Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Ushuuda

2014- njaa kali imenichapa mtaani sina mishe, napendeza tu hasubuhi naangaika kutafuta kazi na kukosa kesho yake muendelezo huo huo mpaka mwaka unaisha naanza tena mizunguuko ya kutafuta kazi mwaka ujao-was so hard

2014- nipo masikani baada ya mizunguuko ya hapa na pale nimepoa- tulikuwa vijana wengi wengi kidogo mida ya saa tano inaenda sita za mchana- akaja uncle tu wa mtaani akatuambia kuna inshu tu ya mahojiano hapo muhimbili kuwa mnahojiwa tu mahojiano yakiisha mnapewa posho -degree nyingi kichwani nikahoji’ mahojiano hayo yanahusu nini! Yule uncle akapangua akasema kila kitu mtakijua huko huko- vijana tukaitana tukafika kama vijana 30 hivi? Yulee uncle akatoa nauli elf 5,5 Kwa kila mmoja na akatuambia mkimaliza mahojiano mtapewa posho na akatoa location- hakuna asiyeijua hospital ya muhimbili so akatuelekeza mpaka kwenye hizo ofisi

Sijui sasa kuwa hicho kitengo kipo hapo muhimbili siku zote au walikodi tu Office kwa ajili ya mahojiano ila yote hayo anayoyasema Mh- hapo yalikuwepo kwenye mahojiano na ilikuwa ukiwa mzembe lazima unase-WALLLAH nilikataa na posho yenyewe ile ile elf 5 niliyopewa kama nauli ilitosha kabsa kunirudisha nyumbani kama nauli-M/MUNGU atusimamie InshAAllah

Kwanza hapo reception kwao tulipofika ni mashoga tupu yaani wamejaa, tukaanza kutonyana jamaa katupa dili la kuja kuwabandua nini? Hawa mashoga- nomaa, hatimaye tukaulizia na kuambiwa ndio hapa kuna interview na tukaitiwa wahusika wakatupa utaratibu wakatuambia anaingia mmoja mmoja kwenye hicho kachumba Kwa ajili ya mahojiano- hatari

Nikatishe story ili nisiwachoshe

Maswali yalikuwa hivi kwenye hicho chumba

Unaulizwa jina lako?

Unaulizwa unasikia kuhusu mapenzi ya jinsia moja au unajua kabsa?

Unaulizwa ulishawahi shiriki mapenzi na mwanaume mwenzako ? Kama uliwahi unaulizwa tena ulijisikiaje?

Kama haujawahi unaulizwa unaonaje? Siku uje kujaribu?
Unaulizwa utapenda uje? Kujaribu na condom au bila condom!

Unaulizwa tena unapenda wewe uwe ndio unamfanya mwenzako au yeye? Ndio anakufanya au wote muwe mnafanyana kwa zamu?

Ukikubali unaambiwa upo? Tayari tukutafutie mtu ambaye atakuwa anakufanya au unamfanya bila tatzo lolote yaani yeye atakuwa anakubali tu umfanye au akufanye?

Na unaulizwa Kama ulishawahi kumuingilia msichana kinyume na maumbile na kama ukikubali wanakiringanisha hicho kitendo ni sawa tu na kumuingiria mwanaume mwenzako na wanakushawishi uwe tayari kumuingilia na mwanaume mwenzako

Wanakuuliza utajisikiaje? Siku ukiingiliwa bila wewe mwenyewe kujua uenda ulikuwa umelala au umelewa je? Utaendelea na hicho kitendo au utaacha baada ya kujua kama umefanyiwa

Wana maswali mengi sana ya mtego mtego- na hapo ukiwa unawaunga mkono kwenye maswali yao ndio posho inaongezeka na ndio wanakuwa wanakujali sana, utapewa chakula na n.k

Na wanakubembeleza ukubali kuingia kwenye mkumbo huo wanakwambia kama hautaki kuingiliwa sio tatzo wewe utakuwa unawaingilia tu wanaotaka kuingiliwa na ukihoji ntawapata wapi? Unaambiwa wapo usiwe na shaka juu ya ilo na kwa malipo kama utahitaji-mtihani sana

Wanomba namba yako ili siku kukiwa na semina utumiwe sms au upigiwe uambiwe uende kuudhuria vikao vyao wanatoa vipeperushi, wanagawa na condom na mafuta special ya kutumia wakati wa tendo - ni msiba kweli kweli

Hapo walikuwepo wariorudi mpaka na elf 50 Kama posho ya siku hiyo na vicheko vingi sana kwangu baada ya kutoka kwenye hicho kachumba na kutimua zangu maana walituambia tule na tusubiri pesa zetu Mimi nikasepa zangu na kuja kupata mrejesho kutoka kwa watu nilioongozana nao- vishawishi mia fill mia lazima uingie mtegoni kama ni kichwa cha panzi.
Yaani ulikubali kuulizwa maswali yote hayo hadi mwisho? Ulikua unakusanya ushahidi au?
Kwa mwanaume wa kweli sidhani kama wangeweza kumaliza hata sentensi.
Yaani unaulizwa utakubali na wewe unajibu sikubali halafu unasubiri swali lingine?
Unaulizwa kama wakupe mtu akujaribishe unakataa, halafu unasubiri swali lingine? Aisee kwa mtindo huu wengi inaonekana mmeshanasa na mmefanyiwa angalau mara moja ingawa ni siri
 
Huna akili kama mwakyembe mwenyewe anatafuta njia ya kurudi redioni na kitaa ,na inaonesha unaumri mdogo Sana hunataarifa zamambo mengi ..... Ukiachana na wizara ya afya anayosema mjinga mwezako,jiulize makonda alivoazisha vita hiyo wizara iliyokua chini ya mwanadiplomasia nguli nchini na na viwanja kimataifa ,wizara ilisema nn
 
Ushuuda

2014- njaa kali imenichapa mtaani sina mishe, napendeza tu hasubuhi naangaika kutafuta kazi na kukosa kesho yake muendelezo huo huo mpaka mwaka unaisha naanza tena mizunguuko ya kutafuta kazi mwaka ujao-was so hard

2014- nipo masikani baada ya mizunguuko ya hapa na pale nimepoa- tulikuwa vijana wengi wengi kidogo mida ya saa tano inaenda sita za mchana- akaja uncle tu wa mtaani akatuambia kuna inshu tu ya mahojiano hapo muhimbili kuwa mnahojiwa tu mahojiano yakiisha mnapewa posho -degree nyingi kichwani nikahoji’ mahojiano hayo yanahusu nini! Yule uncle akapangua akasema kila kitu mtakijua huko huko- vijana tukaitana tukafika kama vijana 30 hivi? Yulee uncle akatoa nauli elf 5,5 Kwa kila mmoja na akatuambia mkimaliza mahojiano mtapewa posho na akatoa location- hakuna asiyeijua hospital ya muhimbili so akatuelekeza mpaka kwenye hizo ofisi

Sijui sasa kuwa hicho kitengo kipo hapo muhimbili siku zote au walikodi tu Office kwa ajili ya mahojiano ila yote hayo anayoyasema Mh- hapo yalikuwepo kwenye mahojiano na ilikuwa ukiwa mzembe lazima unase-WALLLAH nilikataa na posho yenyewe ile ile elf 5 niliyopewa kama nauli ilitosha kabsa kunirudisha nyumbani kama nauli-M/MUNGU atusimamie InshAAllah

Kwanza hapo reception kwao tulipofika ni mashoga tupu yaani wamejaa, tukaanza kutonyana jamaa katupa dili la kuja kuwabandua nini? Hawa mashoga- nomaa, hatimaye tukaulizia na kuambiwa ndio hapa kuna interview na tukaitiwa wahusika wakatupa utaratibu wakatuambia anaingia mmoja mmoja kwenye hicho kachumba Kwa ajili ya mahojiano- hatari

Nikatishe story ili nisiwachoshe

Maswali yalikuwa hivi kwenye hicho chumba

Unaulizwa jina lako?

Unaulizwa unasikia kuhusu mapenzi ya jinsia moja au unajua kabsa?

Unaulizwa ulishawahi shiriki mapenzi na mwanaume mwenzako ? Kama uliwahi unaulizwa tena ulijisikiaje?

Kama haujawahi unaulizwa unaonaje? Siku uje kujaribu?
Unaulizwa utapenda uje? Kujaribu na condom au bila condom!

Unaulizwa tena unapenda wewe uwe ndio unamfanya mwenzako au yeye? Ndio anakufanya au wote muwe mnafanyana kwa zamu?

Ukikubali unaambiwa upo? Tayari tukutafutie mtu ambaye atakuwa anakufanya au unamfanya bila tatzo lolote yaani yeye atakuwa anakubali tu umfanye au akufanye?

Na unaulizwa Kama ulishawahi kumuingilia msichana kinyume na maumbile na kama ukikubali wanakiringanisha hicho kitendo ni sawa tu na kumuingilia mwanaume mwenzako na wanakushawishi uwe tayari kumuingilia na mwanaume mwenzako

Serikali itakuwa imeamua kwa makusudi kuharibu raia wake badala yakuwalinda.
Tutakimbilia wp sisi na vizazi vyetu?
Ee mwenyezi Mungu tusamehe na utuhurumie.
 
Yaani ulikubali kuulizwa maswaki yote hayo hadi mwisho? Ulikua unakusanya ushahidi au?
Kwa mwanaume wa kweli sidhani kama wangeweza kumaliza hata sentensi.
Yaani unaulizwa utakubali na wewe unajibu sikubali halafu unasubiri swali lingine?
Unaulizwa kama wakupe mtu akujaribishe unakataa, halafu unasubiri swali lingine? Aisee kwa mtindo huu wengi inaonekana mmeshanasa na mmefanyiwa angalau mara moja ingawa ni siri

Kama utasoka kama funzo- hongera ila kama una-react kwa kutaka miemko ya wengine pia endelea utaipata tu kiongozi- nimetoa chanzo ambacho kipo na kwa maelezo ya MH- hapo ni ukweli na kinaendelea

Na nikuambie tu - ukiwa kwenye mtego inabidi na wewe uwe mtego ili uweze kutoka mtegoni- maisha mengine yaendelee

Fikiria palee mwisho wako umeishia alafu jijibu then jipigie makofi kwa kuridhika na majibu yako
 
Ushuuda

2014- njaa kali imenichapa mtaani sina mishe, napendeza tu hasubuhi naangaika kutafuta kazi na kukosa kesho yake muendelezo huo huo mpaka mwaka unaisha naanza tena mizunguuko ya kutafuta kazi mwaka ujao-was so hard

2014- nipo masikani baada ya mizunguuko ya hapa na pale nimepoa- tulikuwa vijana wengi wengi kidogo mida ya saa tano inaenda sita za mchana- akaja uncle tu wa mtaani akatuambia kuna inshu tu ya mahojiano hapo muhimbili kuwa mnahojiwa tu mahojiano yakiisha mnapewa posho -degree nyingi kichwani nikahoji’ mahojiano hayo yanahusu nini! Yule uncle akapangua akasema kila kitu mtakijua huko huko- vijana tukaitana tukafika kama vijana 30 hivi? Yulee uncle akatoa nauli elf 5,5 Kwa kila mmoja na akatuambia mkimaliza mahojiano mtapewa posho na akatoa location- hakuna asiyeijua hospital ya muhimbili so akatuelekeza mpaka kwenye hizo ofisi

Sijui sasa kuwa hicho kitengo kipo hapo muhimbili siku zote au walikodi tu Office kwa ajili ya mahojiano ila yote hayo anayoyasema Mh- hapo yalikuwepo kwenye mahojiano na ilikuwa ukiwa mzembe lazima unase-WALLLAH nilikataa na posho yenyewe ile ile elf 5 niliyopewa kama nauli ilitosha kabsa kunirudisha nyumbani kama nauli-M/MUNGU atusimamie InshAAllah

Kwanza hapo reception kwao tulipofika ni mashoga tupu yaani wamejaa, tukaanza kutonyana jamaa katupa dili la kuja kuwabandua nini? Hawa mashoga- nomaa, hatimaye tukaulizia na kuambiwa ndio hapa kuna interview na tukaitiwa wahusika wakatupa utaratibu wakatuambia anaingia mmoja mmoja kwenye hicho kachumba Kwa ajili ya mahojiano- hatari

Nikatishe story ili nisiwachoshe

Maswali yalikuwa hivi kwenye hicho chumba

Unaulizwa jina lako?

Unaulizwa unasikia kuhusu mapenzi ya jinsia moja au unajua kabsa?

Unaulizwa ulishawahi shiriki mapenzi na mwanaume mwenzako ? Kama uliwahi unaulizwa tena ulijisikiaje?

Kama haujawahi unaulizwa unaonaje? Siku uje kujaribu?
Unaulizwa utapenda uje? Kujaribu na condom au bila condom!

Unaulizwa tena unapenda wewe uwe ndio unamfanya mwenzako au yeye? Ndio anakufanya au wote muwe mnafanyana kwa zamu?

Ukikubali unaambiwa upo? Tayari tukutafutie mtu ambaye atakuwa anakufanya au unamfanya bila tatzo lolote yaani yeye atakuwa anakubali tu umfanye au akufanye?

Na unaulizwa Kama ulishawahi kumuingilia msichana kinyume na maumbile na kama ukikubali wanakiringanisha hicho kitendo ni sawa tu na kumuingilia mwanaume mwenzako na wanakushawishi uwe tayari kumuingilia na mwanaume mwenzako

Wanakuuliza utajisikiaje? Siku ukiingiliwa bila wewe mwenyewe kujua uenda ulikuwa umelala au umelewa je? Utaendelea na hicho kitendo au utaacha baada ya kujua kama umefanyiwa

Wana maswali mengi sana ya mtego mtego- na hapo ukiwa unawaunga mkono kwenye maswali yao ndio posho inaongezeka na ndio wanakuwa wanakujali sana, utapewa chakula na n.k

Na wanakubembeleza ukubali kuingia kwenye mkumbo huo wanakwambia kama hautaki kuingiliwa sio tatzo wewe utakuwa unawaingilia tu wanaotaka kuingiliwa na ukihoji ntawapata wapi? Unaambiwa wapo usiwe na shaka juu ya ilo na kwa malipo kama utahitaji-mtihani sana

Wanomba namba yako ili siku kukiwa na semina utumiwe sms au upigiwe uambiwe uende kuudhuria vikao vyao wanatoa vipeperushi, wanagawa na condom na mafuta special ya kutumia wakati wa tendo - ni msiba kweli kweli

Hapo walikuwepo wariorudi mpaka na elf 50 Kama posho ya siku hiyo na vicheko vingi sana kwangu baada ya kutoka kwenye hicho kachumba na kutimua zangu maana walituambia tule na tusubiri pesa zetu Mimi nikasepa zangu na kuja kupata mrejesho kutoka kwa watu nilioongozana nao- vishawishi mia fill mia lazima uingie mtegoni kama ni kichwa cha panzi.
Duh kweli balaa
 
Bora wew umefunguka kuliko hao vilaza huko juu wanaoleta utan na kumshambulia kiongozi aliyeamua kutoa taarifa ya uchafu unaotendeka.

Tatizo la nchi hii baadhi ya vijana ama wafuasi wa siasa, wakiona mtu asiye wa mlengo wao kisiasa na Kaleta taarifa wao hupinga tu hatakama inamake sense, wao ni kubisha bisha hovyo.

Ukweli ni kwamba, kati ya wizara za Hovyo na ambazo mashetan ngozi nyeupe wamefanikiwa Kuiteka ni wizara ya Afya.

Upande huu wa afya kuna mengi yamejificha ambayo yanasababisha uharibifu wa maisha ya waTz/waafrika pia afya kuharibika.

Upande huu huu wa afya wanautumia watu weupe kupitisha ajenda zao za depopullation kupitia magonjwa feki mnayoyaogopa kama HIV/AIDS, Cancer, Magonjwa ya moyo, hizo UTI sugu zisizokoma, Ebola, Covid19, magonjwa ya uzazi&ugumba, pia utolewaji wa madawa yanayofupisha maisha ya wagonjwa kama vile hayo ma ARV, chanjo feki wanazowadunga watoto wadogo wakisingizia polio na upuuzi mwingi, pia machanjo hayo hayo ndio uharibu homoni za watoto tangu wakiwa wadogo na hatimae wanakuwa watu wazima wakiwa na Tamaa za ngono za jinsi moja(ushoga).

Kiufupi haya mambo yanajulikana sana, ni vile vichwa ngumu hawataki kuelewa maana wameshaharibiwa akili, pia mambo haya yanapewa nguvu na hizo nchi mnazoziabudu zinawapa mikopo ya kishenzi na kuwasainisha mikataba ya kushetani.

Bila kisahau hata dini wanazitumia vile vile kueneza ushenzi wao wa ushoga, na nyavu yao ya mwisho ya kumnasa mtu mweusi wanajua ni dini, hivyo kupitia dini watawakamata wengi sana, haswa wale vichwa vibovu wafia dini wazee wa kuamini kila jambo bila kuhoji.

Uongozi dhaifu kama huu si rahisi kupambana na haya maovu, labda tuombe huko mbeleni tupate viongozi wasioteteleka wala kuendeshwa na mindset za kitumwa za kiCCM na kichadema.
 
Very right.

Mwenzao yule Uganda alikuja na hii mbwinu ya kuwahadaa waganda, lakini tangu alipopigwa mkwara na mabeberu akatokomea shimonii na kale kasheria kake cha kisanii.

Mpaka leo hajaonekana ni siku ya tano. Nadhani kajibanza chumbani anapanga mikakati ya nitoke vipi maana Beberu limeshadisaa linataka haki yake.
Umejua kunichekesha walai [emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Niacheni nipasuke jamani, maana nikiandika maneno laini watu hawanielewi. Nimegundua watu huwa wanasikiliza zaidi lugha kali na za kuchoma.

Na mimi kwa kweli nitaendelea kupasuka kweri kwerii, mpaka hawa vikojozi wa humu wawe na akili timamu.
Ndio ndio,
Endelea kuwapa ukweli, waafrika tunapenda kudanganywa kuliko ukweli
 
Huna akili kama mwakyembe mwenyewe anatafuta njia ya kurudi redioni na kitaa ,na inaonesha unaumri mdogo Sana hunataarifa zamambo mengi ..... Ukiachana na wizara ya afya anayosema mjinga mwezako,jiulize makonda alivoazisha vita hiyo wizara iliyokua chini ya mwanadiplomasia nguli nchini na na viwanja kimataifa ,wizara ilisema nn
Angeyasema maneno hayo lisu ama mbowe mngempigia makofi na kumshukuru, lkn kwakua kaongea mtu ambaye si wa chama chenu bas mnatukana, yaan mtu aliyeitumikia nchi kwa ngazi kubwa ya uwaziri kwa muda mrefu, eti leo hii aje atafute attention ambayo haimsaidii kitu.

Ifike mahala muache chuki zenu za kitoto, demokrasia sio matusi na kupingapinga kila jambo,
 
Hapana Sina hulka hizo kinachoumiza ,nikwamba sikweli mwakyembe alikua hayajui haya akiwa ndani ya Dola ,Leo anayasema baada ya wanasheria wezake akina lisu kusema wazi kama nchi hii tunakataa ushonga Sheria ya faranga kwenye katiba ifutwe ,sio kusema downdown akati jamii inateketea ..... Usiri wa serikali ndo mazao yake
 
Watu wengine ni wazima ila hawana akili.
Wapi mtu amekuja mshikia mtu bunduki kuwa lazima muwe mashoga?

Ushoga upo ndani ya familia zenu, makanisani, misikitini, mitaani, jaribuni kwanza kuondoa hiyo hali kabla hajamalalamikia mtu.

Mashoga mnawalea wenyewe, wengine nyinyi ndiyo mwawafundisha afu mnawalaumu watu wasiohusika

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Hizi ni dharau kwa Jamii.

Haiwezekani umedamka na kusema hayo tu bila kuwa na sababu ya msingi. Nini kinakusukuma kutoa kejeli zote hizo?

Endelea, lakini uwe na heshima na adabu.

Unachopinga ni nini?
 
Nimemsikiliza Mwakyembe hotuba yote! Inatisha na tusione aibu kuchukua hatua. Kama serikali ikaa kimya tunavuna laana na machafuko yasiyosimilika. Dr Mwakyembe ametaja hadi taasisi na NGOs zinazohusika! It's a big shame vyombo vyetu vya usalama hawaku neutralise hili before the damage.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kweli mashoga wamejipanga mpaka hapa kwenye hili jukwaa wamevamia uzi wanautetea ushoga na kumpinga mtoa Mada kweli labda ana mapungufu lakini alichofanya ni sahihi au si sahihi kwa maslai mapana ya Taifa na Imani zetu
 
Mwakyembe USAID ikimfungulia mashitaka ndiyo ataelewa kuwa hajui. Ni aibu kwa mtu wa sheria, tena msomi kama yeye, kutoa maneno bila ushahidi. Mama Samia, deal na watu kama hawa wanaotaka kukuchonganisha na jumuiya za kimataifa.
Mwamba katikisa kiberiti ... Ngoja tuone reaction.

Lakini sidhani kama amekuja kindezindezi....

I dont think Sooo.... Lets wait..
 
Huna akili kama mwakyembe mwenyewe anatafuta njia ya kurudi redioni na kitaa ,na inaonesha unaumri mdogo Sana hunataarifa zamambo mengi ..... Ukiachana na wizara ya afya anayosema mjinga mwezako,jiulize makonda alivoazisha vita hiyo wizara iliyokua chini ya mwanadiplomasia nguli nchini na na viwanja kimataifa ,wizara ilisema nn
Kwahiyo unatakeje mkuu!??
 
Back
Top Bottom