TANZIA Dkt. Ibrahim Msabaha afariki dunia

TANZIA Dkt. Ibrahim Msabaha afariki dunia

Rafiki yako anapofariki lazima unashtuka na kama unashinikizo la Damu au Moyo umevimba inaweza kuwa ndo ntolee hiyo.

Dawa ya Misiba ni Ligaba 500×2+Diazepam 5mg x2 unasahau hata kama kuna Msiba.

Unabembea tu.
Dawa zote ulizotaja nazijua

Mkuu,
Naona kama unapotosha umma

Asalamaleko
 
Dawa zote ulizo taja nazijua

Mkuu,
Naona kama unapotosha umma

Asalamaleko
Kweni nimesema ni Dawa za Malaria?

Kwangu mimi zinanisaidia sana nikiwa Anxiety na Ukiwa wa kuondokewa na Rafiki wa karibu.
👇

Pregabalin is often used for epilepsy, but you can also take it to help with pain or anxiety if you do not have epilepsy.
 
Kweni nimesema ni Dawa za Malaria?

Kwangu mimi zinanisaidia sana nikiwa Anxiety.
Sawa mkuu sikatai zinasaidia sawa ila hofu yangu ni mtu kusoma comment yako na kwenda kujimezea kiholela bila ushaur wa dactari hizo ie. Diazepam 5mg na Pregabalin 75mg au 150mg

It's better mtu kama yupo vizuri ki afya aka opt minimal alcohol taking natania tu mkuu

By the way Tupo pamoja mkuu

R.I.P MZEE WETU MSABAHA
 
Sawa mkuu sikatai zinasaidia sawa ila hofu yangu ni mtu kusoma comment yako na kwenda kujimezea kiholela bila ushaur wa dactari hizo ie. Diazepam 5mg na Pregabalin 75mg au 150mg

It's better mtu aka opt minimal alcohol drinking natania tu mkuu

By the way Tupo pamoja mkuu

R.I.P MZEE WETU MSABAHA
Mimi sio Daktari ila kwasababu mimi mwenyewe nilishauriwa na Mtaalamu wa mambo ya Saikolojia MIMI👈 huwa zinanisaidia SANA👈 nipatapo habari za Msiba mzito.

Shida ya Pombe inanisababisha nilie kama Mtoto na huwa inanikumbusha na misiba iliyopita. Kwa mfano ninaweza ghafla kuanza kumlilia Bob Marley na kugalagala.

Pombe ni tamu wakati wa furaha kama siku ya kumuapisha raisi kutoka Upinzani nitaogelea kwenye pipa la Ulanzi.🤤
 
Dr. Ibrahim Msabah(72) amefariki muda mfupi uliopita Muhimbili alipopelekwa baada ya kuzidiwa nyumbani kwake, Masaki Dar es Salaam. Katika uhai wake, Msabaha alishawahi kuongoza wizara ya nishati na madini mwaka 2006 mpaka 2007 kama waziri.

Dkt. Msabaha alikuwa rafiki wa karibu wa Hayati Edward Lowassa. Msabaha alijiuzulu uwaziri wa Afrika Mashariki mwaka 2008 pamoja na Nazir Karamagi aliyepokea mikoba ya wizara ya nishati kutoka kwa Ibrahim Msabaha kutokana na kashfa ya Richmond.
Inna li Llahi wa inna Ilayhi rajiun.
 
Safi
 
Acha akili mbovu kenge we, me sijahusisha aliyekufa na vifo vya watu wa miaka ya 1960s, nimesema zamu ya 1960s kuondoka kwa kasi sasa we unadandia gari kwa mbele, utaloa.
Angalia trna ulichoaandika una ubongo wa kuku.Hujui hata interval ya vizazi kupishana eti baada ya miaka 6 mjiandae wa 1970s rudi form two kabsa huna kitu kichwani
 
Back
Top Bottom