mirror01
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 1,797
- 1,391
Hujuwi siasa za Kyela wewe... Kutana na Kipija hapo Mashinene akupatie underground zake zote hapo .Acha uongo bana, Mwakyembe toka awe nje ya ulingo, hapo kyela amewahi fanya nini cha kumsema kuwa anatafuta njia, mzee wa watu kakaa kimya hata mkutano wa kijijini kwao tu pale kilanga kata ya ikolo hajawahi itisha hata kikao. zaidi ya kuhudhuria chaguzi za ndani ya chama tu
Kama humpendi mtu usimpakazie vitu
Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app