Dkt. Kahyoza: Magufuli alifanya makosa makubwa kuhamishia Serikali Dodoma, gharama zimekuwa mara mbili

Dkt. Kahyoza: Magufuli alifanya makosa makubwa kuhamishia Serikali Dodoma, gharama zimekuwa mara mbili

ushauri mzuri,ila huwezi kulalamikia mtu ambaye hayupo ushauri wake ulenge waliopo sasa
 
Moja ya thread ambazo wachangiaji wengi wameendana na theme ya GREAT THINKER.
 
Mtanzania hata akiwa Doctor uwezo wake wa kufikiri anakuwa hana tofauti na darasa la saba

Sasa hapo kosa ni la Magufuli kuhamishia serikali Dodoma au ni hao watumishi na viongizi wao hawana nidhamu

Badala awambie viongozi wao wawajibishe viongozi wanaozurua Dar to Dom Kila siku yeye anamlaumu Magufuli

Mwacheni mzee wa watu apumziike Kwa amani na hivyo vidigree vyenu uchwara

Unadhani Magufuli angekuwepo Kuna mtumishi angefuja pesa za walipa Kodi Kwa kuzuruzura Dar to Dom Kila siku?

Kama kweli wewe ni Doctor katika hili ulitakiwa useme watumishi hawana nidhamu ya pesa za walipa Kodi na viongizi wao wameshindwa kuwasimamia

Huyo Doctor amewakilisha kundi kubwa la wasomi wa Tanzania wamesoma lakini hawajaelimika

Pumbavu kabisa
 
Back
Top Bottom