Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
[emoji38][emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usichokijua ni kama usiku wa giza.
1. Sekta ya afya 60% ni pesa za Grants ambazo ndo zinatumika kununua dawa na vifaa tiba. Own sources plus Government Grant ni 40% ambayo inatumika ku finance sekta ya afya. Wakiacha kutoa hiyo misaada (Grants) sekta ya afya ina collapse...
Hata watu wa Kyela wanatushangaa sana huyu jamaa hamna kitu kabisa, ameona amesahaulika sasa anatafuta kiki ya ntoke vipiHivi kabisa unamuamini Harison 😂😂.
Makatazo ya jambo huwa hayapewi promo, ukiona jambo linasemwa sana jua wanaolisema sema wanalitaka.
Mwiko huwa hautangazwi
Inaelekea wewe ni darasa la saba. Hata tungekesha tunakuelimisha hutaelewa. Tumeshajua level ya uelewa wako hakuna sababu ya kuendelea kupoteza muda na mtu kama wewe.Okay, wahisani wanachangia 60% ya sekta ya afya.
Kwa hiyo 60% ya health bill ya Tanzania ni gharama za kutibu TB, Malaria, Ukimwi na Ukoma ????
Yes or No ????
Si kuonesha muongozo na dodoso?Mwakyembe sio wa kumwamini anataka kurudi siasani.
Kama hapaMwakyembe kuna vitu ameongea vina ka ukweli, ila siyo mtu wa kumuamini sana.
Mnaweza mkamuamini halafu ylbaadaye akaja kuwapeni maana tofauti na mlivyoelewa halafu akafunga mjadala
Umesoma kweli ukaelewa context ya kilichoandikwa? au umerukia juu kwa juu tu.Mwakyembe alichokifanya ni kuweka wazi jambo hili la ushoga,
Haijalishi wewe umelipokeaje na umeelewaje huku mitaani tuliko jambo hili linakuwa na kuongezeka
Watu kama ninyi mnatupoteza ili mwakyembe alichosema kionekane cha kijinga hakina maana.
Ushoga kwa sasa uko kwa kiasi kikubwa na sasa hivi hawajifichi wako wazi
Hata wanyama watuzidi akili kweli huwezi ona mbuzi dume anampanda dume mwenzake kwnn sisi tunashindwa kuelewa.
Matokeo ya binadamu yeyote ni tendo la mwanaume kukutana na mwanamke na si vinginevyo.
Wanakuja hapa Mashoga makungwi kukutukana wewe na wachunguzi husika wa namna ya ushoga unavyopandikizwa TZ na athari zake, nimekaa pale [emoji117][emoji87]Waungwana salama!
Hapa jukwaani hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko la nyuzi zinazoashiria na kulalamika, kwamba vitendo vya mapenzi ya jinsia moja vimekithiri nchini tofauti na huko nyuma.
Watu wengi wamekuwa na mshangao nikiwepo mimi. Sasa kuna hii taarifa ya Harrison Mwakyembe ambayo inazunguka kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mashirika na taasisi mbalimbali kushiriki kampeni za kueneza ushoga Tanzania.
Nikiri kwamba nimeshituka mno, natamani iwe tu propaganda ila ikiwa hata na chembe kidogo cha ukweli, basi tumekwisha.
Natumai vyombo vyetu vitafanya kazi kuliokoa taifa.
Kama hapa
Ameongea kwa uchungu sana tumemsikia Ila mashoga wa humu JF wakiona huu uzi utaona reaction yao utapigwa vitaNadhani nyote mmemsikia wakati anatoa report ya wanyeviti wa mashoga wa kanda na taasisi wanazotokea.
Ameongea kwa uchungu sana. Mungu ambariki.
Umeshatoka kwenye bannedUSHOGA again,
Kazi ipoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo dawa yake ni KUMUUA TU! 😡😡🤬🤬Umeshatoka kwenye banned
Ngoja nikuitie mods[emoji1]