connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
Sio MD huyo Mollel. Ni DDSKama Ni elimu anayo (MD). Uzoefu wa uongozi, siasa (za upinzani na Chama chetu) kwann hapewi promotion kuwa Waziri Kamili kabla hajatemwa ubunge 2025 na Mwanri? Tatizo lipo wapi?
Naibu chini ya Mawaziri watatu tofaut? Kuna nn kimejificha?
Ooh chuo gani? Usikute kwenye vile vyuo vyetu vya kuunga ungaSio MD huyo Mollel. Ni DDS
Ni Muhas. Inapatikana hapo tu.Ooh chuo gani? Usikute kwenye vile vyuo vyetu vya kuunga unga
DDS kirefu chake Doctor of Dental SurgeryNi Muhas. Inapatikana hapo tu.
Afadhali, maana sisi CHADEMA hatunaga dogo. Tungeanzishia Press conference na Maandamano juuNi Muhas. Inapatikana hapo tu.
Doctor of Dental SurgeryDDS kirefu chake
Zezeta mwenzio salio linasoma mwaka wa 6 huuKama Zezeta fulani hivi...
DDS kirefu chake
Miaka 6 unasomea Udokta wa Meno kama sio Uzezeta ni nini?!Zezeta mwenzio salio linasoma mwaka wa 6 huu
Miaka 6 ya kulamba Asali. Sio kusoma UdoktaMiaka 6 unasomea Udokta wa Meno kama sio Uzezeta ni nini?!
Huyu ni Naibu Waziri wa Kudumu.Kama Ni elimu anayo (DDS). Uzoefu wa uongozi, siasa (za upinzani na Chama chetu) kwann hapewi promotion kuwa Waziri Kamili kabla hajatemwa ubunge 2025 na Mwanri? Tatizo lipo wapi?
Naibu chini ya Mawaziri watatu tofaut? Kuna nn kimejificha?
Sasa "surgeon" ni mtu wa kubezwa ?!![emoji44]Sio MD huyo Mollel. Ni DDS