Mtanzania hata akiwa Doctor uwezo wake wa kufikiri anakuwa hana tofauti na darasa la saba
Sasa hapo kosa ni la Magufuli kuhamishia serikali Dodoma au ni hao watumishi na viongizi wao hawana nidhamu
Badala awambie viongozi wao wawajibishe viongozi wanaozurua Dar to Dom Kila siku yeye anamlaumu Magufuli
Mwacheni mzee wa watu apumziike Kwa amani na hivyo vidigree vyenu uchwara
Unadhani Magufuli angekuwepo Kuna mtumishi angefuja pesa za walipa Kodi Kwa kuzuruzura Dar to Dom Kila siku?
Kama kweli wewe ni Doctor katika hili ulitakiwa useme watumishi hawana nidhamu ya pesa za walipa Kodi na viongizi wao wameshindwa kuwasimamia
Huyo Doctor amewakilisha kundi kubwa la wasomi wa Tanzania wamesoma lakini hawajaelimika
Pumbavu kabisa