Sasa ndo utashangaa viongozi wa Kenya, hupigwa spana na bila kujali viongozi hujitokeza kujibu mapigo ya spana live yani.
Rais wa Kenya Ruto ,Wakenya walimbatiza majina ya kasongo yeye, Zakayo e bwana siku Ruto akaenda live
Kwanza akasema awekewe mziki wa Kasongo yeye , akacheza na badae akajibu mapigo ya Zakayo kwa kusema akiitwa Zakayo ni sawa ilihali Kenya inaenda mbele, akaongeza kwamba bora Zakayo alimuona live Yesu wakati wengine wanasikia tu.
Tangu kipindi kile izo kauli zimekufa zenyewe.
Viongozi wa tz wanatakiwa jifunza siasa za Kenya