Dkt. Godwin Mollel anastahili Uwaziri Kamili Sasa!

Dkt. Godwin Mollel anastahili Uwaziri Kamili Sasa!

Hii kozi ya meno ingekuwa instolewa na vyuo vya veta vya ufundistadi maana wao ni kungoa tuu na ma bisibisi
Kudadadeq noma kilo 7 kwa hio veta wafungue kozi ya kung'oa Meno kwa tupa?
 
Mwendazake anahusika vp tena wakati sasa hivi mwenye mamlaka ni Samia ndio mwenye kuteua na kutengua na keshawatengua hadi akina January na Nape, sasa huyo Mollel kama ni wa hovyo basi Samia ndio kamuweka hapo na si Magufuli.
Yupo hapo kuleta balance za kijiografia tu lakini siyo weledi. Ni kwamba unapopanga baraza lazima luwe na uwiano wa kimikoa/ kikanda. Inasababisha kuleta utulivu wa kisiasa
 
Yupo hapo kuleta balance za kijiografia tu lakini siyo weledi. Ni kwamba unapopanga baraza lazima luwe na uwiano wa kimikoa/ kikanda. Inasababisha kuleta utulivu wa kisiasa
Sasa hayo ni ya Samia na si marehemu.
 
Aliyeanza kumpa uw-Naibu Waziri ni Magufuli, samia amemkuta na ameendela naye kama alivyoendel3a na wengine
Si wote kaendelea nao wapo wengi aliyowatoa hivyo huyo kuendelea kuwepo hapo ni mipango na maamuzi ya Samia mwenyewe, kinyume na hivyo angeshamtoa kama walivyotolewa wengine.
 
Kama ni elimu anayo (DDS). Uzoefu wa uongozi, siasa (za upinzani na Chama chetu) kwann hapewi promotion kuwa Waziri Kamili kabla hajatemwa ubunge 2025 na Mwanri? Tatizo lipo wapi?

Naibu chini ya Mawaziri watatu tofaut? Kuna nini kimejificha?
Kwani Dr Godwin anatokea mikoa ya Pwani au Zanzibar.

Hizi ni sifa na vigezo muhimu katika serikali ya awamu ya sita.
 
Tuondelee hiyo takataka bana. Kama unaitaka peleka nyumbani kwako ndiyo uipe uwaziri kamili
Mimi ndio mama Samia ninayeteua mawaziri? Kama haumtaki basi wa kumwambia ni Samia na sio mtu mwengine.
 
Mimi ndio mama Samia ninayeteua mawaziri? Kama haumtaki basi wa kumwambia ni Samia na sio mtu mwengine.
Wewe mwenyewe Dr Mollel na pia wewe mwenyewe Rais Samia. Chawa wengine mufilisi kabisa.

Ila nenda kwa Dr Mollel akakupe posho ya leo maana unetumika ipasavyo
 
Wewe mwenyewe Dr Mollel na pia wewe mwenyewe Rais Samia. Chawa wengine mufilisi kabisa.

Ila nenda kwa Dr Mollel akakupe posho ya leo maana unetumika ipasavyo
Sasa natumika vp kwani mie ndio ninayemwambia Samia aendelee kumbakisha Mollel kwenye hiyo nafasi? Mbona chuki zinakutia ujinga mkuu? Yani unamchukia mtu ambaye hata hajui huko kama kuna mtu kama wewe ambaye unachukia kwa yeye kuwa katika hicho cheo, ni kujitesa bure mkuu.
 
Nataka kulijenga Taifa letu, huo ndiyo mchango wangu
 
Back
Top Bottom