Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Hapo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kUna mmoja niliwah kusoma nae chuo,mademu wengi walikuwa wanampenda sana maana yeye ndo alikuwa wa kwanza kupata taarifa zote za umbea

Kwa hao wengine sjui lakin mademu wanapenda sana kuwa nao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niacheni nipasuke jamani, maana nikiandika maneno laini watu hawanielewi. Nimegundua watu huwa wanasikiliza zaidi lugha kali na za kuchoma.

Na mimi kwa kweli nitaendelea kupasuka kweri kwerii, mpaka vikojozi wote wa humu wawe na akili timamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuuh makubwaaaaa lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wataje, tunakuhakikishia usalama wako 100% tunataka tushughulike nao
We FALA nini!... hivi unafkiri mimi ni mjingamjinga mwenzio?!

Nitaku-track alafu nitakufuata kisha nikupeleke mahala tulivu kisha nikuhakikishie huo usalama na ulinzi endapo utatupa dodoso au habari chache dhidi ya jambo fulani.

USIRUDIE TENA 😊
 
Hivi kwanini hawa wazungu wanatumia nguvu nyingi kutaka sisi tuwe tunafirana kama wao?

Kama wao wanaona una manufaa huu mchezo si wao waendelee??, , daah!! Serikali chonde chonde tunusuruni hili janga.
Hii misaada ya kupewa halafu tuambiwe haya muwe mnafirana hatuitaki
 
Lango la jiji kusema ukweli ni sodoma na gomora pale.
Kwasasa sijui hali ikoje,
Enzi zetu hujui mwanaume ni yupi mwanamke yupi.
Unaingia chooni unakuta kijana kapindwa anapigwa kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwakyembe anatafuta kiki kwa pikipiki, kama wanatifuana wao, yy anaumia nini
 
Mzee alipataje namba zao mpaka hao viongozi wa huo mtandao?
Maana nasikiaga kwamba hivi vyama vya siri kama "furiimathoni" huwezi kujua siri zao mpaka uwe mwanachama[emoji848]
Viongozi wamejaa huko kibaoo, waanaanzaje kupinga sasa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio wee ndo ulitakiwa ueleze kila kitu?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nweiii muwaache watu na maisha yao. Uwiiiiih
Ulisema kwamba Jux na J Melody wamekuaje ? Emu elezea maana imezua taharuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…