Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndiyo Taarifa mpya ya sasa kama ilivyoripotiwa na MwanaHalisi Digital .

Husein Mwinyi ambaye ni Rais anadai wanaoeneza hilo wamelenga kumdhoofisha kisiasa (Hakufafanua kwamba watamdhoofishaje na wala hakusema Mzee kuzikwa Zanzibar kunamuimarishaje) na wala hakusema pia kama Mzee Mwinyi aliagiza akazikwe Zanzibar .

Zaidi soma hapa.

 
Inaonesha watu hatuna mambo ya maana ya kujadili.
Hebu fikiria mtu atoke mkuranga akiwa na miaka minne ni kabla ya Uhuru, amesoma huko, kaajiliwa huko, kaitumikia Zanzibar kwa dhati kabisa, kajiunga na chama cha siasa huko huko lengo ni kuwaondoa wakoloni. Kateuliwa nafasi za juu serikalini kabla ya Kuja bara, huko huko Zanzibar, halafu mseme eti mtanganyika!?? Huyu alishaukataa utanganyika kitambo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…