Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Au nasema uongo ndugu zangu?Mr. Mishavu anadhani bado yupo awamu ya 5.
Huyo Abasi anatumia VPN๐ ๐ ๐Vipi sheria ngumu hadi zimewabana na wao wenyewe waliozilazimishia kwa uma... Sasa napata picha halisi Viongozi wa Tanzania akili zimeanza kurejea taratibu... Awamu ya tano tuliishi maisha ya hatari kuliko Maisha ya Ukoloni ukatiri zaidi
Ni kama msukule aliyeachiwa huru na mchawi. Anashangaa kuona mwanga๐ ๐ ๐Anaongea huku haamini anachokisema
Huyu Dr Tumbotumbo leo ndio anaona kuna haha ya kubadili Sheria walizopitisha akiwa hapo wakati wa angel the hooligan sio. Kweli dunia inaenda kwa kasi sanaWizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imesema ipo tayari kubadili sera na sheria ya vyombo vya habari kulingana na maoni ya wadau wa tasnia ya habari nchini.
Hayo yameelezwa na katibu mkuu wa wizara hiyo, Dk Hassan Abbas leo Jumatano Aprili 28, 2021 wakati akifungua kongamano la wadau wa habari lililoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco).
Amesema Serikali ipo tayari kufanya mabadiliko yoyote kwenye kanuni au sera ya habari iwapo wadau watapendekeza maoni wanayoona yanafaa kuistawisha tasnia hiyo.
Abass ni lazima ang'olewe Wizara ya Habari , mabadiliko yoyote chini yake hatutakubaliWizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imesema ipo tayari kubadili sera na sheria ya vyombo vya habari kulingana na maoni ya wadau wa tasnia ya habari nchini.