Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Tuache kutegemea kutembeza bakuli,

Ukizoea vya Rahisi utaletewa makorokoro.

Regime change inahitajika, tupate viongozi majasiri, wazalendo wenye maono ya kujitegemea kiuchumi.
 
Duuh asee hili swala lipo kimkakati zaid , Na inavyoonyeshwa hawatak nature ichukue nafasi wao wamerekan wanataka wahamasishe ushoga kwa [emoji817] kwa gays Wenyew na normal

Nazan kuna jambo jipyaa litakuja 10 to 20 year's

Mungu tuongoze tusimamie hili
 
Ukizomea mkutano wa amiri jeshi mkuu utashughulikiwa kweli kweli.

Nadhani unawajua vema wale jamaa wenye kaunda suti.
Wewe ni MPUMBAVU! huna unalolijua na hao watu wa kaunda sauti si wajinga wajinga kama wewe na kama unavyodhani
 
Umma hapa ndipo pakuanzia..
Mwakyembe amejitoa wazi kueleza bila ya kuficha ficha....
Natarajia kuona sauti kubwa ya viongozi wa DINI manake kuna viongozi wengine wanasita sita ..

Kama ilivyo vita ya madawa ya kulevya, kama nchi tutangaze vita ya mashoga...

Ila lazima kama wasomi mjue makosa yameanzus wapi, mbinuficho gani zinatumika na wenye ajenda.

Kuna USHOGA. Lakini mawakala wa ushoga ambao hutumika kuutangaza ushoga bila kuelewa., Music na sanaa, movies na series mbalimbali, michezo maarufu ( e.g football) tumeona world cup QATAR...

Anachosema MWAKYEMBE utaona jinsi tulivyochelewa ...

Shida ni kwamba tunazungumza kuchukia ushoga lakini ni ipi mikakati kama nchi kuzuia kwa nguvu zote...
 
kama nchi tutangaze vita ya mashoga...
Tangaza vita na umasikini uache kushindia mihogo na chachandu.

Huwezi kushindana na mikundu kwenye faragha ya watu wawili.

Hata wakifirana huwezi kujua, na ukipiga chabo lazima umwagiwe maji ya moto.
 
Baada ya kumsikiliza yule Dada aliesoma zile NGOs,nimejiuliza maswali mengi sana, inamaana vyombo vyetu vya usalama vilikuwa havijui haya?
 
Duh! Mpaka kile kitabu nacho wamekitoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] balaa! Kweli huu mziki wa kufikiria sana
 
By the way. Shigongo ameshiriki sana katika kushamirisha ushoga nchini
Duu,
Mkuu samahani kidogo,
Eric shigongo
Akikuhitaji ulithibitishe hili swala Kwa umma pasipo kua na shaka? Utaweza?
Au ndio kushushiana hadhi kama kawaida ya baadhi ya wa TZ
 
Mchakato wa Katiba mpya
Nyie mtasubiri kwanza hadi 2030.

Tuko bize na ushoga kwa sasa, na sisi ndio washehereshaji wa huu mjadala mpaka kieleweke.

Tutahakikisha tunaupanua huu mjadala na kuuchochea kweli kweliii, mpaka manyumbu yaje kushtuka yatakuwa yamechelewa sana.

CCM mbele kwa mbele! Wapi MAKENGEZA MBOWE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…