Kamili kabla hajatemwa ubunge 2025 na Mwanri? Tatizo lipo wapi?

Naibu chini ya Mawaziri watatu tofaut? Kuna nini kimejificha?
Umekuja mwenyewe sio kujipigia promo ,Kama bosi wako ameshindwa msadizi wako una sababu gani ya kuwepo,maana yake umeshindwa kummshauri bosi wako una haja gani ya kuwa hapoo ,ingelikuwa mfumo wetu umekaa vizri usinge kuwepo wewe ,makatibu wotee and the rest mgnt ya wizara
 
..DDS = Doctor of Dental Surgery.

..wanachukuliwa wanafunzi wachache sana.

..wao ndio " cream of the cream " ya wanafunzi wa PCB [ physics, chemistry, biology.]
ukiona mnachukuliwa wachache kimsingi takwimu ndivo inasema

Matatizo yavinywa nchini ,machache sio kwamba ubora kama kachumbali unayotaka kuweka
 
Back
Top Bottom