Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

Niulize kitu je nyoka anapenda chumvi chumvi ?Na je huyu manzi alikuwa anatungaliza kichwa kwanza?Am confused
 
Jamani humu ndani .
Hivi ndoa za kikatoliki ndo zipoje au maana yake nini...?
 
Soma Sheria ya Tiba Asili na Tiba Mbadala namba 23 ya mwaka 2002. Changamoto yetu kubwa ni kuzifahamu sheria zetu wenyewe tulizotaka awali zitungwe. Akija wa kutekeleza watu wanamshangaa. Habari za mchana
Kwenye hii sheria sijaona majani ya miti yanayotakiwa kwenye mchanganyiko wa dawa ya kujifukiza ili kujikinga na covid19
 
Unataka kumwambia nini huyu mama?

Nakukumbusha tu kuwa upungazeze nchi hii hatuutaki, na juzi bungeni kaweka bayana msimamo wake katika hilo.

Labda umwambie mambo mengine.
Usinipangie cha kumuambia? Em tulizanaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama utakuwa uliamini ile story ya nyoka,wewe ni mmoja wa Watanzania wanaochangia umasikini na unatakiwa ufe kwani hauna faida yoyote hapa duniani.
Asilimia kubwa ya watu walio mitandaoni waliamini kweli mimi nilikuwa naishia kusoma comments zao instagram nikawa nacheka kimoyomoyo kiukweli bado tuna safari ndefu
 
Ahsante Sana, naomba tu Kila anayeoona uongo uongo fulani kwenye Kila link basi tupeane ushirikiano. Maana naweza nikawa kuna link inaendelea mahali na mimi sijaiona na watu wanapotea.
⏫Official statement above, mara tuonapo jambo ambalo kimantiki tunaona waziwazi hili linapotosha umma, tuliripoti.
 
Nchi hii ukitaka kukutana na waziri, fanya ujinga tu mitandaoni 😂😂😂😂😂
How?, Watanzania shukrani hawana, kwahiyo ulipenda mawasiliano kati ya waziri na mwananchi wa kawaida yawe magumu, ili serekali ionekane imefail, chadema bana, ni lazima pawepo na flexibility na ndiyo maana njema ya kutumia mitandao vizuri, huu ni JamiiForums, unahusika na Jamii nzima ya Tanzania, na tuliyenaye hapa ni waziri anayehusika na mambo ya kijamii, ambayo ndiyo msingi wa familia bora, yenye adabu, uchamungu wa kweli na yote mema, kwa Jamii yote ya watanzania.
 
Jina sio imani
Tatizo wabongo wanachanganya mambo hakuna majina ya kiislam au kikristo, kuna majina ya waarabu na wazungu. Ukienda Lebanon, au hata Misri tu hapo unaweza kuta mtu anaitwa Abdallah au Muhammad lakini ni mkristo. Wabongo hawasafiri hivi vitu hawawezi kuvijua na unaweza bishana na mtu mpaka mapovu yakamtoka. 😂 😂 😂 😂
 
Tatizo wabongo wanachanganya mambo hakuna majina ya kiislam au kikristo, kuna majina ya waarabu na wazungu. Ukienda Lebanon, au hata Misri tu hapo unaweza kuta mtu anaitwa Abdallah au Muhammad lakini ni mkristo. Wabongo hawasafiri hivi hawawezi kuvijua na unawezabishana na mtu mpaka mapovu yakamtoka 😂 😂 😂 😂
mtu umwambie wewe sheikh peter ama mtumishi ally itachukua muda sana kukubaliana
 
Daah ila jamii yetu sijui inaenda wapi yani hili neno CONTENT CREATORS Linaharibu ma influencer wengi pamoja na hizi Online Tv.

Unakuta online Tv haieleweki ina Views Millions ukiangalia Content zake zimejaa mambo ya ajabu au matusi matusi tu.

Mfano tu pale Youtube kuna Channel inaitwa Khalist Tz ya chalii hivi kaangalie content zake nyingi ni ngono na maneno yasiyo faa.
 
Kwenye hii sheria sijaona majani ya miti yanayotakiwa kwenye mchanganyiko wa dawa ya kujifukiza ili kujikinga na covid19
Kufuatia sheria hii, je analijua Baraza la tiba asili na tiba mbadala na Kurugenzi ya tiba asili na tiba mbadala na dawa husika wanazosajili kwa sheria hiyo? Majukumu yao unayajua?
 
Dah nlishtuka sana nlivocheck yale mahojiano,,, kilichonshtua duh
 
Mama Gwajima Shkamoo...

Vipi lile jambo letu la ndoa za kikatoliki tunaomba kupewa kibali, nataka nifunge ndoa takatifu na Poor Brain kwenye kanisa la ST PETERS hapo dar mwezi ujao.

Natumai nitapata leseni kutoka ofisi yako yenye uzalendo mkubwa. Ahsante.

Ni mimi katika ujenzi wa Taifa, BICHWA KOMWE.

Cc: Lamomy cocastic
M/kiti kamati ya burudani nipo wizo 😂😂😂
Aririrrrrrrrrriiiiiiii 🤸‍♀️
Wenye wivu wajinyonge
 
Back
Top Bottom