Brig General Carlitos Way
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 1,601
- 3,658
Kuna mchezaji mpira mmoja maarufu sana wa kiscotish sasa hivi ni Tv presenter anaitwa Ally Mcoist. Niliwahi fanya kazi na jamaa mlebanon alikua anaitwa Karim George na alikua mkristo. Nimeshakutana na wengi tu wa hivyo. Na kuna wakati jina favourate la watoto wa kiume huku mambelezi lilikua Muhammad. Haya ni majina tu ya kiarabu na kizungu. Wa Turkish Muhammad wanaitwa Mehmet. Kwahio hamna majina ya kiislam au kikristo ni wabongo fikra zao ndogo na wengi hawajasafiri.mtu umwambie wewe sheikh peter ama mtumishi ally itachukua muda sana kukubaliana