Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Raisi siyo malaika wala mungu kama unavyohisi wewe. Kumkosoa siyo kumtukana! Kama alitukanwa mbona haendi mahakamani?Utetezi wako ni wa kipumbavu. Kwa hiyo kutukanwa kwa Lowassa ndo inahalalisha viongozi wengine kutukanwa?
Mim ni weweWewe ni nani mpaka umchagulie Prof. Sarungi pa kuzikwa.
Baki hukohuko kwenye nywele zake chafuKunywa sumu upunguze hasira
Kuna sheria iliyovunjwa kutokwenda msibani?Kwani alikuwa anatukanwa na Mzee sarungi,au ni ghubi Tu binafsi saa100 kafeli pakubwa hajiamini hata kidogo
Hakuna mama poleKuna sheria iliyovunjwa kutokwenda msibani?
Mtukane na wewe halafu sikilizia kifuatacho.Raisi siyo malaika wala mungu kama unavyohisi wewe. Kumkosoa siyo kumtukana! Kama alitukanwa mbona haendi mahakamani?
Je, kwa huku Kumtetea Kwako Rais Samia unadhani Wewe na Yeye mtakuwa mmezitekeleza vyema zile 4R's zenu zinazomaanisha......Lwaitama ni mpuuzi. Hata kama mimi ningekuwa Rais siwezi kwenda msiba wa mtu anayenitukana mitandaoni. Huo msiba unamhusu Maria kwa 100%. Kila mtu abebe msalaba wake. Pia msiba ni jambo la kifamilia zaidi.
Ila Wewe jamaa kichwani ni ziro kabisa,Upambe wa kijinga sana,hata kama,igeni kwa pascal Mayala ,hoja zake zimetulia sana,wewe ni upuuzi tuu kama vile mtoto kaanza tambas!Basi tulieni.
Rubbish.Mim ni wewe
Hovyoooo. Unapiga mikwara badala ya kujadili hoja! Hiyo mikwara yako mbuzi ilikuwepo tangu enzi za yesu mpaka kwa kina katanga tumbo na waliendelea kukosolewa .Mtukane na wew
Mtukane na wewe halafu sikilizia kifuatacho.Raisi siyo malaika wala mungu kama unavyohisi wewe. Kumkosoa siyo kumtukana! Kama alitukanwa mbona haendi mahakamani?
Hovyooo. Kamtishe bibi yako huko mwanalumangoMtukane na wewe halafu sikilizia kifuatacho.
Cheza na Samia Suluhu ila usijaribu kucheza na Rais wa Tanzania UTAUMIA...Hovyoooo. Unapiga mikwara badala ya kujadili hoja! Hiyo mikwara yako mbuzi ilikuwepo tangu enzi za yesu mpaka kwa kina katanga tumbo na waliendelea kukosolewa .
Chawa wewe
Naona umejaa upepo fasta. Kuwa makini jombaHovyooo. Kamtishe bibi yako huko mwanalumango
Jinga wewe. Mmeumiza wangapi mpaka sasa?Cheza na Samia Suluhu ila usijaribu kucheza na Rais wa Tanzania UTAUMIA...
Hivi unavyohangaika Kumtetea utadhani umehakikishiwa na Mwenyezi Mungu kuwa ataishi Milele na kuwepo hapo Milele.Mtukane na wewe halafu sikilizia kifuatacho.
Unajipa umuhimu usiostahili ukifikiri kila mmoja anaishi kwa uchawaPopoma punguza kunywa pombe za kienyeji.
Mwenyewe Maria ajaenda kwenye uo msiba wa baba yake sembuse Samia mwenye majukumu pomoni!!.Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni @MariaSTsehai, kifupi Rais wa Nchi kaharibu,,,
Kutoka X
Mkuu Kiranga kuna kitu hukioni ama maarifa yamezidi. Rais Samia alifunga safari kwenda kwenye mazishi ya aliyekuwa rais Namibia, akafunga safari kwa queen elizabeth, kwa Lowassa. Tumeona viongozi wengine wakiimuwakilisha kwenye misiba mingine ndani na nje ya nchi. Tumeona akitoa salamu za pole kwa watu mbalimbali wakiwemo wasanii kadhaa. Kwani hao wamefufuka? Kwani katiba ilimlazimisha?Tanzania wanaharakati wanataka kumpunguzia rais madaraka mengi sana aliyonayo kwenye katiba, na kumuongezea mengine ambayo hana hata kikatiba.
Yani ukifuatilia hizi kelele unaweza kufikiri Samia akitweet kitu Profesa Sarungi anaweza kufufuka.
We Specialize in Contradiction.