Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imesema ipo tayari kubadili sera na sheria ya vyombo vya habari kulingana na maoni ya wadau wa tasnia ya habari nchini.
Hayo yameelezwa na katibu mkuu wa wizara hiyo, Dk Hassan Abbas leo Jumatano Aprili 28, 2021 wakati akifungua kongamano la wadau wa habari lililoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco).
Amesema Serikali ipo tayari kufanya mabadiliko yoyote kwenye kanuni au sera ya habari iwapo wadau watapendekeza maoni wanayoona yanafaa kuistawisha tasnia hiyo.