Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh2024 mwaka wa mavuno.
Chief acha matani hayoUzao wa 1960s wanaondoka kweli kweli, baada ya miaka 6 unafuata uzao wa 1970s
Mbuzi wa kafaraLaigwanani anasindikizwa na Wengi
Dr Mwakyembe alisema Waziri wa nishati wa wakati huo Dr Msabaha ndiye aliyewang'ata sikio
Sijajua aliwang'ataje [emoji209]
Rip Msabaha
Kuiba kote Jenereta na Viyoyozi vinawashinda?Severe heat alert 🚨
Cardiovascular 🫀 huwa haifanyi masihara na mtu !
Ulitaka waishi milele, ukifika 70 mshukuru Mungu ndiyo miaka tuliyoandikiwa. RIPduuu jamani kuna nini tena mbona watu wanoaondoka hivi a
alikuwa anaumwa nini tena?
Mbuzi wa kafaraDr. Ibrahim Msabah(72) amefariki muda mfupi uliopita Muhimbili alipopelekwa baada ya kuzidiwa nyumbani kwake, Masaki Dar es Salaam. Katika uhai wake, Msabaha alishawahi kuongoza wizara ya nishati na madini mwaka 2006 mpaka 2007 kama waziri.
Dkt. Msabaha alikuwa rafiki wa karibu wa Hayati Edward Lowassa. Msabaha alijiuzulu uwaziri wa Afrika Mashariki mwaka 2008 pamoja na Nazir Karamagi aliyepokea mikoba ya wizara ya nishati kutoka kwa Ibrahim Msabaha kutokana na kashfa ya Richmond.
===============Former Minister of Energy and Minerals, Dr. Ibrahim Msabaha, has passed away on February 13, 2024, at the age of 72, while on the way from his home in Masaki, Dar es Salaam, to Muhimbili National Hospital.
FORMER MINISTER DR. IBRAHIM MSABAHA DIES AT 72
His Sister, Pili Msabaha, confirmed his demise, noting his prolonged illness and frequent hospital visits.
Dr. Msabaha also served as the Minister of East African Cooperation and Member of Parliament for Kibaha Constituency
duniani hatuna makao ya kudumu!Zaburi 90 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Wewe, Bwana, umekuwa makao yetu, Kizazi baada ya kizazi.
² Kabla haijazaliwa milima, wala hujaiumba dunia, Na tangu milele hata milele ndiwe Mungu.
³ Wamrudisha mtu mavumbini, usemapo, Rudini, enyi wanadamu.
⁴ Maana miaka elfu machoni pako Ni kama siku ya jana ikiisha kupita, Na kama kesha la usiku.
⁵ Wawagharikisha, huwa kama usingizi, Asubuhi huwa kama majani yameayo.
⁶ Asubuhi yachipuka na kumea, Jioni yakatika na kukauka.
⁷ Maana tumetoweshwa kwa hasira yako, Na kwa ghadhabu yako tumefadhaishwa.
⁸ Umeyaweka maovu yetu mbele zako, Siri zetu katika mwanga wa uso wako.
⁹ Maana siku zetu zote zimepita katika hasira yako, Tumetowesha miaka yetu kama kite.
¹⁰ Siku za miaka yetu ni miaka sabini, Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini; Na kiburi chake ni taabu na ubatili, Maana chapita upesi tukatokomea mara.
¹¹ Ni nani aujuaye uweza wa hasira yako? Na ghadhabu yako kama ipasavyo kicho chako?
¹² Basi, utujulishe kuzihesabu siku zetu, Tujipatie moyo wa hekima.
Dah wee mwamba bhana[emoji2][emoji2][emoji2]Rafiki yako anapofariki lazima unashtuka na kama unashinikizo la Damu au Moyo umevimba inaweza kuwa ndo ntolee hiyo.
Dawa ya Misiba ni Ligaba 300×2+Diazepam 5mg x2 unasahau hata kama kuna Msiba.
Unabembea tu.
Hapa nilipo naelekea Arusha natumia nguvu ya Codeine ili nilenge madaraja vizuri.Dah wee mwamba bhana[emoji2][emoji2][emoji2]
Halafu bado wanalipiaWajane wajane?
Kama siku aliyoondoka jiwe aiseee sisahahuMimi sio Daktari ila kwasababu mimi mwenyewe nilishauriwa na Mtaalamu wa mambo ya Saikolojia MIMI[emoji118] huwa zinanisaidia SANA[emoji118] nipatapo habari za Msiba mzito.
Shida ya Pombe inanisababisha nilie kama Mtoto na huwa inanikumbusha na misiba iliyopita. Kwa mfano ninaweza ghafla kuanza kumlilia Bob Marley.
Pombe ni tamu wakati wa furaha kama siku ya kumuapisha raisi kutoka Upinzani nitaogelea kwenye pipa la Ulanzi.[emoji1786]
Ina ukweli sana hii bado wengi wa karibu watamfata ngoyai hasa wale wa karibuKwenye tamaduni zetu Chifu huwa haondoki peke yake. Lazima anasindikizwa. (S)
RIP Mzee wa Bangusilo.