Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
By the way. Shigongo ameshiriki sana katika kushamirisha ushoga nchiniKapicha tumuone huyo [emoji220] kessy
Nakumbuka magazeti ya udaku ya shigongo by then....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
By the way. Shigongo ameshiriki sana katika kushamirisha ushoga nchiniKapicha tumuone huyo [emoji220] kessy
Nakumbuka magazeti ya udaku ya shigongo by then....
Wewe ni MPUMBAVU! huna unalolijua na hao watu wa kaunda sauti si wajinga wajinga kama wewe na kama unavyodhaniUkizomea mkutano wa amiri jeshi mkuu utashughulikiwa kweli kweli.
Nadhani unawajua vema wale jamaa wenye kaunda suti.
Ukimfanyia fujo amiri jeshi utadhibitiwa na kaunda suti.Wewe ni MPUMBAVU! huna unalolijua na hao watu wa kaunda sauti si wajinga wajinga kama wewe na kama unavyodhani
Ulisikia ila haukuthibitisha?Huna taarifa kiongozi,kuna taasisi zinatafuta vijana na kuwapa mafunzo na pesa juu ili waliwe au wale tigo.niliposikia niliumia sana
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Tangaza vita na umasikini uache kushindia mihogo na chachandu.kama nchi tutangaze vita ya mashoga...
Duu,By the way. Shigongo ameshiriki sana katika kushamirisha ushoga nchini
Nyie mtasubiri kwanza hadi 2030.Mchakato wa Katiba mpya
Makaratasi ya NGO [emoji851][emoji851][emoji3578]Ushahidi je [emoji23][emoji23]
Kijana wa samia toa hoja zako usikike.Inasikitisha sana...
Shangaa na wee hapo sasa,Anatafuta kiki kama zile za Dudubaya baada ya kuona amekuwa irrelevant
Kwani kuna shida akirudi!?Mwakyembe sio wa kumwamini anataka kurudi siasani.
Sio hawafahamiki ila Nani wakusema!? Ndo mwakyembe sasa..Serikali haiwafahamu ila Mwakyembe anawafahamu.....siasa tu hizi.