Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mparee mmoja mjinga sana sijawahi kuona waache namba dar ofisi ziko darTaasis na Idara wameweka Namba za simu za Dodoma kwenye mitandao na zote hazipatikani, hata sijui wanahudumiaje wanaotaka huduma zao...
Bora wangeacha tu huko Dar ila wapatikane
Dodoma is a right decision - wanaolaumu Mungu aendelee kuwapa maisha marefu wote watabadili misimamoKosa alifanya Nyerere back in 1973...Aliamua kuhamia dodoma bila ya yeye mwenyewe kuhamia kule...kama angehamia kikweli kweli dodoma, 50 years now Govt capital ingekuwa dodoma na Dsm ikabaki kuwa port and business capital.
Unfortunately baada yake hakuna Raisi aliyependa kwenda Dodoma, somehow, somewhere alitakikana mtu wa kufanya maamuzi, twende dodoma au tubaki Dsm na hicho ndicho Jiwe alikifanya...CCM kwa kuwa ni genge la wanafiki wamekuwa wakikwepa mjadala huu. Ilitakiwa baada ya Julius Nyerere waamue ikiwa dhamira ya Dodoma ingalipo au imekufa na mwasisi wake in 1999.
Kumlaumu hayati mwendazake kwa kufanya maamuzi ambayo chama kimejinasibisha kwayo tangu 1973 siyo haki na hivyo huyo msomi hakutenda haki!
Taasisi zote?Taasis na Idara wameweka Namba za simu za Dodoma kwenye mitandao na zote hazipatikani, hata sijui wanahudumiaje wanaotaka huduma zao...
Du haya bwana....Mparee mmoja mjinga sana sijawahi kuona waache namba dar ofisi ziko dar
USSR
Mtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi.
Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au Dodoma kwa Ndege na wakati huo Magari yanasafiri kuwafuata Airport na kuwapeleka kwenye shughuli zao na baadaye wanarejea kwa Ndege tena huku magari yakiwafuata kwa njia ya Barabara.
View attachment 3017571
Pia Soma: Ilikuwa ni jambo jema Serikali kuhamia Dodoma maana Kivukoni na Posta ni Bandarini, Ashukuriwe Shujaa Magufuli!
We ndio mjinga usiyejua kutafakariMparee mmoja mjinga sana sijawahi kuona waache namba dar ofisi ziko dar
USSR
We ndio huna uwezo wa kuelewa na PhD huwezi kuipataPumbavu kabisa
Kwa style hii, nimeghairi kusoma PHd kama hawa ndio phd holders wenyewe. Hovyo kabisa. Yan hapo Baba Levo ndio utafikiri msomi wa phd kuliko hiyo jamaa
Sawa kwakua hapa nilipofikia kielimu nili accomplish kwa pumbu zakoWe ndio huna uwezo wa kuelewa na PhD huwezi kuipata
Unafikiri Magu angekuwepo wangefanya hayo wanayoyafanya?Kila alipogusa magu ni hasara tupu tunajikaza tu.
Tatizo sio Magufuli tena,Tatizo ni hao Watumishi ambao hawataki kuhamia Dodoma moja kwa mojaMtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi.
Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au Dodoma kwa Ndege na wakati huo Magari yanasafiri kuwafuata Airport na kuwapeleka kwenye shughuli zao na baadaye wanarejea kwa Ndege tena huku magari yakiwafuata kwa njia ya Barabara.
View attachment 3017571
Pia Soma: Ilikuwa ni jambo jema Serikali kuhamia Dodoma maana Kivukoni na Posta ni Bandarini, Ashukuriwe Shujaa Magufuli!
Si mama yao huyu anawalegezea macho utasema yuko na LuluUnafikiri Magu angekuwepo wangefanya hayo wanayoyafanya?
Kwani mzee wako anazungumziwa kwenye maswala binafsi ya nyumbani?Ni kweli, ila ifike kipindi huyo mzee aachwe apumzike huko aliko Kama kuna kupumzika.
Kwani mzee wako anazungumziwa kwenye maswala binafsi ya nyumbani?Ni kweli, ila ifike kipindi huyo mzee aachwe apumzike huko aliko Kama kuna kupumzika.