Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Nadhani nyote mmemsikia wakati anatoa report ya wanyeviti wa mashoga wa kanda na taasisi wanazotokea.

Ameongea kwa uchungu sana.

Mungu ambariki.
Wakati ushoga unarindima yeye alikuwa madarakani kindakindaki wakaona wavute hela kuliko kuishauri serikali kutokomeza hilo jambo, saivi makelele haya yatasaidia nini, you cannot cry over the split milk
 
Wadau mliopo Jamvini nawasalimu!!!

Leo katika tafakari yangu Ilinipeleka kwenye swali la mwandishi wa USA Kule Ghana juu ya USHOGA, na jinsi V.P Wa USA alivyo ligongelea kuhusu MSIMAMO wa serikali ya ghana
Juu ya mswaada mpya unahusu USHOGA rais wa Ghana alijikanyaga saana

Sasa je what if the same question likaulizwa kwa Dr.madam Samia unapredict au unahisi unakisia atasema Nini ? Maana mikopo tunachukuwa kwao kwa kigezo Cha Demokrasia, utawala Bora, kuhifadhi na kuheshimu Haki za binadamu. Na matumizi mazuri ya fedha za umma Sasa hapo kwa Haki za bin adamu ndo tatizo maana hata mashoga wamejifichia humo

Sasa huwa tunasikia watu binafsi juu ya misimamo yao kuhusu mashoga Kama Lema alipo ulizwa na Star TV, tundu lissu alipoulozwa na Clouds TV ,Arison Mwakyembe juzi hapa
Sasa MSIMAMO wa serikali juu ya USHOGA na mashoga NI UPI?
Wenzetu Uganda wapo clear na wanatunga Sheria ya kifo kwa mashoga na ushoga nchini kwao Sisi je Kama nchi tuna MSIMAMO gani???
Naomba kuwasilisha
 
Mkuu wa Mkoa wa DAR ES SALAAM nyakati hizo za 2018/2019 Kama sijakosea (am ready to be corrected)
Alikuja na swala Hilo na serikali ilimkana ikasema huo ni MSIMAMO wa Mtu binafsi pasipo kusema MSIMAMO wao nin UPI!!!!!
 
duh! Mwanaume anataka wanaume kuingiliwa na wanaume wenzake!, halafu ni mhadhiri, hii kali
Tabu sana ningeweka details hapa ila naona haitakuwa vyema ila kwa juu juu sana anasumbua vijana wa kozi za sayansi ya viwanda vya nguo/vitambaa
 
Duuh kwa hio mzee Alson anatuletea maigizo ya kaole au sio? Yaan kila kitu kikaeleweka alafu analeta kujifanya Serikali haijui kumbe unajua kila kitu na amesema atataja sasa acha ataje maana Serikali inajua Ila imeficha Siri kutoka kwenye kiapo kua nitaficha Siri unajua ile ya nitaficha Siri sasa Siri ndio km hizo, mzee Alson Anika TU hakuna namna hio Siri sisi wengine tulikua hatuijui kumbe Serikali inajua na imeficha Siri ya baraza la mawaziri,
Nahisi huyu jamaa anajistukia kwa kum attack personally Allison, na inawezekana akawa mmoja wapo
 
Kwa hayo, jukwaa hili tulifanye la mashoga kufunguka kiroho safi ili kuwanusuru wengine.

Vijana, hata wazee, ambao mnajutia hali hiyo fungukeni ili muweze/tuweze kuwanusuru watoto ili tuweze kwa pamoja kuwa na mbinu za kukabiliana na kuishinda hii hali.

Naamini pamoja tutaweza.
Nani atafunguka leo?
 
Nimefuatilia press conference ya Dr H Mwakyembe juu ya mikakati ya USAID shirika la misaada la Marekani katika jitihada zai kuanzisha mtandao wa mashoga kwa vijana nchini.

Kama Mwakyembe kapata hadi machapisho ya mikakati hiyo, basi tujue Serikali ina habari na mipango hiyo. Maana yake vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vina habari ya mipango hii, na viongozi wetu lazima wako briefed na ushetani huu.

Lakini wako kimyaa utafikiri hawapo nchini.

Nia ya mipango hii ni African depopulation. Nia ni kupunguza idadi ya waafrika masikini na hatimaye kuwatawala.

Mashoga hawazaliani.

Hii ni lazima ni strategy ya muda wa miaka si chini ya 50, ili iwazalie matunda wanayotegemea.
Mipango ya kishenzi kama hii hawawezi kuipeleka nchi zinazo jielewa kama China su Uarabuni.

Nampongeza Rais Museveni na Bunge la Uganda kwa kuwatemea mate usoni hawa watu wasio na haya wala moyo wa kumheshimu Mungu Muumba wa vyote.

Serikali yetu tukufu, AMKA NA SEMA NENO!
 
Jamaa ashakabidhi Jina
tupeni taarifa, ni jina la nani huyo, sasa huyo atakuwa shoga gani mpaka atangazwe wakati wenzake wa ulaya na amerika wanajitangaza hadharani bila woga? Tena wa ulaya na amerika unakuta ni maarufu duniani. Kama vipi mashoga ya tanzania yajitangaze yenyewe tu sio mpaka yatangazwe na akina mwakyembe
 
Back
Top Bottom