Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maoni yangu yanahusiana vp na Chadema?!How?, Watanzania shukrani hawana, kwahiyo ulipenda mawasiliano kati ya waziri na mwananchi wa kawaida yawe magumu, ili serekali ionekane imefail, chadema bana, ni lazima pawepo na flexibility na ndiyo maana njema ya kutumia mitandao vizuri, huu ni JamiiForums, unahusika na Jamii nzima ya Tanzania, na tuliyenaye hapa ni waziri anayehusika na mambo ya kijamii, ambayo ndiyo msingi wa familia bora, yenye adabu, uchamungu wa kweli na yote mema, kwa Jamii yote ya watanzania.
Nakupongeza sana Mh. Waziri kufuatilia jambo hili. Wapo wengi wanaleta taharuki kwa jamii ni vizuri wakadhibitiwa Ili kuondoa upotoshajiBINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA
Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya.
DAR ES SALAAM.
Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni kupitia televisheni ya MBENGO TV ikionesha Binti mmoja aliyekuwa amebeba nyoka mkubwa huku akidai kwamba, hufanya naye mapenzi ili kupata fedha.
Kufuatia hali hiyo, Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu Mhe. Dkt. Gwajima , alichukua hatua ya kukemea kitendo hicho na kumtaka ajitokeze kuomba radhi kwa Umma na kuondoa taarifa hiyo mtandaoni kutokana na kukiuka maadili.
Baada ya mmiliki wa Mbengo TV, Tarzan Mustapha aliyeambatana na mtangazaji Lenny kuomba radhi Mei 11, 2024, walielekezwa kumtafuta binti huyo waliyemrekodi vinginevyo wachukuliwe hatua za kisheria kwa kukiuka sheria ya usajili wao kwa kushirikiana kupotosha jamii kwa habari za utapeli.
Leo 20 Mei, 2024 Binti huyo aitwaye Veronica Bernad Anton aliyekuwa amebeba nyoka huyo naye amejisalimisha kwa Waziri Dkt. Gwajima na kuomba radhi kama video inavyoonesha.
Waziri Dkt. Gwajima ameelekeza kutafutwa kwa mmiliki wa nyoka au ajitokeze mwenyewe kabla hatua za Serikali kumtafuta hazijaanza ambapo, itaongeza makosa yake ya kutotoa ushirikiano kwa Serikali.
Waziri Dkt. Gwajima ameiasa jamii ya wanahabari na wasanii kuachana na utapeli na mambo yote yanayochochea mmonyoko wa maadili maana akiwa Waziri mwenye dhamana na Jamii yenye makundi maalum hatafumbia macho uongo, utapeli na uovu huo.
MWISHO
NB; nawasihi wanajamii wote kuheshimu Sheria kwa maendeleo na ustawi wa jamii na kutunza maadili.
Pia soma: Epuka kusambaza maudhui yasiyo na maadili. Anayedai kumiliki nyoka na kushiriki naye tendo, ajisalimishe
View attachment 2995537
View attachment 2995538
Kazi nzuri muheshimiwa.
Japo na swali dogo nakunukuu
"Waziri Dkt. Gwajima ameelekeza kutafutwa kwa mmiliki wa nyoka au ajitokeze mwenyewe kabla hatua za Serikali kumtafuta hazijaanza ambapo, itaongeza makosa yake ya kutotoa ushirikiano kwa Serikali."
Muheshimiwa hivi ikitokea serikali haitoi ushirikiano kwa raia, je raia anatakiwa kufanya nini ama taratibu ipi inafanyika?
Pole na hongera kwa majukumu muheshimiwa
Ngoja tusome sheria, wakijafuta leseni tunahama nchiHiyo ni one way traffic, mkuu.
Bangi ikiota yenyewe kwenye shamba lako ni kosa lako ila wakikuta dhahabu inakua ya serikali.
Halafu juzi Millard Ayo anaomba kwa waziri mkuu eti wapunguziwe ada ya kusajili online TV? Upuuzi mtupu? Tena iongezwe hiyo laki 5 iwe hata 1.5m ili wajitambue! Wanatujazia maujinga yaani ukienda kusikiliza ni ugoro mtupu!Hapa ndipo tatizo linapo anzia
kuna angle fulani huwa mnadai hayo ni mavazi tu yaani nyie ni vinyonga kweli.Uislam ni utamaduni wa kiarabu.Binti anaitwa Veronica Bernard Anton lakini amevaa kama bint wa kiislam yote hiyo kuchafua waislam waonekane wanapenda kujishirikisha na ushirikina[emoji23] ila hii nchi inavichaa sanaa
na dr sule imekuwaje avae suti ili hali ni muislam?au kuna muda huwa analitadi na kurudi tena?kama unaamini mavazi ni ya dini fulani we ni mtumwa umeathirika vibaya!Mwenyeshida kichwani huwa hajioni[emoji23] sasa hapa unazungumziwa ww kuvaa suti kanisani au ww ukitaka vaa hata singlend na boksa hizo ni shida zako hazinihusu[emoji4] hapa anazungumziwa veronica aliyejiita latifa na akavaa uhusika wa latifa[emoji23]
Mmmh wewe ni tatizo uelewa wako mdogo sana!Baba yangu anaitwa mussa na ni mkristo na mimi sijawazungumzia hao na wala hawanihusu hapa nimemzungumzia veronica ambe kwenye interview yake ya kulalana na joka alisema anaitwa latifa aisee kama hujaelewa nilichokimaanisha usiniletee gaazeti la mazingzong saa hiz
mimi natafuta demu "nyoka"BINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA
Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya.
DAR ES SALAAM.
Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni kupitia televisheni ya MBENGO TV ikionesha Binti mmoja aliyekuwa amebeba nyoka mkubwa huku akidai kwamba, hufanya naye mapenzi ili kupata fedha.
Kufuatia hali hiyo, Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu Mhe. Dkt. Gwajima , alichukua hatua ya kukemea kitendo hicho na kumtaka ajitokeze kuomba radhi kwa Umma na kuondoa taarifa hiyo mtandaoni kutokana na kukiuka maadili.
Baada ya mmiliki wa Mbengo TV, Tarzan Mustapha aliyeambatana na mtangazaji Lenny kuomba radhi Mei 11, 2024, walielekezwa kumtafuta binti huyo waliyemrekodi vinginevyo wachukuliwe hatua za kisheria kwa kukiuka sheria ya usajili wao kwa kushirikiana kupotosha jamii kwa habari za utapeli.
Leo 20 Mei, 2024 Binti huyo aitwaye Veronica Bernad Anton aliyekuwa amebeba nyoka huyo naye amejisalimisha kwa Waziri Dkt. Gwajima na kuomba radhi kama video inavyoonesha.
Waziri Dkt. Gwajima ameelekeza kutafutwa kwa mmiliki wa nyoka au ajitokeze mwenyewe kabla hatua za Serikali kumtafuta hazijaanza ambapo, itaongeza makosa yake ya kutotoa ushirikiano kwa Serikali.
Waziri Dkt. Gwajima ameiasa jamii ya wanahabari na wasanii kuachana na utapeli na mambo yote yanayochochea mmonyoko wa maadili maana akiwa Waziri mwenye dhamana na Jamii yenye makundi maalum hatafumbia macho uongo, utapeli na uovu huo.
MWISHO
NB; nawasihi wanajamii wote kuheshimu Sheria kwa maendeleo na ustawi wa jamii na kutunza maadili.
Pia soma: Epuka kusambaza maudhui yasiyo na maadili. Anayedai kumiliki nyoka na kushiriki naye tendo, ajisalimishe
View attachment 2995537
View attachment 2995538
Mhe Waziri, nianze na kukupongeza sana kwa jinsi ulivyolishughulikia hili suala na kuzuia upotoshwaji wa huyo binti kuendelea na hivyo kuleta madhara kwa jamii yetu. Pili nashauri huyo binti na hiyo online media iliyoripoti na kulikuza hilo jambo wachukuliwe hatua kali kabisa ili iwe fundisho kwa jamii.Karibu tushirikiane tafadhali
Hivi huyu dada tofauti yake ni nini na hawa manabii na mitume wa sasa?Hongera sana. Natumai na nyoka alirudishwa mahala pake (zoo)
Nadhani alikua attention seekerHivi huyu dada tofauti yake ni nini na hawa manabii na mitume wa sasa?
Wakamate na wanaofufua watu,kuponya vilema na magonjwa yote kwa kuombea,Kuna tapeli mpya redioni anafufua na kumponya ndugu yako hata Kama yupo marekaniBINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA
Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya.
DAR ES SALAAM.
Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni kupitia televisheni ya MBENGO TV ikionesha Binti mmoja aliyekuwa amebeba nyoka mkubwa huku akidai kwamba, hufanya naye mapenzi ili kupata fedha.
Kufuatia hali hiyo, Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu Mhe. Dkt. Gwajima , alichukua hatua ya kukemea kitendo hicho na kumtaka ajitokeze kuomba radhi kwa Umma na kuondoa taarifa hiyo mtandaoni kutokana na kukiuka maadili.
Baada ya mmiliki wa Mbengo TV, Tarzan Mustapha aliyeambatana na mtangazaji Lenny kuomba radhi Mei 11, 2024, walielekezwa kumtafuta binti huyo waliyemrekodi vinginevyo wachukuliwe hatua za kisheria kwa kukiuka sheria ya usajili wao kwa kushirikiana kupotosha jamii kwa habari za utapeli.
Leo 20 Mei, 2024 Binti huyo aitwaye Veronica Bernad Anton aliyekuwa amebeba nyoka huyo naye amejisalimisha kwa Waziri Dkt. Gwajima na kuomba radhi kama video inavyoonesha.
Waziri Dkt. Gwajima ameelekeza kutafutwa kwa mmiliki wa nyoka au ajitokeze mwenyewe kabla hatua za Serikali kumtafuta hazijaanza ambapo, itaongeza makosa yake ya kutotoa ushirikiano kwa Serikali.
Waziri Dkt. Gwajima ameiasa jamii ya wanahabari na wasanii kuachana na utapeli na mambo yote yanayochochea mmonyoko wa maadili maana akiwa Waziri mwenye dhamana na Jamii yenye makundi maalum hatafumbia macho uongo, utapeli na uovu huo.
MWISHO
NB; nawasihi wanajamii wote kuheshimu Sheria kwa maendeleo na ustawi wa jamii na kutunza maadili.
Pia soma: Epuka kusambaza maudhui yasiyo na maadili. Anayedai kumiliki nyoka na kushiriki naye tendo, ajisalimishe
View attachment 2995537
View attachment 2995538
Naweza kusema kwamba mheshimiwa unafanya kazi kubwa sana, kama una mapungufu ni ya kibinadamu tu. Unastahili cheo kikubwa zaidi kwenye hii nchi.BINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA
Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya.
DAR ES SALAAM.
Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni kupitia televisheni ya MBENGO TV ikionesha Binti mmoja aliyekuwa amebeba nyoka mkubwa huku akidai kwamba, hufanya naye mapenzi ili kupata fedha.
Kufuatia hali hiyo, Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu Mhe. Dkt. Gwajima , alichukua hatua ya kukemea kitendo hicho na kumtaka ajitokeze kuomba radhi kwa Umma na kuondoa taarifa hiyo mtandaoni kutokana na kukiuka maadili.
Baada ya mmiliki wa Mbengo TV, Tarzan Mustapha aliyeambatana na mtangazaji Lenny kuomba radhi Mei 11, 2024, walielekezwa kumtafuta binti huyo waliyemrekodi vinginevyo wachukuliwe hatua za kisheria kwa kukiuka sheria ya usajili wao kwa kushirikiana kupotosha jamii kwa habari za utapeli.
Leo 20 Mei, 2024 Binti huyo aitwaye Veronica Bernad Anton aliyekuwa amebeba nyoka huyo naye amejisalimisha kwa Waziri Dkt. Gwajima na kuomba radhi kama video inavyoonesha.
Waziri Dkt. Gwajima ameelekeza kutafutwa kwa mmiliki wa nyoka au ajitokeze mwenyewe kabla hatua za Serikali kumtafuta hazijaanza ambapo, itaongeza makosa yake ya kutotoa ushirikiano kwa Serikali.
Waziri Dkt. Gwajima ameiasa jamii ya wanahabari na wasanii kuachana na utapeli na mambo yote yanayochochea mmonyoko wa maadili maana akiwa Waziri mwenye dhamana na Jamii yenye makundi maalum hatafumbia macho uongo, utapeli na uovu huo.
MWISHO
NB; nawasihi wanajamii wote kuheshimu Sheria kwa maendeleo na ustawi wa jamii na kutunza maadili.
Pia soma: Epuka kusambaza maudhui yasiyo na maadili. Anayedai kumiliki nyoka na kushiriki naye tendo, ajisalimishe
View attachment 2995537
View attachment 2995538
Court ilikuwa inamuhusu yule dada Isipokuwa tushukuru busara za waziri wetu, ameshughulika na hili kijamii zaidi.Maoni yangu yanahusiana vp na Chadema?!
Huyo dada kama amevunja sheria , wampeleke mahakamani sio kumkutanisha na waziri.
Inawezekana ni kweli analala na nyoka, kama nyoka hiyo ni jini analolifuga, hapo analegeshaBINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA