Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hassan Abbas anajuwa maana ya vyombo vya habari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye anajua vyombo vya habari ni tv na radio tu, magazeti kwake ni vifungashio vya vitumbua na maandazi.Hassan Abbas anajuwa maana ya vyombo vya habari?
Endelea kumpotezaPole sana Dr. Abbas.. bora mapema uruke kwenye hili jahazi linalozama
Tawire mkuu, kiti m'bovu!!Ilitakiwa azikwe na Meko huyu
Mkuu huyu Abass hana kibri sana, hamsikilizi mama kwa ufasahaKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abassi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee na siyo pamoja na magazeti.
Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza.
---
Huyu ni kichwa ngumu bado amelala, tunaomba mama yetu umuache huyu mtu aendelee kulala, hakufai.
Amelipuuza agizo lako...anajifanya mjuaji...anakujua sana kuliko unavyojielewa...
Dr Abbas, Mh SSH atakuaibisha soonKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abassi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee na siyo pamoja na magazeti.
Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza.
---
Huyu ni kichwa ngumu bado amelala, tunaomba mama yetu umuache huyu mtu aendelee kulala, hakufai.
Amelipuuza agizo lako...anajifanya mjuaji...anakujua sana kuliko unavyojielewa...
Huyu afukuzwe hafai kabisa anampangia kazi Rais. Halafu yeye sii Waziri wa Habari na wala sio msemaji wa serikali ana kiburi sana huyu. Mama umeshaanza kudharauliwa. Masikini
Ni maono tu ya kinabii, kama ya nabii wenu Lema ..Endelea kumpoteza
Ya Lema yametimia , na taarifa zinaonyesha kwamba bado mmoja wa DodomaNi maono tu ya kinabii, kama ya nabii wenu Lema ..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu ni mchanga kwenye kitumbua cha mama...HAFAI HATA KIDOGO...ANAMDHARAU MAMA...