Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania wanaharakati wanataka kumpunguzia rais madaraka mengi sana aliyonayo kwenye katiba, na kumuongezea mengine ambayo hana hata kikatiba.Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni @MariaSTsehai, kifupi Rais wa Nchi kaharibu,,,
Kutoka X
Hajafa Maria kafa Prof. Sarungi zingatia nafasi yake Tanganyika kwenye chama na serikali.. It is more about government protocalsLwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.
Marehemu Prof. Sarungi hakuwahi mtukana Samia.Lwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.
Samia Ana visasi gani na sarungi?Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni @MariaSTsehai, kifupi Rais wa Nchi kaharibu,,,
Kutoka X
Tanzania tumegeuka a country of clownsTanzania wanaharakati wanataka kumpunguzia rais madaraka mengi sana aliyonayo kwenye katiba, na kumuongezea mengine ambayo hana hata kikatiba.
Yani ukifuatilia hizi kelele unaweza kufikiri Samia akitweet kitu Profesa Sarungi anaweza kufufuka.
We Specialize in Contradiction.
Lwaitama naye kakoseaSijui kwakweli
Ni "mpuuzi" kama wapuuzi wanaomiuta mpuuzi wakitetea upuuzi wa wapuuzi waliojaa upuuzi kwa kutumia dhamana na ofisi za umma kipuuzi kwa kufanya upuuziLwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.
Kama hiyo ndiyo approach yake, misiba ya familia ya Karume anashughulika nayo vipi?Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni @MariaSTsehai, kifupi Rais wa Nchi kaharibu,,,
Kutoka X
Wewe ndio mpuuzi, aliyefariki ni SARUNGI, LINI ALIMTUKANA RAUS?Lwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.
Hakuna sheria iliyovunjwa Rais kutohudhuria huo msiba.Hajafa Maria kafa Prof. Sarungi zingatia nafasi yake Tanganyika kwenye chama na serikali.. It is more about government protocals
Sio lazima ahudhurie.Marehemu Prof. Sarungi hakuwahi mtukana Samia.
Kutokufika kumzika baba yake ilikuwa ni adhabu tosha kwa Maria, Rais angehudhuria msiba kwa heshima ya Prof.
Maajabu hayoWewe ndio mpuuzi, aliyefariki ni SARUNGI, LINI ALIMTUKANA RAUS?
Msiba ni wa mtoto au ni wa baba?, mtoto ana familia yake na maisha yake, baba ana maisha yake na familia yake.Lwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.