Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Kuna Dr pale mwanamke kitengo Cha magonjwa ya akili ni mnyakyusa ndio huwa anadeal na huu uchafu. Anavaa vikuku Sana
Na mwingine mpare. Hawaeleweki lakini ndio maisha yao
 
AAhahaaaaa,dah weka mkuu
 
Hawa wazungu ki ukweli nashindwa kuwaelewa juu ya promotion ya uchafu huu, nini malengo yao?, wanajaribu kutengenezea future ya aina gani?
Depopulation ya watu weusi mkuu.
Imagine mzungu 1 anawageuza vijana milioni wa kitanzania kuwa wasagaji na mashoga na mabasha.
Huko mbeleni tutakuwa hatuna watoto mkuu.
Tutakufa na kutoweka
 
Acha upumbavu wewe! Mwakyembe ni mtu wa mchezo mchezo wa kumfananisha na hao walala njaa wasio na lolote ?! Hana shida ya Kiki huyo, maisha anayo na yenye mafanikio yaliyotukuka! Anasema ukweli kama mzalendo na mzazi mwenye uchungu!
Wewe kasema kweli, umesha usikiliza upande wa pili, ngoja uthibitisho upati kane, wana siasa waongowaongo kidogo, lejea ahadi zao kipindi cha uchaguzi, sitetei ila si vizuri kumuamini mtu kwa haraka zaidi, subiri upande wa pili ujitokeze, huenda ana sema kweli au hapana, kwanzia akatwe na wale wajumbe kule kigamboni baada ya kuwakashifu kuwa hawakusoma, sijamuona teeeeena, ndo kaibuka sasa
 
Wizara ya afya ndio inatumika kufadhili haya Mambo.
Huku mikoani wapo mpaka vijijini.
Wanakuja kwa kivuli sijui Cha mambo ya ukimwi au mpango wa afya ya vijana lakini lengo lao ni kusambaza ushoga na usagaji.
Bahati mbaya wanaoeneza kampeni hizo ni watanzania wenzetu.
 
Wahasira yuko serikalini toka kipindi cha nyerer,yeye swala la kungatuka halimuhusu,angatuke amuachie nani
 
Hakuna usichanganye issue hapa, kinachoiponza marekani, wao ni sera yao ya kuwa muwazi, kijitangaza, na vilele anasimamia watu kuishi na ndo maana ingawa marekani ni wazungu ila linapokuja swala la binaadamu kupata haki ya kuishi huwa anasimama kidete, we ushaona china anazungumzia maswala ya haki ya binaadamu?

Iwe kisiasa au lolote,au demokrasia? Au ushawahi ona russia anazungumzia demokrasia na utawala bora? kumbuka putini ana miaka zaidi ya27 hataki kutoka, na marufuku kuleta nyokonyoko, full udiktekta, chini ya urusi na china, viongozi wanahaki ya kuwafanya raia zao vyovyote watakavyo na wasifanywe kitu, tofauti dunia ikiwa chini ya marekani, na ndo maana viongozi wengi wa aafrica hawampendi marekani, ngojeeni marekani aondoke katika kuisimamia dunia mtaaona, shetani mmoja akifa basi mwingine anazaliwa.
 
Sikubaliani na Ushoga ila pia nasema Ushoga haujawahi kuwa tatizo kwenye Taifa letu ili, Nashauri viongozi hawa waliowahi kushika nafsi adhimu kwenye taifa hili waachane na kujadili habari za Ushoga, Hazina faida kwa nchi na zina leta tension zisizokuwa na Msingi
 

Usa na ulaya walichoamua kufanya ni kutokuwq wanafiki, ila wengi wa nchi zilizobaki wejawa unafiki mtupu, nikuulize wapi usa au ulaya walivamia nchi ili watu wake walazimishwe kuwa mashoga?
 
Ukweli ni lazima uanikwe ili kulinusuru taifa letu. Naona Marekani na Ulaya wameamua kwa nguvu zote kupenyeza ajenda ya ushoga kwa nchi za Afrika. Haishangazi tunapoona nchi baadhi ya nchi za Kiafrika pia zikibadili misimamo na kuanza kutambua haki zao kupitia mihimuli ya mahakama.

Cha kushangaza ni kuwa pale Putin alipoweka wazi msimamo wake kuhusu kupinga matendo ya kishoga, Ulaya na Marekani wanafanya kila na kwa nguvu zote kutetea uchafu huu kwa kigezo cha haki za binadamu. Dr. Mwakwembe amefanya vyema ili kutoa tahadhari ya ukubwa wa tatizo kwa hivi sasa hapa nchini.

Ni jambo la kuogofya sana kuchukulia matokeo ya tatizo kubwa sugu kwa mtizamo hafifu wa kuwa kama dalili za tatizo hilo. Kama mtandao mkubwa upo hapa nchini tena unaendeshwa kwa mfumo unaoeleweka wa kiutawala na kimenejimenti, basi serikali itambue kuwa imechelewa sana kuchukua hatua stahiki.

Si ajabu katika madai ya Katiba Mpya yakatokea madai ya kutambua haki za LGBTIQA eti kwa kigezo kuwa nchi yetu iliridhia haki zao msingi ikiwa kama mojawapo ya nchi wanachama wa UN. Ni lazima tujiulize ni kwa nini Rais Museveni ameamua kukubali sheria kali ziwekwe dhidi ya ushoga na mashoga katika kipindi hiki? Huenda amepata taarifa ya "whistle brower" kama Dr. Mwakwembe na hatimaye kujiridhisha kuwa tatizo ni kubwa kuliko watu wengi wanavyolichukulia nchini mwake.

Makamu wa Rais wa Marekani anakuja hivi karibuni hapa nchini. Amini nawaambia pamoja na mambo mengine ni lazima ataligusia jambo hio. Na tunavyopenda misaada na wawekezaji wa kigeni nina hofu juu ya msimamo wa wazi wa viongozi dhidi ya ushetani huu.
 
Makonda alisema hivyo hivyo anawajua lakini mmarekani alipompa onyo na kumpa ban, hakuna aliyemtetea au kunyanyua mdomo wake, na aliishia kupoteza vyeo vyote vya kisiasa, nasubiri kitakacho mpata Museveni maana tayari kuna video kibao mitandaoni waganda wakiwachapa mashoga, Ruto naye alinyanyua mdomo against mashoga leo maandamano nchi nzima yalipotokea nobody knows
 

Swali ni je mtaweza kuendesha nchi bila usa na ulaya,ambapo zaidi ya 40% ya bajeti wanawapa msaada,achilia mbali mikopo na ufadhili mbalimbali,chanjo za watoto zinazotolewa bure mtaweza zilipia wakiacha kutufadhili?

Wengi hawelewi hoja za hao usa au ulaya,hao jamaa wanachotaka ni kuacha unafiki mtu kaamua kutinduliwa mkundugu wake acha atinduliwe wewe ina kuuma nini hasa?yani wanataka kila mtu awe free kwa sexual affiliations zake sio kusimangwa wala kuuwawa kisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…