Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Viongozi wamejaa huko kibaoo, waanaanzaje kupinga sasa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Emu taja hata watatu mtoe Marope mtoa Nyaramdu emu taja wengine tusiowajua,
 
Dar es Salaam unamkuta mshikaji yupo na mdada ukiamini pengine ni mpenzi wake kumbe wote wawili wanatafuta wanaume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa hadi machoziiii khaaaah
 
Nilikuwa maeneo siku moja nimeelewana demu fulani nikaanza kumnunulia pombe, ananiambia eti niko na rafiki yangu naye mnunulie pombe, kucheki ni mwanaume anaswaga sizielewi, nilimjibu straight sinunulii pombe wanaume kama vipi nawewe kaa mbali na mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna mhadhara mmoja nilimsikia shekhe anasema kama anayoyasema mwakyembe hapo.

Kua kua vijana wanakua recruited kuingia huko, anajaza hizo fomu na kupewa pesa za matumizi ila tu akubali kubanduliwa.

Hali ni mbaya, na nadhani wanaofuatwa na kushawishiwa ni wale vijana wadogo wadogo labda under 17...

Linda linda la mwanao.
Kuanzia 18 n above.
 
RPC wa Dsm wakati huo Alfred Gewe alishawahi pelekewa askari choko. Unaambiwa jamaa alikutwa amevaa chupi 5 kwenye ukaguzi ofisini kwa Gewe. Gewe mwenyewe alishangaa pale askari huyo alimpotajia askari machoko wenzake na baadhi ya wakubwa serikalini waliokuwa na tabia hizo.
Wamejaaa teleeeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jambo hata liwe jema likigubikwa na nia ovu si jambo jema tena. Mwaka 2018 Mwakyembe akiwa kwenye baraza la Mawaziri swala la vita ya ushoga lilipamba moto baada ya Paul Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam kutangaza vita kali sana dhidi ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Pamoja na vita kupamba moto serikali yetu chini ya Rais Magufuli ilijitenga na Makonda na kampeni yake kwa kile ilichokiita si msimamo wa serikali bali ni mawazo binafsi ya Makonda na kwamba serikali bado inaheshimu katiba na mikataba ya kimataifa iliyoiingia.

Rejea Serikali: Kampeni ya kupambana na Ushoga ya RC Makonda sio msimamo wa nchi
Katika kipindi hiki Dr Mwakyembe na wenzake wote waliokuwa vipenzi wa Magufuli walikaa kimya hakuna mtu aliyejitokeza kumuunga mkono Paul Makonda kwenye vita ya ushoga. Walimwacha Paul Makonda akikaangika kimataifa akipata kibano cha vikwazo mbalimbali mpaka sasa Paul Makonda haruhusiwi kukanyaga Ulaya. Kwa kauli hiyo ya serikali, serikali iliweza kupata misaada na mikopo mbalimbali kimataifa pamoja na kwamba uhusiano wa serikali ya awamu ya Tano kimataifa haukuwa mzuri sana.

Baada ya Rais Samia Suluhu kuingia ikulu ni wazi kwamba ushirikiano wa kimataifa umeimarika sana, serikali yetu inaweza kushirikiana na kupata Wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali nje ya bara la Afrika. Sasa kumeibuka tena hili swala la vita ya ushoga watu walewale Mwakyembe, Majaliwa, Mpango, Ndugai etc waliomshauri Rais Magufuli amkane Makonda na kampeni ya vita dhidi ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja wanaibuka kama vinara wa vita dhidi ya ushoga ni nini kimebadilika?

Watu hao ni vipenzi wa mwendazake bila shaka hawafurahii kuona Mama Samia akifanya vizuri katika ushirikiano wa kimataifa na kuvutia Wawekezaji hivyo hii vita ya ushoga ni kama kichaka tu, lengo Lao Mama Samia aingie katika mtego huo ili nchi sasa ipate vikwazo kabambe sifa yake kimataifa iharibike, uwekezaji ushuke aweze kufeli. Hii ni vita ya madaraka inaonekana ndani ya CCM bado ni mbichi. Ukiangalia hata timing ya hizi press conference za Mwakyembe ni siku moja kabla ya ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani. Ni kweli hili swala limeibuliwa na Uganda lakini hawa kina Mwakyembe wameona ni vyema wapite na upepo huu maana hakuna nafasi nyingine watapata ya kumharibia Mama Samia.

Chonde Chonde Mama Samia wakati kama huu ni wa kuwa makini sana na maamuzi yako, maadui zako wanakusubiri mitego yao inashawishi na kutamanisha sana
 
Kunalishoga lilitaka kunilete ukhanidi wake hapo Liquid uhasibu niliwaza wiki nzima nikajua kweli huu ushetani kumbeupo.

Mungu atuhurumie aondoe Roho za kushetani kwa hawawatu.
Khaaaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umma hapa ndipo pakuanzia..
Mwakyembe amejitoa wazi kueleza bila ya kuficha ficha....
Natarajia kuona sauti kubwa ya viongozi wa DINI manake kuna viongozi wengine wanasita sita ..

Kama ilivyo vita ya madawa ya kulevya, kama nchi tutangaze vita ya mashoga...

Ila lazima kama wasomi mjue makosa yameanzus wapi, mbinuficho gani zinatumika na wenye ajenda.

Kuna USHOGA. Lakini mawakala wa ushoga ambao hutumika kuutangaza ushoga bila kuelewa., Music na sanaa, movies na series mbalimbali, michezo maarufu ( e.g football) tumeona world cup QATAR...

Anachosema MWAKYEMBE utaona jinsi tulivyochelewa ...

Shida ni kwamba tunazungumza kuchukia ushoga lakini ni ipi mikakati kama nchi kuzuia kwa nguvu zote...
Km mmeshindwa madawa ya kulevya, kwenye ushoga msahau kabisaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom