Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Ushoga haujawahi kuwa ni kitu cha kawaida duniani pamoja na kwamba upo toka karne hizo, hata huko Marekani ushoga haujawa kuwa sawa na mapenzi ya jinsia tofauti ya mwanaume na mwanamke. Afrika mashoga wapo pia na hufanya huo ushoga pamoja na kwamba jamii yetu inalichukulia hilo tendo kuwa ni kinyume na maadili yetu.

Sasa tatizo hapa ni jitihada ya maksudi kutaka kufanya ushoga uonekana ni kitu cha kawaida na ndio maana tunaona kwenye filamu, miziki n.k kumekuwa kunaingizwa jambo hilo.

Bongo,ufisadi,rushwa,uzinzi,ulevi vimekua vitu vya kawaida hata huo ushoga umeanza na utakua kitu cha kawaida tu,
 
Ushuuda

2014- njaa kali imenichapa mtaani sina mishe, napendeza tu hasubuhi naangaika kutafuta kazi na kukosa kesho yake muendelezo huo huo mpaka mwaka unaisha naanza tena mizunguuko ya kutafuta kazi mwaka ujao-was so hard

2014- nipo masikani baada ya mizunguuko ya hapa na pale nimepoa- tulikuwa vijana wengi wengi kidogo mida ya saa tano inaenda sita za mchana- akaja uncle tu wa mtaani akatuambia kuna inshu tu ya mahojiano hapo muhimbili kuwa mnahojiwa tu mahojiano yakiisha mnapewa posho -degree nyingi kichwani nikahoji’ mahojiano hayo yanahusu nini! Yule uncle akapangua akasema kila kitu mtakijua huko huko- vijana tukaitana tukafika kama vijana 30 hivi? Yulee uncle akatoa nauli elf 5,5 Kwa kila mmoja na akatuambia mkimaliza mahojiano mtapewa posho na akatoa location- hakuna asiyeijua hospital ya muhimbili so akatuelekeza mpaka kwenye hizo ofisi

Sijui sasa kuwa hicho kitengo kipo hapo muhimbili siku zote au walikodi tu Office kwa ajili ya mahojiano ila yote hayo anayoyasema Mh- hapo yalikuwepo kwenye mahojiano na ilikuwa ukiwa mzembe lazima unase-WALLLAH nilikataa na posho yenyewe ile ile elf 5 niliyopewa kama nauli ilitosha kabsa kunirudisha nyumbani kama nauli-M/MUNGU atusimamie InshAAllah

Kwanza hapo reception kwao tulipofika ni mashoga tupu yaani wamejaa, tukaanza kutonyana jamaa katupa dili la kuja kuwabandua nini? Hawa mashoga- nomaa, hatimaye tukaulizia na kuambiwa ndio hapa kuna interview na tukaitiwa wahusika wakatupa utaratibu wakatuambia anaingia mmoja mmoja kwenye hicho kachumba Kwa ajili ya mahojiano- hatari

Nikatishe story ili nisiwachoshe

Maswali yalikuwa hivi kwenye hicho chumba

Unaulizwa jina lako?

Unaulizwa unasikia kuhusu mapenzi ya jinsia moja au unajua kabsa?

Unaulizwa ulishawahi shiriki mapenzi na mwanaume mwenzako ? Kama uliwahi unaulizwa tena ulijisikiaje?

Kama haujawahi unaulizwa unaonaje? Siku uje kujaribu?
Unaulizwa utapenda uje? Kujaribu na condom au bila condom!

Unaulizwa tena unapenda wewe uwe ndio unamfanya mwenzako au yeye? Ndio anakufanya au wote muwe mnafanyana kwa zamu?

Ukikubali unaambiwa upo? Tayari tukutafutie mtu ambaye atakuwa anakufanya au unamfanya bila tatzo lolote yaani yeye atakuwa anakubali tu umfanye au akufanye?

Na unaulizwa Kama ulishawahi kumuingilia msichana kinyume na maumbile na kama ukikubali wanakiringanisha hicho kitendo ni sawa tu na kumuingilia mwanaume mwenzako na wanakushawishi uwe tayari kumuingilia na mwanaume mwenzako

Wanakuuliza utajisikiaje? Siku ukiingiliwa bila wewe mwenyewe kujua uenda ulikuwa umelala au umelewa je? Utaendelea na hicho kitendo au utaacha baada ya kujua kama umefanyiwa

Wana maswali mengi sana ya mtego mtego- na hapo ukiwa unawaunga mkono kwenye maswali yao ndio posho inaongezeka na ndio wanakuwa wanakujali sana, utapewa chakula na n.k

Na wanakubembeleza ukubali kuingia kwenye mkumbo huo wanakwambia kama hautaki kuingiliwa sio tatzo wewe utakuwa unawaingilia tu wanaotaka kuingiliwa na ukihoji ntawapata wapi? Unaambiwa wapo usiwe na shaka juu ya ilo na kwa malipo kama utahitaji-mtihani sana

Wanomba namba yako ili siku kukiwa na semina utumiwe sms au upigiwe uambiwe uende kuudhuria vikao vyao wanatoa vipeperushi, wanagawa na condom na mafuta special ya kutumia wakati wa tendo - ni msiba kweli kweli

Hapo walikuwepo wariorudi mpaka na elf 50 Kama posho ya siku hiyo na vicheko vingi sana kwangu baada ya kutoka kwenye hicho kachumba na kutimua zangu maana walituambia tule na tusubiri pesa zetu Mimi nikasepa zangu na kuja kupata mrejesho kutoka kwa watu nilioongozana nao- vishawishi mia fill mia lazima uingie mtegoni kama ni kichwa cha panzi.
Mkuu tumia akili huo lazima ulikuwa ni utafiti...
Watu mna akili nyepesi sana...unafikiri Muhimbili mafala...hahaha
 
Tuache kumbeza Mwakyembe hata kama anatafuta back up ya kisiasa ni sawa tu maana anaitafutia kwenye kitu sahihi hili suala la ushoga sio la kulikalia kimya, au kuliweka kisiasa, ni suala la kijamii, hususani maadili ya watoto na taifa kwa ujumla. Yeyote mwenue influence ya kifedha, kisiasa au kidini atakae tokeza na kulipinga wazi wazi tunatakiwa tumsapoti sana, maana hali ni mbaya na inazidi kuwa mbaya.

Viongozi wengine wamekaa kimya mnadhani wanafanya sawa kukaa kimya? Hawa wachache walio jitokeza Mfano Makamu wa Rais Dkt Mpango na Mwakyembe tunatakiwa kuwa shukuru sana na kuwapa moyo ikibidi hizi clip zao tushee kwa wingi ili ujumbe ufike mbali.

Hawa wamarekani hata kama wanatusaidia kutupatia ARV, vyandarua na ujinga mwingine kwa kivuli cha msaada basi wasitupelekeshe wanavyo taka. Kwa mambo ya kijinga kama haya ya kupenda misaada walituletea huu ukimwi miaka ya 90 na ukimwi ule ulichakaza sana watu, kila nyumba ilikua inawaka moto. Wakaja kutuletea dawa za kufubaza ili watutawale vizuri na sio siri wanatutawala sio poa.

Nawaambieni tukiwa maboya boya hivi watatuletea ugonjwa mwingine ambao wao dawa wanazo na kwao hawana magonjwa hayo. Mfano hai covid ile ni ugonjwa wa kutengeneza lab, Tusimame tujitetee, tujitegemee tuache ufala na ku ukumbatia umaskini, unyonge kama ni sifa nzuri. Masuala ya kukopa kopa haya ndo yanaleta miyeyusho sana.. Aaah inaumiza sana
 
Alipokuwa waziri wa sheria alichukua hatua gani na ushoga ulikuwepo?
Cheap politics.
Alikuwa anafanya uchunguzi wa kina ili anapokuja kwenye media awe na ushahidi rasmi.

Siyo kila kitu siasa na tuwe makini na Jamii zetu kwa maisha ya kesho, wakati mwingine saa mbovu husema ukweli.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mbona hajafanya uchunguzi wa ufisadi anatuzuga na vielelezo uchwara vya kutinduana mavi.
 
Tuache kumbeza Mwakyembe hata kama anatafuta back up ya kisiasa ni sawa tu maana anaitafutia kwenye kitu sahihi hili suala la ushoga sio la kulikalia kimya, au kuliweka kisiasa, ni suala la kijamii, hususani maadili ya watoto na taifa kwa ujumla. Yeyote mwenue influence ya kifedha, kisiasa au kidini atakae tokeza na kulipinga wazi wazi tunatakiwa tumsapoti sana, maana hali ni mbaya na inazidi kuwa mbaya.

Viongozi wengine wamekaa kimya mnadhani wanafanya sawa kukaa kimya? Hawa wachache walio jitokeza Mfano Makamu wa Rais Dkt Mpango na Mwakyembe tunatakiwa kuwa shukuru sana na kuwapa moyo ikibidi hizi clip zao tushee kwa wingi ili ujumbe ufike mbali.

Hawa wamarekani hata kama wanatusaidia kutupatia ARV, vyandarua na ujinga mwingine kwa kivuli cha msaada basi wasitupelekeshe wanavyo taka. Kwa mambo ya kijinga kama haya ya kupenda misaada walituletea huu ukimwi miaka ya 90 na ukimwi ule ulichakaza sana watu, kila nyumba ilikua inawaka moto. Wakaja kutuletea dawa za kufubaza ili watutawale vizuri na sio siri wanatutawala sio poa.

Nawaambieni tukiwa maboya boya hivi watatuletea ugonjwa mwingine ambao wao dawa wanazo na kwao hawana magonjwa hayo. Mfano hai covid ile ni ugonjwa wa kutengeneza lab, Tusimame tujitetee, tujitegemee tuache ufala na ku ukumbatia umaskini, unyonge kama ni sifa nzuri. Masuala ya kukopa kopa haya ndo yanaleta miyeyusho sana.. Aaah inaumiza sana

Inaumiza sana,aliyeonyesha nia thabiti ya kusimama imara kiuchumi,mlimfanyia figisu na zengwe.
 
Hawa wamarekani hata kama wanatusaidia kutupatia ARV, vyandarua na ujinga mwingine kwa kivuli cha msaada basi wasitupelekeshe wanavyo taka

Kwani umelazimishwa kufirwa?

Si unafirwa kwa ridhaa yako mwenyewe? Au unatafuta KIKI KWA PIKIPIKI ili uonekana kwamba unafirwa na wamarekani?
 
Mkuu tumia akili huo lazima ulikuwa ni utafiti...
Watu mna akili nyepesi sana...unafikiri Muhimbili mafala...hahaha
Humu pamejaa mavilaza ya ajabu sana.

Utafiti kama huo for academic purposes ni wa kawaida sana, kwahiyo lazima wajaze dodoso ili wapate data kuhusu homosexuality.

Nchi ina mamburula wengi sana hii, wakiongozwa na Kiranja wao ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE.
 
Serikali haiwafahamu ila Mwakyembe anawafahamu.....siasa tu hizi.
RPC wa Dsm wakati huo Alfred Gewe alishawahi pelekewa askari choko. Unaambiwa jamaa alikutwa amevaa chupi 5 kwenye ukaguzi ofisini kwa Gewe. Gewe mwenyewe alishangaa pale askari huyo alimpotajia askari machoko wenzake na baadhi ya wakubwa serikalini waliokuwa na tabia hizo.
 
Nimemsikiliza Mwakyembe hotuba yote! Inatisha na tusione aibu kuchukua hatua. Kama serikali ikaa kimya tunavuna laana na machafuko yasiyosimilika. Dr Mwakyembe ametaja hadi taasisi na NGOs zinazohusika! It's a big shame vyombo vyetu vya usalama hawaku neutralise hili before the damage.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Afu mvua zisiponyesha kuna Kenge wanajifichia kwenye KICHAKA cha Hayati JPM alikuwa katili, kumbe ukatili wenyewe ndiyo huo wa kuzibiwa mianya ya LGBTQIA

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ushuuda

2014- nipo masikani baada ya mizunguuko ya hapa na pale nimepoa- tulikuwa vijana wengi wengi kidogo mida ya saa tano inaenda sita za mchana- akaja uncle tu wa mtaani akatuambia kuna inshu tu ya mahojiano hapo muhimbili kuwa mnahojiwa tu mahojiano yakiisha mnapewa posho -degree nyingi kichwani nikahoji’ mahojiano hayo yanahusu nini! Yule uncle akapangua akasema kila kitu mtakijua huko huko- vijana tukaitana tukafika kama vijana 30 hivi? Yulee uncle akatoa nauli elf 5,5 Kwa kila mmoja na akatuambia mkimaliza mahojiano mtapewa posho na akatoa location- hakuna asiyeijua hospital ya muhimbili so akatuelekeza mpaka kwenye hizo ofisi

Sijui sasa kuwa hicho kitengo kipo hapo muhimbili siku zote au walikodi tu Office kwa ajili ya mahojiano ila yote hayo anayoyasema Mh- hapo yalikuwepo kwenye mahojiano na ilikuwa ukiwa mzembe lazima unase-WALLLAH nilikataa na posho yenyewe ile ile elf 5 niliyopewa kama nauli ilitosha kabsa kunirudisha nyumbani kama nauli-M/MUNGU atusimamie InshAAllah

Kwanza hapo reception kwao tulipofika ni mashoga tupu yaani wamejaa,

Nikatishe story ili nisiwachoshe

Maswali yalikuwa hivi kwenye hicho chumba

Unaulizwa jina lako?

Unaulizwa unasikia kuhusu mapenzi ya jinsia moja au unajua kabsa?

Unaulizwa ulishawahi shiriki mapenzi na mwanaume mwenzako ? Kama uliwahi unaulizwa tena ulijisikiaje?

Kama haujawahi unaulizwa unaonaje? Siku uje kujaribu?
Unaulizwa utapenda uje? Kujaribu na condom au bila condom!

Unaulizwa tena unapenda wewe uwe ndio unamfanya mwenzako au yeye? Ndio anakufanya au wote muwe mnafanyana kwa zamu?

Ukikubali unaambiwa upo? Tayari tukutafutie mtu ambaye atakuwa anakufanya au unamfanya bila tatzo lolote yaani yeye atakuwa anakubali tu umfanye au akufanye?

Na unaulizwa Kama ulishawahi kumuingilia msichana kinyume na maumbile na kama ukikubali wanakiringanisha hicho kitendo ni sawa tu na kumuingilia mwanaume mwenzako na wanakushawishi uwe tayari kumuingilia na mwanaume mwenzako

Wanakuuliza utajisikiaje? Siku ukiingiliwa bila wewe mwenyewe kujua uenda ulikuwa umelala au umelewa je? Utaendelea na hicho kitendo au utaacha baada ya kujua kama umefanyiwa

Wana maswali mengi sana ya mtego mtego- na hapo ukiwa unawaunga mkono kwenye maswali yao ndio posho inaongezeka na ndio wanakuwa wanakujali sana, utapewa chakula na n.k

Hapo walikuwepo wariorudi mpaka na elf 50 Kama posho ya siku hiyo na vicheko vingi sana kwangu baada ya kutoka kwenye hicho kachumba na kutimua zangu maana walituambia tule na tusubiri pesa zetu Mimi nikasepa zangu na kuja kupata mrejesho kutoka kwa watu nilioongozana nao- vishawishi mia fill mia lazima uingie mtegoni kama ni kichwa cha panzi.
Wewe ni mjinga sana, hiyo ni RESEARCH QUESTIONNAIRE ambayo imeandaliwa na CHUO CHA MUHIMBILI kwa ajili ya kupata taarifa za homosexuality for academic purposes.

Huwezi kushughulika na ushoga bila kuelewa ushoga ni nini haswa, unakurupuka kama nyumbu na stori za jumla jumla za mabeberu, mara sijui unataka kuliwa kinyeo!

Ndio maana hawa wasomi wa MUHIMBILI wakaandaa madodoso ili kufanya utafiti wa ushoga nchini, na hiyo ilikuwa ni njia moja wapo ya kupata data kupitia hayo madodoso.

Kiranja wenu ZEE LA USHOGA MWAKIEMBE anawaingiza chaka sana.
 
Hapana Sina hulka hizo kinachoumiza ,nikwamba sikweli mwakyembe alikua hayajui haya akiwa ndani ya Dola ,Leo anayasema baada ya wanasheria wezake akina lisu kusema wazi kama nchi hii tunakataa ushonga Sheria ya faranga kwenye katiba ifutwe ,sio kusema downdown akati jamii inateketea ..... Usiri wa serikali ndo mazao yake
Acha ujinga basi wewe, huyo Jamaa si ndiye alitetea kabisa hao kenge akidai hawezi kuingilia mambo ya faragha za Watu? Kupakuana vinyesi ndiyo mambo ya faragha? Nimekutukana kwa kilugha [emoji57]

Back
Top Bottom