Dkt. Hezron Lwaitama anaandika

Wakati anatumikia taifa alikuwa halipwi? Kila mtu anatumikia taifa kwa kazi halali anayofanya. Mkulima, seremala, mhunzi, mhandisi hadi mbeba zege anatumikia taifa. Sarungi naye alitumikia taifa na kupata ujira wake. Nothing special.
 
watakachofanya kukutoa uhai ndio akili za ccm zimefikia hapo ndio wanaona ndo kujenga hoja
 
Wakati anatumikia taifa alikuwa halipwi? Kila mtu anatumikia taifa kwa kazi halali anayofanya. Mkulima, seremala, mhunzi, mhandisi hadi mbeba zege anatumikia taifa. Sarungi naye alitumikia taifa na kupata ujira wake. Nothing special.
Hivi unahandika ukiwa umeinama wanakushugulikia nini
 
huyu mzee mavi sana hana akili hata kidogo huo uprofesa sijui alihongwa? ninawasiwasi na jinsia yake huyu mzee
 
Kuzaliwa kwao ni matumiza mabaya ya manii, bora baba zao wangepiga nyeto tu.
Kabisa Mkuu,kutuletea viazi Hawa ni dharau kwetu,Tena viazi vilivyooza!Na hivi Raisi kuwaambia wakuu wa mikoa,wilaya,wakurugenzi kama wanania ya kugombea ubunge, Udiwani,waseme mapema,tutawaona Hawa jamaa zetu wakipambania ujinga ,Huenda wakaziba nafasi hizo Kwa akili za Hawa wakipewa ,nahama mkoa.
 
Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni @MariaSTsehai, kifupi Rais wa Nchi kaharibu,,,

Kutoka X
Samia kafanya vyema nan huu ni mwezi wa ramadhani, UNAFIKI tupa kule!! Ulitaka amfurahishe nani??

Hata kama angekwenda msibanj bado wanahakati uchwara mungemsema tu.!!

Halafu tuseme ukweli Maria Sarungi ni nini kinamfanya asije nchini?? Kwanini anajishuku kuwa atakamatwa? Na akamatwe kwa makosa gani?

Huwezi kuwa mwanaharakati kama wewe ni muoga. Sawa na mfanya biashara wa utumbo kuigopa nzi
 
huyu mzee mavi sana hana akili hata kidogo huo uprofesa sijui alihongwa? ninawasiwasi na jinsia yake huyu mzee
Unajua ukisema neno mavi kuwa ushazoea kuwa wana kushugulikia hiyo sehemu inayo toa hayo mavi
 
Ukinizingua nakuzingua, all in all aende asiende prof kashasepa hivyo. Tujifunze kupitia hili, huku kitaa mbona wapuuzi kibao tunasusia misiba yao kisa ndg au jamaa zao kuzingua? Maza aachwe afanye kazi.
 
Kweli akili ni nywele,kila Mtu anazake!
 
Lwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.
Lowasa alitukanwa mara ngapi na matusi mangapi na wana cc akiwemo makonda? Alipofariki walienda au hawakwenda?
Chawa acha uchawa na unafiki wako
 
Lowasa alitukanwa mara ngapi na matusi mangapi na wana cc akiwemo makonda? Alipofariki walienda au hawakwenda?
Chawa acha uchawa na unafiki wako
Utetezi wako ni wa kipumbavu. Kwa hiyo kutukanwa kwa Lowassa ndo inahalalisha viongozi wengine kutukanwa?
 
Lwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.
Kwani alikuwa anatukanwa na Mzee sarungi,au ni ghubi Tu binafsi saa100 kafeli pakubwa hajiamini hata kidogo
 
Lwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.

Kwa hiyo Maria ndo kafariki?
 
Ila anaweza kwenda kwenye kuzindua album ya harmonize na kwenye vichekesho basi tuache kwenda kwenye Msibani vipi wakandarasi wa nchi hii wameomba kukutana na Rais mara nyingi lakini anachimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…