Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

Hiyo Spana nimekupiga m,Acha udini na usijizungushe.Panua mawazo yako ya fikra usigawe watu kwa mavazi kama hawa wana haki miliki na Hilo ni vazi Lao.
Eti nisigawe watu kwa mavazi huyo dem vero ndio alishajigawa mwenyewe kujiita majina ya kiislamu wakati sio wa dini hiyo sasa mimi nimewagawa kina nani mbona unaropoka tuu kama umelishwa usembe au ndio simu yako bando lako hakuna wa kukupangia cha kusema😂 umeshikilia kwenye mavazi tuu lkn jina lake alilojitambulisha nalo mwanzo wakati anapotosha jamii hulion😂
 
Sasa spana imenipiga vipi mjomba mbona unamameno ya kishangingi😂 nenda basi kwenye nyumba za maaskofu na mapadre kisha unambie kunamwanafamilia gani wa kike utamkuta anashinda na mabaibui na mitandio nyumbani😂 kisha sina muda wa kubishana mwanaume mzima unashindana na mtoto wa kike unamapungufu ww kajichungulie
Kwa Heri dada Naona somo limegoma kukuingia.
 
Mitandao hii pia hutumiwa na wanasiasa wanaotafuta kiki,kwani huwa zinatoa taarifa zs upande mmoja wa habari inayombeba mtu aliyewapa wito,na hivyo kutoa habari za kumfurahisha,na kuwaaminisha Watanzania kuwa Kiongozi fulani ndio pekee anafanya kazi.
Na viongozi wanaopenda kiki kufanya kazi na vyombo hivi vya habari.
Fact.
 
BINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA

Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya.

DAR ES SALAAM.

Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni kupitia televisheni ya MBENGO TV ikionesha Binti mmoja aliyekuwa amebeba nyoka mkubwa huku akidai kwamba, hufanya naye mapenzi ili kupata fedha.

Kufuatia hali hiyo, Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu Mhe. Dkt. Gwajima , alichukua hatua ya kukemea kitendo hicho na kumtaka ajitokeze kuomba radhi kwa Umma na kuondoa taarifa hiyo mtandaoni kutokana na kukiuka maadili.

Baada ya mmiliki wa Mbengo TV, Tarzan Mustapha aliyeambatana na mtangazaji Lenny kuomba radhi Mei 11, 2024, walielekezwa kumtafuta binti huyo waliyemrekodi vinginevyo wachukuliwe hatua za kisheria kwa kukiuka sheria ya usajili wao kwa kushirikiana kupotosha jamii kwa habari za utapeli.

Leo 20 Mei, 2024 Binti huyo aitwaye Veronica Bernad Anton aliyekuwa amebeba nyoka huyo naye amejisalimisha kwa Waziri Dkt. Gwajima na kuomba radhi kama video inavyoonesha.

Waziri Dkt. Gwajima ameelekeza kutafutwa kwa mmiliki wa nyoka au ajitokeze mwenyewe kabla hatua za Serikali kumtafuta hazijaanza ambapo, itaongeza makosa yake ya kutotoa ushirikiano kwa Serikali.

Waziri Dkt. Gwajima ameiasa jamii ya wanahabari na wasanii kuachana na utapeli na mambo yote yanayochochea mmonyoko wa maadili maana akiwa Waziri mwenye dhamana na Jamii yenye makundi maalum hatafumbia macho uongo, utapeli na uovu huo.

MWISHO

NB; nawasihi wanajamii wote kuheshimu Sheria kwa maendeleo na ustawi wa jamii na kutunza maadili.

Pia soma: Epuka kusambaza maudhui yasiyo na maadili. Anayedai kumiliki nyoka na kushiriki naye tendo, ajisalimishe
View attachment 2995537
View attachment 2995538
Pia kuna habari ya mtanzabia mwenzetu tena mwanamke kapata tatizo la kurukwa akili marekani analala darajani je unamsaidiaje maana ubalozi haujashughulikia hilo
 
Hatuwezi kufumbia macho, wa kuiponya Afrika ni mimi na wewe, tuungane tu
Lakini tufike wakati kinacho itwa uchawi kiharamishwe kisheria otherwise tutakuwa tunapuyanga huku tukirirhisha vizazi vinginevyo ujinga.
Kwa uzoefu wangu kinacho aminiwa kuwa ni uchawi huwa ni knowledge gap kwa anaye amini.
Watu wanaumizwa kupitia kupitia chaka hilo la uchawi kwa kutishiwa kutupiwa majini huku kinachotafririwa kuwa ni majini zikiwa ni hujuma na mazingaombwe.
Ifike wakati anayetishia kumdudhuru mwenzake kishirikina achukuliwe hatuwa kisheria.
 
BINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA

Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya.

DAR ES SALAAM.

Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni kupitia televisheni ya MBENGO TV ikionesha Binti mmoja aliyekuwa amebeba nyoka mkubwa huku akidai kwamba, hufanya naye mapenzi ili kupata fedha.

Kufuatia hali hiyo, Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu Mhe. Dkt. Gwajima , alichukua hatua ya kukemea kitendo hicho na kumtaka ajitokeze kuomba radhi kwa Umma na kuondoa taarifa hiyo mtandaoni kutokana na kukiuka maadili.

Baada ya mmiliki wa Mbengo TV, Tarzan Mustapha aliyeambatana na mtangazaji Lenny kuomba radhi Mei 11, 2024, walielekezwa kumtafuta binti huyo waliyemrekodi vinginevyo wachukuliwe hatua za kisheria kwa kukiuka sheria ya usajili wao kwa kushirikiana kupotosha jamii kwa habari za utapeli.

Leo 20 Mei, 2024 Binti huyo aitwaye Veronica Bernad Anton aliyekuwa amebeba nyoka huyo naye amejisalimisha kwa Waziri Dkt. Gwajima na kuomba radhi kama video inavyoonesha.

Waziri Dkt. Gwajima ameelekeza kutafutwa kwa mmiliki wa nyoka au ajitokeze mwenyewe kabla hatua za Serikali kumtafuta hazijaanza ambapo, itaongeza makosa yake ya kutotoa ushirikiano kwa Serikali.

Waziri Dkt. Gwajima ameiasa jamii ya wanahabari na wasanii kuachana na utapeli na mambo yote yanayochochea mmonyoko wa maadili maana akiwa Waziri mwenye dhamana na Jamii yenye makundi maalum hatafumbia macho uongo, utapeli na uovu huo.

MWISHO

NB; nawasihi wanajamii wote kuheshimu Sheria kwa maendeleo na ustawi wa jamii na kutunza maadili.

Pia soma: Epuka kusambaza maudhui yasiyo na maadili. Anayedai kumiliki nyoka na kushiriki naye tendo, ajisalimishe
View attachment 2995537
View attachment 2995538
Mheshimiwa Waziri, usiishie kwa huyo binti tu. Kuna Manabii na Mitume feki wengi wanatangaza kufanya miujiza ya kuwapatia watu fedha, utajiri na pia kuponya watu magonjwa yasiyotibika kwenye vyombo mbalimbali vya habari, na kwa miaka mingi sasa huku mkiwaacha wafanye utapeli wao!

Ni vizuri mkawafuatilia na hao. Msipambane na hao wadogo pekee. Hii nchi kwa sasa utapeli umetapakaa kila kona. Watu wanatajirika kupitia maji, sabuni, lesso, mafuta ya upako, na bla bla nyingine.
 
Yaan ww ,
Ahsantee!! Ntakuandikia ktk uzi.
Unapewa nafasi tiririka unaleta mashart ya utaweka kwenye uzi😃
Hakuna Waziri wa kukuruhusu kumpa hoja kirahisi kama Waziri Dorothy...wale ni Miungu watu ...ukianza kusema kuna jambo..unakula block hapo hapo...I'm sorry for saying that it's true. Sio mawaziri wote' wako so open hivyo tiririka kama una jambo lenye Hoja ya maana utaisdika kashakupa nafasi Haiba haha kuanA kuandika uzi huko je na asiuone? Tiririka Hapa Hapa.
 
Hata mimi nashangaa kwanini cocastic hatiririki na ameshapewa go ahead.

Wizo kaniboa sana leo.
 
Wazirii Gwajima, kuna jambo nataka likufikie, haijalishi utalikubali au utalikataa, ila lazima nikufikishie.
Tafadhali usije ukamfikishia habari zangu... hatukuachana kwa ubaya. Ni wewe tu ulinikataa mimi msukuma na kwenda kwa sharobaro mwenye crown.
 
Karibu tushirikiane tafadhali
Tungekuwa na Mawaziri wote kama huyu mama kuja hapa jukwaani na kujibu kero tungekuwa mbali sana. Mfano Baba Eunice(Nape), kamwe hawezi kuibuka na kujibu hoja ama malalamiko yanayohusu mitandao ya simu. Mungu akuongoze. Mimi nina kaswali kadogo sana Daktari, kama huyu tapeli aliyesema analala na nyoka ukamshughulikia, inakuwa hawa Wachungaji wanaodai kufufua watu na wengine kuponyesha watu magonjwa sugu ikiwemo ulemavu na tumeshuhudia/umeshuhudia kule Songea muhubiri mmoja akiponyesha watu ulemavu wa miguu. Je huu sio utapeli?
 
Acha kumlinganisha Dr Gwajima na mpuuzi kilaza Nape mtu mwenyewe elimu yake ya kuungaunga alifeli asingeweza kupata udahili vyuo vya Tanzania akapelekwa India vyuo vya kizushi kusoma.
2025 nape ubunge hapati
 
Back
Top Bottom