AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Huyu ndiye adui namba moja dhidi ya vyombo vya habari kwa sasa hapa Tanzania. Tuanze sasa kudeal naye mpaka apigwe chini. Dr. Abbasi ni mzigo kwenye serikali ya awamu ya sita.Huyu ni kichwa ngumu...bado amelala...TUNAOMBA MAMA YETU...UMUACHE HUYU MTU AENDELEE KULALA...HAKUFAI...
Amelipuuza agizo lako...anajifanya mjuaji...anakujua sana kuliko unavyojielewa...
View attachment 1745298
View attachment 1745299
Atazinguliwa wee subiriHuyu ni kichwa ngumu...bado amelala...TUNAOMBA MAMA YETU...UMUACHE HUYU MTU AENDELEE KULALA...HAKUFAI...
Amelipuuza agizo lako...anajifanya mjuaji...anakujua sana kuliko unavyojielewa...
View attachment 1745298
View attachment 1745299
Huyu ni pro Meko pure na ameshajichokea.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abassi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee na siyo pamoja na magazeti.
Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza.
---
Huyu ni kichwa ngumu bado amelala, tunaomba mama yetu umuache huyu mtu aendelee kulala, hakufai.
Amelipuuza agizo lako...anajifanya mjuaji...anakujua sana kuliko unavyojielewa...
Huyu alitakiwa azikwe na mekoPole sana Dr. Abbas.. bora mapema uruke kwenye hili jahazi linalozama
Kishaanza kupandisha mabega !Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abassi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee na siyo pamoja na magazeti.
Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza.
---
Huyu ni kichwa ngumu bado amelala, tunaomba mama yetu umuache huyu mtu aendelee kulala, hakufai.
Amelipuuza agizo lako...anajifanya mjuaji...anakujua sana kuliko unavyojielewa...
Mauti ni amri ya M/Mungu pekee..Huyu alitakiwa azikwe na meko
Azinguliwe tu, hamna namna nyingine!!Anazingua uyo