Dkt. Hezron Lwaitama anaandika

Dkt. Hezron Lwaitama anaandika

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni Maria Sarungi, kifupi Rais wa Nchi kaharibu.

Kutoka X.

Screenshot 2025-03-12 141247.png

Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni @MariaSTsehai, kifupi Rais wa Nchi kaharibu,,,

Kutoka X
Tanzania wanaharakati wanataka kumpunguzia rais madaraka mengi sana aliyonayo kwenye katiba, na kumuongezea mengine ambayo hana hata kikatiba.

Yani ukifuatilia hizi kelele unaweza kufikiri Samia akitweet kitu Profesa Sarungi anaweza kufufuka.

We Specialize in Contradiction.
 
Lwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.
Hajafa Maria kafa Prof. Sarungi zingatia nafasi yake Tanganyika kwenye chama na serikali.. It is more about government protocals
 
Lwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.
Marehemu Prof. Sarungi hakuwahi mtukana Samia.
Kutokufika kumzika baba yake ilikuwa ni adhabu tosha kwa Maria, Rais angehudhuria msiba kwa heshima ya Prof.
 
Tanzania wanaharakati wanataka kumpunguzia rais madaraka mengi sana aliyonayo kwenye katiba, na kumuongezea mengine ambayo hana hata kikatiba.

Yani ukifuatilia hizi kelele unaweza kufikiri Samia akitweet kitu Profesa Sarungi anaweza kufufuka.

We Specialize in Contradiction.
Tanzania tumegeuka a country of clowns

Hasa wanaume

No wonder women are running over boys asses 24/7

Tumekua watu wa hovyo sana

Huyu mama angeenda pale tungesikia kajipendekeza
 
Lwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.
Ni "mpuuzi" kama wapuuzi wanaomiuta mpuuzi wakitetea upuuzi wa wapuuzi waliojaa upuuzi kwa kutumia dhamana na ofisi za umma kipuuzi kwa kufanya upuuzi
 
Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni @MariaSTsehai, kifupi Rais wa Nchi kaharibu,,,

Kutoka X
Kama hiyo ndiyo approach yake, misiba ya familia ya Karume anashughulika nayo vipi?
 
Lwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.
Msiba ni wa mtoto au ni wa baba?, mtoto ana familia yake na maisha yake, baba ana maisha yake na familia yake.
 
Back
Top Bottom