TANZIA Dkt. Ibrahim Msabaha afariki dunia

ile ya mwaka 2020 -2021 ndio ilikuwa funga kazi kiongozi yule alisindikizwa na waheshimiwa wengi sijui kuna siri maana inaonyesha kiongozi maarufu au mkuu anapofariki either kuna wanaomtangulia na wengine wanamfuata.
Mzee Mkapa alienda kivyake
 
2021 ilianza hivihivi, miezi kama hii.
Ni kweli mkuu sema watu wanasahau tu, mwezi wa kwanza mwishoni mpaka mwezi pili, watu huwa wanakufa sana. Nadhani sababu ni hali ya hewa mbaya that's why onaona wanaumwa sana kipindi hiki. Nakumbuka hata captain Komba alifariki mwezi kama huu back then. Kwa hiyo haina uhusiano na the so called "mavuno"
 
poleni wafiwa wa vifo vyote viwili. wabongo tujifunze, wakati tunatafuta maisha tutafute Mungu pia, mali tutaziacha hata kama tukiibia sana nchi, zitabaki hapahapa, utakwenda na maji siku moja.
 
Hivi Masaki kumbe bado maeneo ya kuishi bado yapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…