Uchaguzi 2020 Dkt. John Magufuli bado tunamhitaji sana kama Taifa

Cha kushangaza wazungu wamempatia JPM kila tuzo, Mpaka majirani zetu wanamtaka wanamtaka akawaongoze... lakini baadhi ya wa tz. Wenye ubinafsi wanasema hafai... kweli NABII HAKUBALIKI KWAO. Ndio naweza kusema.
Naomba nitajie tuzo mbili tu.
 
Naomba nitajie tuzo mbili tu.
Mshindi wa Tuzo ya ukombozi Africa. Rais Magufuli aliibuka mshindi kutokana na mchango wake wa kiuchumi hasaa katika ukuaji wa miundo mbinu.
Alipewa Tuzo pia ya KUITOKOMEZA CORONA.
 
Kumchagua Magufuli tena ni kufanya nchi kuwa ya chama kimoja....kwa kauli zake za kibaguzi
Kumpa magufuli miaka mitano ni kufanya majimbo ya upinzani yasiwe na maendeleo kwa miaka mitano
 
Kumchagua Magufuli tena ni kufanya nchi kuwa ya chama kimoja....kwa kauli zake za kibaguzi
Kumpa magufuli miaka mitano ni kufanya majimbo ya upinzani yasiwe na maendeleo kwa miaka mitano
Magufuli bado Tunamhitaji sana kama Taifa. Upinzani bado hakuna sera elekezi ambazo zitasongesha mbele Taifa linalojitegemea kiuchumi.
 
Magufuli bado Tunamhitaji sana kama Taifa. Upinzani bado hakuna sera elekezi ambazo zitasongesha mbele Taifa linalojitegemea kiuchumi.
Kwa miaka mliyokaa mmfanya nini kwani.... ni wezi kila siku sema wizi unapishana viwango...
 

It speaks volumes about the poverty of intellect and vision among Tanzania’s elite, ruling classes and educated nationals, it also reveals a fundamental congenital dysfunction in the opposition political parties leadership and the citizenry.

We need Magufuli and we need to change our politics to enjoy the developmental changes we experience in our country today.
 
Ilani ya CCM inayofuta ualimu ngazi ya cheti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sera yetu ni maendeleo ya watu kwanza....
CCM inatambua umuhimu wa kujenga uchumi wa kitaifa ili kuhakikisha kwamba Watanzania ndio wanufaika wakuu wa uchumi na maliasili za nchi na ndiyo wenye kauli juu ya namna uchumi unavyoendeshwa. Sisi sera yetu kuhusu Uchumi ni MAPINDUZI YA UCHUMI KWA MAENDELEO YA WATU
 
Magu mwangalie huyu mja wako kwa jicho la huruma. Mpe hata unaibu wa Abbas
 
Uchumi wa kati una faida gani kwa raia wa Kawaida kama bei ya sukari ipo hivi
 
OH! VERY HOPELESS!
Ukiniambia tunamtaka Magufuli tena maana yake unazungumzia kurutubisha na kuendeleza machungu yafuatayo:-
1.Wananchi kuendelea kubolewa nyumba bila fidia yoyote.
2.Wakulima kuendelea kukopwa mazao yao
3.Wavuvi waendelee kuchomewa nyavu zao bila kutafta ufumbuzi wa tatizo lao
4.Watumishi wa umma waendelee kusotea mshahara usiobadilika wala kupanda daraja
5.Wanufaika wa vyuo vikuu waendelee kuumizwa na makato ya marejesho ya 15%
6.Wahitimu wa vyuo mbalimbali wa tangu 2014 waendelee kukaa vijiweni bila ajira
7.Wanasiasa wa upinzani waendelee kukamatwa hovyo kwa chuki za kisiasa na kuzuia shughuli halali za elimu ya uraia
8.Wananchi walioamua kutumia haki yao kuchagua watanzania wenzao walioko vyama vyama upinzani kuwa viongozi wao, waendelee kubaguliwa kupelekewa huduma muhimu za kimaendeleo pamoja na kuwa wanalipa kodi.
In short ukinambia unamhtaji Magufuli tena maana yake umekubali kuzibeba laana za makundi yote hayo na mengine ambayo yameumizwa na utawala wake miaka 5 huku yeye na chama chake wakijisifu kuwa wameinyoosha nchi. Tafadhari iepuke iepuke laana hiyo ndugu yangu, kama ni wewe wamuhitaji hamia kule Chatto ndiko atajengewa nyumba ya mafao ya kupumzika kama rais mstaafu! October 28, kura zote ni Lissu tu ndio habari inayobamba mioyo ya watanzania!
 
Uchumi wa kati una faida gani kwa raia wa Kawaida kama bei ya sukari ipo hivi
Faida ni nyingi, Faida kubwa ya kwanza ni kuongezeka kwa wigo wa uwekezaji kutoka nje. Wawekezaji wengi wakubwa huogopa kuwekeza mitaji yao kwa nchi fukara (Lower Income economy) kwa sababu zina changamoto nyingi sana zinazosababishwa na mifumo kulegalega.
 
Uchumi wa kati una faida gani kwa raia wa Kawaida kama bei ya sukari ipo hivi
Faida nyingine ni kwamba uwezo wa nchi kukopa katika masoko ya Fedha na mitaji unapanuka kuliko ilivyokua awali. Kwahiyo tunaweza kukopa zaidi na kufanya mambo makubwa zaidi. Ni sawa na mangi awe anakukopesha sukari kilo mbili kwa sababu anajua mshahara wako ni laki moja. Siku akijua mshahara wako umeongezeka hadi laki 3 atakuambia sasa unaweza kukopa hadi kilo 5 bila wasiwasi.
 
Swali lingine, Je? tulipaswa kuwa hapa?

Jibu ni Hapana. Tulipaswa kuwa mbali zaidi. Nchi nyingi tulizolingana nazo kiuchumi wakati tunapata uhuru kwa sasa zipo kwenye uchumi wa kati ulioimarika (Upper-middle income economy). Nchi kama Thailand, Indonesia na Malaysia, wakati tunapata uhuru zilikua maskini kuliko sisi. Lakini kwa sasa zimetuacha mbali sana.
 
Sijui sisi watanzania tulikua wapi kudai tume ya Uchaguzi , majirani zetu Kenya wanashangaa, mgombea ndiye anayeteua wajumbe, wakurugenzi na makamishna wa tume kweli tutegemee mkurugenzi atamwangusha aliyempa ugali?? Tuamke tuamke
 
Sijui sisi watanzania tulikua wapi kudai tume HURU ya Uchaguzi , majirani zetu Kenya wanashangaa, mgombea ndiye anayeteua wajumbe, wakurugenzi na makamishna wa tume kweli tutegemee mkurugenzi atamwangusha aliyempa ugali?? Tuamke tuamke
Tulibanwa sana, kumbuka viongozi wa upinzani waliwekwa ndani na account zao kufungwa. Ilidhamiriwa wafungwe jela kama si michango ya wanachama wao. Hapa tulipofika pia ni hatua moja mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…