Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah acha hizo Mzee....umefika mbali mnoHuyo dawa yake ni KUMUUA TU! [emoji35][emoji35][emoji2959][emoji2959]
Unamtumaini Mungu halafu unawaza kuua?Huyo dawa yake ni KUMUUA TU! [emoji35][emoji35][emoji2959][emoji2959]
Kuna vitu huvijui na huvielewi.Unamtumaini Mungu halafu unawaza kuua?
Wewe ni wakala wa shetan ulifaa ujiite hivyo,
Muuaji hutouona ufalme wa mbinguni [emoji732]️
Wakati ushoga unarindima yeye alikuwa madarakani kindakindaki wakaona wavute hela kuliko kuishauri serikali kutokomeza hilo jambo, saivi makelele haya yatasaidia nini, you cannot cry over the split milkNadhani nyote mmemsikia wakati anatoa report ya wanyeviti wa mashoga wa kanda na taasisi wanazotokea.
Ameongea kwa uchungu sana.
Mungu ambariki.
Alile khako .Kama hapa
Tabu sana ningeweka details hapa ila naona haitakuwa vyema ila kwa juu juu sana anasumbua vijana wa kozi za sayansi ya viwanda vya nguo/vitambaaduh! Mwanaume anataka wanaume kuingiliwa na wanaume wenzake!, halafu ni mhadhiri, hii kali
Wacha uboyaAunty Muddy...!
Nahisi huyu jamaa anajistukia kwa kum attack personally Allison, na inawezekana akawa mmoja wapoDuuh kwa hio mzee Alson anatuletea maigizo ya kaole au sio? Yaan kila kitu kikaeleweka alafu analeta kujifanya Serikali haijui kumbe unajua kila kitu na amesema atataja sasa acha ataje maana Serikali inajua Ila imeficha Siri kutoka kwenye kiapo kua nitaficha Siri unajua ile ya nitaficha Siri sasa Siri ndio km hizo, mzee Alson Anika TU hakuna namna hio Siri sisi wengine tulikua hatuijui kumbe Serikali inajua na imeficha Siri ya baraza la mawaziri,
Inasikitisha sana aisee, Ila ndio hivyo tena ishakuaNahisi huyu jamaa anajistukia kwa kum attack personally Allison, na inawezekana akawa mmoja wapo
Nani atafunguka leo?Kwa hayo, jukwaa hili tulifanye la mashoga kufunguka kiroho safi ili kuwanusuru wengine.
Vijana, hata wazee, ambao mnajutia hali hiyo fungukeni ili muweze/tuweze kuwanusuru watoto ili tuweze kwa pamoja kuwa na mbinu za kukabiliana na kuishinda hii hali.
Naamini pamoja tutaweza.
Nimefuatilia press conference ya Dr H Mwakyembe juu ya mikakati ya USAID shirika la misaada la Marekani katika jitihada zai kuanzisha mtandao wa mashoga kwa vijana nchini.
Kama Mwakyembe kapata hadi machapisho ya mikakati hiyo, basi tujue Serikali ina habari na mipango hiyo. Maana yake vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vina habari ya mipango hii, na viongozi wetu lazima wako briefed na ushetani huu.
Lakini wako kimyaa utafikiri hawapo nchini.
Nia ya mipango hii ni African depopulation. Nia ni kupunguza idadi ya waafrika masikini na hatimaye kuwatawala.
Mashoga hawazaliani.
Hii ni lazima ni strategy ya muda wa miaka si chini ya 50, ili iwazalie matunda wanayotegemea.
Mipango ya kishenzi kama hii hawawezi kuipeleka nchi zinazo jielewa kama China su Uarabuni.
Nampongeza Rais Museveni na Bunge la Uganda kwa kuwatemea mate usoni hawa watu wasio na haya wala moyo wa kumheshimu Mungu Muumba wa vyote.
Serikali yetu tukufu, AMKA NA SEMA NENO!
bibie mpendwa upo? Hili sakata unalionaje, atataja au atakaa kimya lipite?Nani atafunguka leo?
Ameshataja.bibie mpendwa upo? Hili sakata unalionaje, atataja au atakaa kimya lipite?
sijasoma habari hiyo, waleta habari naona hawajaleta humuAmeshataja.
tupeni taarifa, ni jina la nani huyo, sasa huyo atakuwa shoga gani mpaka atangazwe wakati wenzake wa ulaya na amerika wanajitangaza hadharani bila woga? Tena wa ulaya na amerika unakuta ni maarufu duniani. Kama vipi mashoga ya tanzania yajitangaze yenyewe tu sio mpaka yatangazwe na akina mwakyembeJamaa ashakabidhi Jina