Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

tanzania haisapoti ushoga kamwe, inafahamika upo na serikali inashughulika nao kimya kimya bila kuropoka hovyo na hatimaye kuharibu diplomasia ya nje, Tanzania inaulaani ushoga, lakini kupiga kelele na matamko hakusaidii endapo hakuna actions za kiakili zinazoendelea chini chini, mwizi wetu atakamatwa kimya kimya!
 
Unamdanganya mwenzako, mashoga wapo kibao miaka na miaka.
 
Wametumwa
 
Nyie mnaosali kwan hamuamin Mungu atamuinua Samia hata akipigwa ban ama ndo kusema apa ni vita ya wanadam , Allah hausik
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waache watu na maisha yao bhanaa.
Ila mbon wanatajwa sana hao mabwana kwenye hii issue imekuaje kuna kaukweli au wanapakaziwa? Eti mkuu
 
Ila mbon wanatajwa sana hao mabwana kwenye hii issue imekuaje kuna kaukweli au wanapakaziwa? Eti mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo wapakaziwe wao tyuuh
 
Nimejaribu kutafakari taarifa ya Mwakyembe siielewi.

1. Ni mbinu zipi alizotumia kubaini hawa mashoga, serikali haikuweza?

2. Ana mantiki gani kuja hadharani kujimwabafai yeyé kama yeyé. Kwanini asingeyapeleka hayo majina mapema. Kimyakimya.?

3. Nilitegemea nisikie akisema alishawasilsha majina muda mrefu lakini hayajafanyiwa Kazi.

4. Je agenda ya ushoga imekuja kufifisha madai ya msingi ya wananchi na kuficha madhaifu makubwa ya Serikali awamu ya sita?
 
Mtakapojua lengo kuu la hizi promo za ushoga mnaojifanya kuzipinga, mtakua msha chelewa.

Kaeni kwenye vimbwetaa vya wanafunzi wa chuo, jinsi wanavyohamasika kuingia huko, hata wasiojua wanajisemea "tukashuhudie kwann unazungumzwa sana" wanaishia kugeuzana zamu zamu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ningekuwa moderator ushakula life ban kitambo sana na mashoga wenzio.
 
Tunaomba kufahamu ni chuo gani? Na sehemu wanayo kwenda
 
Wewe nawe ni wq upinde? Inamaana tatizo mtaani kwako hujaliona? Badala umsifie mwanaume katoka hadharani kulaani wewe unamuaattack!? Una akili wewe?
 
Tumeshangaa anaposema ni mtandao mkubwa wenye viongozi kuanzia ngazi ya taifa, mkoa na wilaya, na anasema hayo mashoga yapo kitambo sana tu na yanatuchora
 
Mnageuzana kwa raha zenu [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…