cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Sasa akiweka humu hiyo serikali ndo haitaogopaaa?Serikali itaficha kuogopa kunyimwa misaada. Aweke humu JF
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa akiweka humu hiyo serikali ndo haitaogopaaa?Serikali itaficha kuogopa kunyimwa misaada. Aweke humu JF
Hapo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kudeal na ushoga ni upuuzi mtupu, viongozi hangaikieni mambo ya maana achaneni na ushenzi, leo hii viongozi waanze kujadili mada za matako tutapeleka wapi hili taifa? Hangaikieni swala la ajira, afya, chakula, malazi, mavazi, elimu na mengineyo. Mambo ya kufokonyoa matako achaneni nayo ni ujinga mtupu.
Wataje, tunakuhakikishia usalama wako 100% tunataka tushughulike naoSerikalini wamejaa kibao!
Kila kitu na wakati wake, wakati wa hili ni sasa.. kama una mashaka Kaa pembeniAna nia nzuri...
Alikuwa wapi siku zote?
Kwa nini sasa?
Je, kuna wasiojulikana huko?
Nyie wanaume ndo mnawalaa kabisaa, sasa unataka kusema nn?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna uhusiano gani kati ya Mapunga na Ke, mbona huwa wana urafiki sana na Ke?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kUna mmoja niliwah kusoma nae chuo,mademu wengi walikuwa wanampenda sana maana yeye ndo alikuwa wa kwanza kupata taarifa zote za umbea
Kwa hao wengine sjui lakin mademu wanapenda sana kuwa nao
Na mabasha pia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ana namba za mashoga?????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja ataulizwa maswali huyu dokta aanze kujikunyata kama anasikia baridi [emoji23][emoji23].
Ila Dr. Mwakyembe ana siasa rahisi sana sijui anawaonaje watanzania.
Mhh, weweee!!! Unaweza kushughulika na PRINCE wewee??????Wataje, tunakuhakikishia usalama wako 100% tunataka tushughulike nao
Akiwemo Jux.Na mabasha pia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niacheni nipasuke jamani, maana nikiandika maneno laini watu hawanielewi. Nimegundua watu huwa wanasikiliza zaidi lugha kali na za kuchoma.
Na mimi kwa kweli nitaendelea kupasuka kweri kwerii, mpaka vikojozi wote wa humu wawe na akili timamu.
Duuuh makubwaaaaa lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushuuda
2014- njaa kali imenichapa mtaani sina mishe, napendeza tu hasubuhi naangaika kutafuta kazi na kukosa kesho yake muendelezo huo huo mpaka mwaka unaisha naanza tena mizunguuko ya kutafuta kazi mwaka ujao-was so hard
2014- nipo masikani baada ya mizunguuko ya hapa na pale nimepoa- tulikuwa vijana wengi wengi kidogo mida ya saa tano inaenda sita za mchana- akaja uncle tu wa mtaani akatuambia kuna inshu tu ya mahojiano hapo muhimbili kuwa mnahojiwa tu mahojiano yakiisha mnapewa posho -degree nyingi kichwani nikahoji’ mahojiano hayo yanahusu nini! Yule uncle akapangua akasema kila kitu mtakijua huko huko- vijana tukaitana tukafika kama vijana 30 hivi? Yulee uncle akatoa nauli elf 5,5 Kwa kila mmoja na akatuambia mkimaliza mahojiano mtapewa posho na akatoa location- hakuna asiyeijua hospital ya muhimbili so akatuelekeza mpaka kwenye hizo ofisi
Sijui sasa kuwa hicho kitengo kipo hapo muhimbili siku zote au walikodi tu Office kwa ajili ya mahojiano ila yote hayo anayoyasema Mh- hapo yalikuwepo kwenye mahojiano na ilikuwa ukiwa mzembe lazima unase-WALLLAH nilikataa na posho yenyewe ile ile elf 5 niliyopewa kama nauli ilitosha kabsa kunirudisha nyumbani kama nauli-M/MUNGU atusimamie InshAAllah
Kwanza hapo reception kwao tulipofika ni mashoga tupu yaani wamejaa, tukaanza kutonyana jamaa katupa dili la kuja kuwabandua nini? Hawa mashoga- nomaa, hatimaye tukaulizia na kuambiwa ndio hapa kuna interview na tukaitiwa wahusika wakatupa utaratibu wakatuambia anaingia mmoja mmoja kwenye hicho kachumba Kwa ajili ya mahojiano- hatari
Nikatishe story ili nisiwachoshe
Maswali yalikuwa hivi kwenye hicho chumba
Unaulizwa jina lako?
Unaulizwa unasikia kuhusu mapenzi ya jinsia moja au unajua kabsa?
Unaulizwa ulishawahi shiriki mapenzi na mwanaume mwenzako ? Kama uliwahi unaulizwa tena ulijisikiaje?
Kama haujawahi unaulizwa unaonaje? Siku uje kujaribu?
Unaulizwa utapenda uje? Kujaribu na condom au bila condom!
Unaulizwa tena unapenda wewe uwe ndio unamfanya mwenzako au yeye? Ndio anakufanya au wote muwe mnafanyana kwa zamu?
Ukikubali unaambiwa upo? Tayari tukutafutie mtu ambaye atakuwa anakufanya au unamfanya bila tatzo lolote yaani yeye atakuwa anakubali tu umfanye au akufanye?
Na unaulizwa Kama ulishawahi kumuingilia msichana kinyume na maumbile na kama ukikubali wanakiringanisha hicho kitendo ni sawa tu na kumuingilia mwanaume mwenzako na wanakushawishi uwe tayari kumuingilia na mwanaume mwenzako
Wanakuuliza utajisikiaje? Siku ukiingiliwa bila wewe mwenyewe kujua uenda ulikuwa umelala au umelewa je? Utaendelea na hicho kitendo au utaacha baada ya kujua kama umefanyiwa
Wana maswali mengi sana ya mtego mtego- na hapo ukiwa unawaunga mkono kwenye maswali yao ndio posho inaongezeka na ndio wanakuwa wanakujali sana, utapewa chakula na n.k
Na wanakubembeleza ukubali kuingia kwenye mkumbo huo wanakwambia kama hautaki kuingiliwa sio tatzo wewe utakuwa unawaingilia tu wanaotaka kuingiliwa na ukihoji ntawapata wapi? Unaambiwa wapo usiwe na shaka juu ya ilo na kwa malipo kama utahitaji-mtihani sana
Wanomba namba yako ili siku kukiwa na semina utumiwe sms au upigiwe uambiwe uende kuudhuria vikao vyao wanatoa vipeperushi, wanagawa na condom na mafuta special ya kutumia wakati wa tendo - ni msiba kweli kweli
Hapo walikuwepo wariorudi mpaka na elf 50 Kama posho ya siku hiyo na vicheko vingi sana kwangu baada ya kutoka kwenye hicho kachumba na kutimua zangu maana walituambia tule na tusubiri pesa zetu Mimi nikasepa zangu na kuja kupata mrejesho kutoka kwa watu nilioongozana nao- vishawishi mia fill mia lazima uingie mtegoni kama ni kichwa cha panzi.
We FALA nini!... hivi unafkiri mimi ni mjingamjinga mwenzio?!Wataje, tunakuhakikishia usalama wako 100% tunataka tushughulike nao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiiiiihMagereza zetu ndio zinaongoza kwa kutengeza Mashoga
Kijana anaingia kwa kosa la uzururaji anatoka akiwa shoga mbobezi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lango la jiji kusema ukweli ni sodoma na gomora pale.
Kwasasa sijui hali ikoje,
Enzi zetu hujui mwanaume ni yupi mwanamke yupi.
Unaingia chooni unakuta kijana kapindwa anapigwa kitu
Viongozi wamejaa huko kibaoo, waanaanzaje kupinga sasa??Mzee alipataje namba zao mpaka hao viongozi wa huo mtandao?
Maana nasikiaga kwamba hivi vyama vya siri kama "furiimathoni" huwezi kujua siri zao mpaka uwe mwanachama[emoji848]
Ulisema kwamba Jux na J Melody wamekuaje ? Emu elezea maana imezua taharukiSio wee ndo ulitakiwa ueleze kila kitu?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nweiii muwaache watu na maisha yao. Uwiiiiih