stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Emu taja hata watatu mtoe Marope mtoa Nyaramdu emu taja wengine tusiowajua,Viongozi wamejaa huko kibaoo, waanaanzaje kupinga sasa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Emu taja hata watatu mtoe Marope mtoa Nyaramdu emu taja wengine tusiowajua,Viongozi wamejaa huko kibaoo, waanaanzaje kupinga sasa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa hadi machoziiii khaaaahDar es Salaam unamkuta mshikaji yupo na mdada ukiamini pengine ni mpenzi wake kumbe wote wawili wanatafuta wanaume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa maeneo siku moja nimeelewana demu fulani nikaanza kumnunulia pombe, ananiambia eti niko na rafiki yangu naye mnunulie pombe, kucheki ni mwanaume anaswaga sizielewi, nilimjibu straight sinunulii pombe wanaume kama vipi nawewe kaa mbali na mimi.
Anaona gere, anatamani apakuliwe yeye.Mwakyembe anatafuta kiki kwa pikipiki, kama wanatifuana wao, yy anaumia nini
Kuanzia 18 n above.Kuna mhadhara mmoja nilimsikia shekhe anasema kama anayoyasema mwakyembe hapo.
Kua kua vijana wanakua recruited kuingia huko, anajaza hizo fomu na kupewa pesa za matumizi ila tu akubali kubanduliwa.
Hali ni mbaya, na nadhani wanaofuatwa na kushawishiwa ni wale vijana wadogo wadogo labda under 17...
Linda linda la mwanao.
Na wewe au na nani?Anaona gere, anatamani apakuliwe yeye.
Wanakufa kwa stress ujue, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wataishi vipi muda mrefu wakati mnawazonga zonga kila pahala kwa masimango?
Emu funguka wewe mboni unatoa maelezo nusu nusu,Kuanzia 18 n above.
Atajua mwenyewe na mashoga na mabasha na wengineo wooteNa mabasha pia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio masimango watu wanaopinga wanapinga desturi na Mila tamaduni kuharibiwa,Wataishi vipi muda mrefu wakati mnawazonga zonga kila pahala kwa masimango?
huna akili.Mwakyembe sio wa kumwamini anataka kurudi siasani.
Duuh aisee kumbe ni live liveKuanzia 18 n above.
Wamejaaa teleeeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]RPC wa Dsm wakati huo Alfred Gewe alishawahi pelekewa askari choko. Unaambiwa jamaa alikutwa amevaa chupi 5 kwenye ukaguzi ofisini kwa Gewe. Gewe mwenyewe alishangaa pale askari huyo alimpotajia askari machoko wenzake na baadhi ya wakubwa serikalini waliokuwa na tabia hizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nataman kiongozi fulan aripukee, namfata Dm kumcharuaaaa.Rejeaa akiwa wizara ya sanaa alikuwa anaonekana sana na jux kwenye mazingira ya kutatanisha.
O hoo nani huyo tena emu tupe code mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nataman kiongozi fulan aripukee, namfata Dm kumcharuaaaa.
Jux tena katajwa mara 3 we Jux kuna nini kwani mbon umeandamwa hivi? Chakula yao?Rejeaa akiwa wizara ya sanaa alikuwa anaonekana sana na jux kwenye mazingira ya kutatanisha.
Khaaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kunalishoga lilitaka kunilete ukhanidi wake hapo Liquid uhasibu niliwaza wiki nzima nikajua kweli huu ushetani kumbeupo.
Mungu atuhurumie aondoe Roho za kushetani kwa hawawatu.
Km mmeshindwa madawa ya kulevya, kwenye ushoga msahau kabisaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umma hapa ndipo pakuanzia..
Mwakyembe amejitoa wazi kueleza bila ya kuficha ficha....
Natarajia kuona sauti kubwa ya viongozi wa DINI manake kuna viongozi wengine wanasita sita ..
Kama ilivyo vita ya madawa ya kulevya, kama nchi tutangaze vita ya mashoga...
Ila lazima kama wasomi mjue makosa yameanzus wapi, mbinuficho gani zinatumika na wenye ajenda.
Kuna USHOGA. Lakini mawakala wa ushoga ambao hutumika kuutangaza ushoga bila kuelewa., Music na sanaa, movies na series mbalimbali, michezo maarufu ( e.g football) tumeona world cup QATAR...
Anachosema MWAKYEMBE utaona jinsi tulivyochelewa ...
Shida ni kwamba tunazungumza kuchukia ushoga lakini ni ipi mikakati kama nchi kuzuia kwa nguvu zote...