FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Wengi wao, kati ya mashoga na wasagaji niliowahi kuongea nao, wanaijutia hiyo hali.Duh! Kama mambo yao ndio yapo hivi sipati picha huko motoni kutakua hakukaliki kabisa
Wengi wanahitaji msaada wa kisaikolojia zaidi, kwani wana hali ya kujifunga bongo zao kufikiri zaidi ya kukata tamaa kuwa hali yao ni irreversible, lakini si kweli. Ushoga na usagaji ni reversible kiwepesi sana ikiwa watapata msaada wa consultation za kisaikolojia kama wale AA.
Nafahamu wanawske walioondokana na hali hiyo na wanaishi maisha mema na yenye furaha na family zao nje kabisa ya usagaji. Wanafanya toba na kujuta kwa Muumba wao kwa makosa waliyoyafanya.
Pa kuanzia ni kurudi kwa Muumba wao na kuwa wacha Mungu.