Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Makonda alizuiwa kuingia Marekani sababu ya kampeni dhidi ya ushoga?
 
Nahisi kuna mission ya siri juu ya hili tumeletewa matatizo ya nguvu za kiume ambapo zamani hakukuwepo kwa hili jambo now wanataka tuwe mashoga ili tusiendeleze kizazi cha matahira AFRICA.
Au kuna jbo lilojificha kwenye hii Agenda?
Watu weusi au WA AFRICA tumekuwa kero kubwa kwa hawa wenzetu wazungu wanatamani tupotee kwenye hii dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…