stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Freedom of speech maana yake uwe ChawaKwani kuna watu walikuwa wanadhani freedom of speech ina maana ya kupingana na serikali!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Freedom of speech maana yake uwe ChawaKwani kuna watu walikuwa wanadhani freedom of speech ina maana ya kupingana na serikali!
Finland imechagua rais mpya hata hajaapishwa. Alikuwa hana gari na alikuwa nasafiria economy class kwenye ndege. Akishaapishwa anapewa gari mbili za serikali na atayokuwa anaitumia ina miaka 11 tangu inunuliwe. Hii nchi huwa inaipa Tanzania yetu misaada, nchi ambayo hata mkuu wa mkoa huwa anasafiriri kwa business class.Mimi hapo alipoongelea suala la sukari na kulihusisha na afya ndio kanichosha na nimemdharau na pia pale aliposema eti mwananchi anashindwa kulipia matibabu lakini anakuja na V8 jamani nchi ina shida nyingi hii imagine watu tunaowaamini wamefita ujinga wanaongea ujinga
Huyu daktari hata kama ana hoja ila anavyoziwasilisha ni kama vile Tanzania yote ni ya vibopa.Mimi hapo alipoongelea suala la sukari na kulihusisha na afya ndio kanichosha na nimemdharau na pia pale aliposema eti mwananchi anashindwa kulipia matibabu lakini anakuja na V8 jamani nchi ina shida nyingi hii imagine watu tunaowaamini wamefita ujinga wanaongea ujinga
Ni bora niende kwa sangoma nikalishwe kinyesi cha fisi, kuliko kumsikiliza huyu dokta uchwara na dalali wa machanjo ya ajabu ajabu yenye sumu.Hili ni jambo la kisayansi na sio jambo la kimila na utamaduni.
Naunga mkono hoja..Watanzania kawaida hawapendi kuambiwa mambo yanayokaraisha nafsi zao.....wao wanapenda kusikia mambo mazuri......na ndio maana wamekuwa fursa kwa wachungaji na mitume matapeli wanaowalisha maneno matamu huku wakivuna mamilioni.......
Prof Janabi kwa nafasi yake lazima awahusie watu juu ya madhara ya mitindo mibaya ya maisha kitu ambacho waTanzania hawapendi kukisikia....
Takwimu ziko wazi kuwa kumekuwa na ongezeko la wagonjwa wa maradhi hayo pamoja na mengine yanayohusiana na mitindo mibovu ya maisha.........na bahati mbaya kutokana na vipato vyetu kushindwa kumudu gharama za matibabu............
Sasa kwanini tusichukue tahadhari kabla ya hatari.........
Mkiambiwa na watalaamu mnaanza matusi na kejeli.......
Matumizi makubwa ya sukari, pombe Kali na pombe zingine na vyakula vya viwandani hatari kwa afya zetu.......
Inawezekana takwimu za obesity zisiwe kubwa kulinganisha na mataifa lakini kama taifa tunatakiwa kuchukua tahadhari ili tusifikie huko....kwa kuwa hata hao wenye takwimu kubwa hawapendi hali na wanachukua hatua kupambana na hali hiyo...........
Prof Janabi endelea kuwakumbusha hata kama hawapendi lakini iko siku watakumbuka maneno yako wakiwa vitandani.......
Kumbe tatizo kubwa sio utapiamlo bali ni Wataalam wasiokuwa na ujasiri wa kusema ukweli. Utadhani wanatoka sayari ya mbali na hawana macho. Huyo Mheshimiwa ameshasahau ule msemo wa kisayansi usemao " kama huna takwimu kaa kimya usiongee".Leo ninaandika nikiwa na hasira zilizochanganyikana na huzuni kwa upotoshaji mkubwa unaofanywa na huyu daktari pamoja na madaktari wengine uchwara wanaolazimisha ionekane kuwa nchi ipo kwenye tatizo kubwa la unene uliopitiliza wakati ni kinyume chake.
Tumekuwa tukiwasikia msile wanga mara usikun kuleni tu matunda na maji mengi wakati wananchi wengi wanakula tu ili kuzuia msiba na sio kuzingatia mlo kamili kwasababu ya umaskini.
Hizo nguvu mnazotumia kwa ajili ya kikundi cha watu wachache mngetumia kuonyesha ukubwa wa tatizo la lishe kwa wananchi mngepata thawabu. Dr Janabi huna tofauti na mke wa mfalme wa Ufaransa aliyesema watu kama hawana mikate wale keki.
Kwa mujibu wa mtandao wa STATISTA hadi kufikia November 2021 kulikuwa na 31.8% ya watoto wa chini ya miaka miatno wenye utapiamlo uliokithiri (Chronic Malnutrition). Ni 4% tu ya watoto huzaliwa wakiwa overweight.
Kimsingi hivyo vyakula anavyosema Janabi watu wasile ni ndoto za watanzania wengi kuvipata angalau mara moja kwa siku. Mikoa mingi ya Tanzania inakabiliwa na tatizo la lishe. Ninachoona ni ndugu Janabi kudhani maisha anayoishi yeye ndo wanayoishi watanzania wote. ASIJISAHAU
Ninatoa wito kwa serikali za mitaa kupambana ili mashuleni watoto wawe wanapata chakula. Wale wazazi/ walezi wapumbavu wanaokataa kuchangia vyakula kwa kisingizio cha ELIMU BURE wakamatwe watupwe tu ndani maana wanaturudisha nyuma. Haihitaji utafiti kujua kama kuna tatizo kubwa la lishe karibu maeneo yote nchini.
Ukiona hivyo ujue mtu anakula kilichopatikana kadri awezavyo kwani hajui baadaye atapata wapi kingine - unakula ili uishi au unaishi ili ule?Utapiamlo ni pamoja na kula kupitliza kupata kiriba tumbo
Ukiangalia wastaafu wengi ni wahanga wa magonjwa yasiyoambukiza, kama kisukari, presha, kupooza viungo, nk.Profesa Janabi anaongea anachojua Kwa sababu yupo kwenye medical field, anaona jinsi magonjwa yanayotokana na lishe mbovu yanavyotesa Watanzania wengi na kuwa mzigo wa Serikali kwenye matibabu.
Nashangaa sana mtoa mada anapinga kitu gani?!
Umesema kweli broo. Watu wanadanganyana Mitandaoni, kwenye vijarida uchwara, makongamano/Semina za upigaji halafu wanashabikia wasichokijua. Eti ule matunda e.g. malimao au mapera halafu ukalale. Kesho unalalamika vidonda vya tumbo.Mi nashangaa sana, utasikia msile ugali, wali wala ngano vina sukari nyingi, kuleni matunda!!!! Samli ndio ilishapigwa marukuku kabisa, wakati 70% ya waamerica ndio wanayatumia, eti mtakufa na presha
Kwahio watu wanaokula vizuri mfano Ulaya na Japan, hawafi kwa sukari Wala presha? Wao vifo vyao vinatokana na nini? Mwili wa binadamu ni Kama mazao ya musimu mfano mahindi, hata ukiendelea kupalilia na kuweka mbolea baada ya miezi sita yatakauka na kufa, uhai umefika mwishoMpango wa afya sasa hivi unajikita kwenye kuzuia zaidi kuliko kutibu. Magonjwa yasiyoambukiza ndio yanaongoza kwa vifo Tanzania na nchi nyingine kusini mwa Jangwa la Sahara kwa hiyo elimu inahitajika sana zaidi ya hiyo inayotolewa na Prof. Janabi.
Wewe unafikiri kwa sasa Shinikizo la damu na Kisukari zinawapata matajiri tu. Sasa hivi masikini kibao wanaugua Kisukari na Shinikizo la damu na wengi wanakufa mapema kwa kukosa matibabu.
Malnutrition/ utapiamlo umegawanyika mara mbili kuna undernutrition and Overnutrition (Obesity) sasa wewe unataka umlazimishe Dr. Janabi aongelee kitu ambacho sio alichoboea,yeye ni mbobezi kwenye magonjwa hasa moyo na figo ambayo husababishwa kwa kiasi kikubwa na mtindo wa maisha usiofaa.
Siiafiki hoja yako kwa sababu utakaaje kimya huku ndugu zako wakidangaywa mchana kweupe? Mtu kuwa daktari kwa Taaluma haimaanishi anajua vyote.Ukiangalia wastaafu wengi ni wahanga wa magonjwa yasiyoambukiza, kama kisukari, presha, kupooza viungo, nk.
Haya ni magonjwa ambayo hayaanzi ghafla kama mafua. Yanatokana na tabia za ulaji wa vyakula na vinywaji visivyofaa kwa muda mrefu, yaani miaka kadhaa.
Pia siku hizi kuna baadhi ya watoto huzaliwa wakiwa na kisukari tayari kutokana na lishe mbovu ya wazazi.
Watalaamu wabobezi kama Prof Janabi wanatoa elimu kwa nia njema ili watu wajue, wajihadhari kwa manufaa yao, watu wanakuja na kejeli za kijinga.
Kama unadhani unajua si kaa kimya tu wengine wajifunze?
Yani sijui anatuchuliaje binafsi huwa nampuuza sana maana ye anajiona ni bora zaidi ya binadamu wenzie 😕😏Huyu daktari hata kama ana hoja ila anavyoziwasilisha ni kama vile Tanzania yote ni ya vibopa.
Naunga hoja mkono, kuna kipindi flan niliwahi kumskia wazir wa afya akisisitiza juu ya kuongeza virutubisho kwenye vyakulaLeo ninaandika nikiwa na hasira zilizochanganyikana na huzuni kwa upotoshaji mkubwa unaofanywa na huyu daktari pamoja na madaktari wengine uchwara wanaolazimisha ionekane kuwa nchi ipo kwenye tatizo kubwa la unene uliopitiliza wakati ni kinyume chake.
Tumekuwa tukiwasikia msile wanga mara usikun kuleni tu matunda na maji mengi wakati wananchi wengi wanakula tu ili kuzuia msiba na sio kuzingatia mlo kamili kwasababu ya umaskini.
Hizo nguvu mnazotumia kwa ajili ya kikundi cha watu wachache mngetumia kuonyesha ukubwa wa tatizo la lishe kwa wananchi mngepata thawabu. Dr Janabi huna tofauti na mke wa mfalme wa Ufaransa aliyesema watu kama hawana mikate wale keki.
Kwa mujibu wa mtandao wa STATISTA hadi kufikia November 2021 kulikuwa na 31.8% ya watoto wa chini ya miaka miatno wenye utapiamlo uliokithiri (Chronic Malnutrition). Ni 4% tu ya watoto huzaliwa wakiwa overweight.
Kimsingi hivyo vyakula anavyosema Janabi watu wasile ni ndoto za watanzania wengi kuvipata angalau mara moja kwa siku. Mikoa mingi ya Tanzania inakabiliwa na tatizo la lishe. Ninachoona ni ndugu Janabi kudhani maisha anayoishi yeye ndo wanayoishi watanzania wote. ASIJISAHAU
Ninatoa wito kwa serikali za mitaa kupambana ili mashuleni watoto wawe wanapata chakula. Wale wazazi/ walezi wapumbavu wanaokataa kuchangia vyakula kwa kisingizio cha ELIMU BURE wakamatwe watupwe tu ndani maana wanaturudisha nyuma. Haihitaji utafiti kujua kama kuna tatizo kubwa la lishe karibu maeneo yote nchini.
Ona/Tazama: Anakula vizuri, analala pazuri bila kero, usafiri binafsi au wa Serikali (Vieiti) akishindwa sanasana ndo usafiri wa Public. Usimtajie habari za bodaboda au Bajaji. Sasa kwanini asijione bora zaidi ya wenzie? Hajaifahamu wala haijui rangi halisi ya Tanzania huku mitaani.Yani sijui anatuchuliaje binafsi huwa nampuuza sana maana ye anajiona ni bora zaidi ya binadamu wenzie 😕😏
Lakini kama mwanadamu bado hajamaliza hapaswi kudharau mtuOna/Tazama: Anakula vizuri, analala pazuri bila kero, usafiri binafsi au wa Serikali (Vieiti) akishindwa sanasana ndo usafiri wa Public. Usimtajie habari za bodaboda au Bajaji. Sasa kwanini asijione bora zaidi ya wenzie? Hajaifahamu wala haijui rangi halisi ya Tanzania huku mitaani.
LEO UMEONGEA POINT SANA. JANABI AMESHAKUWA MSANII NA ANATAKA MU TREND KAMA AKINA MWIJAKI TU. SIKU HIZI NIMEONA HANA JIPYA. ANAACHA MATATIZO YA MSINGI ANASHIKILIA VITU AMBAVYO SI MATATIZO KWA TAIFA.Leo ninaandika nikiwa na hasira zilizochanganyikana na huzuni kwa upotoshaji mkubwa unaofanywa na huyu daktari pamoja na madaktari wengine uchwara wanaolazimisha ionekane kuwa nchi ipo kwenye tatizo kubwa la unene uliopitiliza wakati ni kinyume chake.