Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Acha uongo bana, Mwakyembe toka awe nje ya ulingo, hapo kyela amewahi fanya nini cha kumsema kuwa anatafuta njia, mzee wa watu kakaa kimya hata mkutano wa kijijini kwao tu pale kilanga kata ya ikolo hajawahi itisha hata kikao. zaidi ya kuhudhuria chaguzi za ndani ya chama tu

Kama humpendi mtu usimpakazie vitu

Sent from my CPH2121 using JamiiForums mobile app
Hujuwi siasa za Kyela wewe... Kutana na Kipija hapo Mashinene akupatie underground zake zote hapo .
 
Mwakyembe ameongea yake na wewe ongea yako hatuwezi nchi nzima tuzungumzie ajira ambazo hazipatikani na hazitapatikana. Sasa kama wanaume wanataka kufilana hata hizo ajira zikija hawawezi kufanya.

Kwa sababu pamoja na mambo mengine Ushoga umesababishw akwa kiasi kikubw na uvivu na uzembe hivyo vijana wanakimbilia maisha rahisi
 
Dkt Mwakyembe na viongozi wengine wakubwa Serikalini tafadhali zungumzie mambo yenye tija katika Taifa letu ikiwemo ajira, elimu, miundombinu nakadhalika.

Swala la ushoga ni jambo la kipuuzi na halifai hata kidogo kuzungumzia. Swala hilo linahusiana na malezi kwahiyo wazazi na walezi wanapaswa kubeba hili jukumu. Kiongozi mkubwa serikalini unapozungumzia ni sawa na kushusha hadhi yako kwasababu ni swala linalohusiana na makalio leo hii tujadili makalio tutakuwa watu wa hovyo.

Wananchi wanataka kufahamu kuwa ni lini watapata ajira, ni lini gharama za maisha zitashuka, ni lini kodi itakuwa rafiki kwa wananchi na mengineyo mengi.
Acha ujinga mkuu...
 
Yani we unaona ushoga ni Jambo dogo ktk nchi hii?
 
Kwa hiyo wewe unaona hilo suala halina tija kwa taifa?
Yaani wewe huoni umuhimu wa Mwakyembe kulizungumzia?
Nini kinakuuma kwa yeye kulizungumzia?
 
Ww mwenyewe kuturetea topic za ushoga apa ni ushamba na ujinga
Km wanaume mnaliwa si mliwe kmy kmy why mje mtutangazie umu
 
amezungumza kama mzazi au mlezi na aliyazungumza katika kongamano lililokuwa likijadili jambo husika.
Mwanasiasa ni mwanasiasa, kwa hiyo hapo mwanzoni alikuwa hajui kama anawajua hao aliowaongelea mpaka hili tukio? Kwamba anasubiri nini kama anaona ana wajibu wa kutoa taarifa kwa vyombo husika?
Mwanasiasa si wa kumwamini, kuna anachotafuta.
 
Ni mkali balaa, anasema hao jamaa wapo kitambo wanatuchora tu, anasema wamejipanga kiuongozi kuanzia ngazi ya taifa, mkoa na wilaya. Wanasiasa kujitia kiherehere kuzungumzia ushoga watajiabisha na kujifedhehesha kwa jambo la kuvuma na kupita tu.

Hili jambo wangewaachia wanadini wapambane nalo ingawa nao kama linataka kuwashinda kwa approach wanayotumia kupambana nalo kizembe
 
Dkt Mwakyembe na viongozi wengine wakubwa Serikalini tafadhali zungumzie mambo yenye tija katika Taifa letu ikiwemo ajira, elimu, miundombinu nakadhalika.

Swala la ushoga ni jambo la kipuuzi na halifai hata kidogo kuzungumzia. Swala hilo linahusiana na malezi kwahiyo wazazi na walezi wanapaswa kubeba hili jukumu. Kiongozi mkubwa serikalini unapozungumzia ni sawa na kushusha hadhi yako kwasababu ni swala linalohusiana na makalio leo hii tujadili makalio tutakuwa watu wa hovyo.

Wananchi wanataka kufahamu kuwa ni lini watapata ajira, ni lini gharama za maisha zitashuka, ni lini kodi itakuwa rafiki kwa wananchi na mengineyo mengi.
Aishushe mara ngapi? Kwa usomi wake na kuishia kwenye siasa, alishaishusha!
 
Mimi ninachojiuliza huyo mwakiembe amezungumzia ushoga kama nani?? Mjumbe wa tanganyika?

Ametoa wapi mamlaka ya kuzungumzia vinyesi kwa madaha kiasi kile?

Ninachofahamu huyu alikuwa anaugua ugonjwa sugu, ghafla ameibukia kwenye vinyesi.
 
Kwanza alitakiwa azungumze Amiri jeshi mkuu mwenyewe. Sijui kwa nini yuko kimya
Mama wajawazito wana maswali kuwa lini huduma za afya zitaboreshwa bado hawajajibiwa leo hii tujadili makalio kweli? Badala ya kujadili mambo ya msingi
 
Halafu huwa sielewi kwann akitokea kiongozi akawa anafanya kampeni ya kutokomeza mashoga huwa kunatokea watu na vikundi vyao kumpinga, hawa watu wanakuwa na ajenda gani nyuma ya pazia, wanafurahia haya mambo au?
Wanakua ni wale wale
 
Mama wajawazito wana maswali kuwa lini huduma za afya zitaboreshwa bado hawajajibiwa leo hii tujadili makalio kweli? Badala ya kujadili mambo ya msingi
Imagine kina mama wanajifungulia chini, maji bado changamoto, umeme wa manati halafu eti kama taifa tukae tunafatilia vinyeo vya watu!!

Ujinga all the way.
 
Ukweli

Hauwezi kulea mtoto peke yako- mtoto analelewa na jamii nzima/yote wazazi, ndugu, jamii, walimu na mizunguruko yote yanayomzunguruka mtoto

Hatuwezi kupuuza aliyoyasema MH- tunahitaji tu kujiuliza kwa nini? Hakusema kipindi ana nguvu kubwa alipokuwepo na uongozi na hata hivyo hakuna haja ya kuhoji zaidi tunachotakiwa tukazanie na tupambanie alichokisema na kupambana nacho

Usiseme hilo swala halina maana-kupambana na vitendo vya kishoga ni sawa na vitendo vichafu vyingine vyote assume mwanao ndio anakuwa shoga utasema hilo swala halina maana?

Hayo mambo yapo na wanatumia gharama nyingi sana kuyaeneza so tunatakiwa tupambane sana kulitokomeza na inawezekana

Mtoto ni nguvu kazi ya taifa letu so akishakuwa shoga kuna kazi hatoweza kufanya ipasavyo kimaadili hawezi kusimama kwenye ukweli kama yeye mwenyewe ameshajikataa kama sio mwanaume wakati ni mwanaume

Tupo mitandaoni kuropoka na kushadadia ujinga ili tupate mihemko ya wengine na tunashindwa kuchangia hoja kwa mantiki- kama limbi hili la mashoga lingekuwepo miaka ya 60 sijui kama tungekuwa na kizazi shupavu ina maana baada ya miaka 10 tutakuwa na taifa la ovyo sana kama hatujachukua hatua yeyote

Kama una component za ushoga lazima utetee hili swala kuwa ushoga ni sawa tu kwenye vizazi vyako ila kama wewe ni mwanaume/mwanamke shupavu na unafahamu faida za kutokuwa shoga assume mtoto wako ndio shoga alaf jijibu mwenyewe nini? Cha kufanya
 
Acha kuziba ufahamu wako, leo hii viongozi waanze kujadili mada za makalio si watakuwa watu wa hovyo? Wajadili mambo yenye tija katika taifa habari za makalio ni upuuzi mtupu ndio maana mtu mwenye akili timamu hawezi kuzungumzia, unapozungumzia mambo ya kuchokonoa makalio utaonekana mjinga, zungumzia mambo ya maana kama ajira miundombinu na menginey

Acha kuziba ufahamu wako, leo hii viongozi waanze kujadili mada za makalio si watakuwa watu wa hovyo? Wajadili mambo yenye tija katika taifa habari za makalio ni upuuzi mtupu ndio maana mtu mwenye akili timamu hawezi kuzungumzia, unapozungumzia mambo ya kuchokonoa makalio utaonekana mjinga, zungumzia mambo ya maana kama ajira miundombinu na mengineyo
nilihisi wewe ni mmoja wao , naanza kuona hivo sasa , unajifanya haufahamu kama taifa imara huanza na familia imara,, msingi wa taifa lolote lile imara huanza na familia ndio maana tunatakiwa tujadili suala la nyinyi kuleta tabia zenu za hovyo kwa sababu zikiachwa hizo tabia zenu ni hatari sana kwa ustawi wa familia na nchi kiujumla
 
Back
Top Bottom