Dkt. Kahyoza: Magufuli alifanya makosa makubwa kuhamishia Serikali Dodoma, gharama zimekuwa mara mbili

Huyo Dr. atakuwa punguani kabisa.aliupata udokita Kwa kuandikiwa tafiti uchwara yake.anayesababisha gharama ni huyo mama Yao ambaye amekataa kukaa Dodoma na badala yake amekuwa akikaa sehemu tatu yaani Zanzibar,dar es na dodoma.hivyo Hivyo na watumishi wake. Ili kupunguza gharama huyo mama yenu akae Dodoma na apunguze safari zake zisizo na tija
 
Dkt. Kahyoza ni mtanzania? Uraia wake ? Hawa kina Kahyoza hawa wanajificha kwenye kagera hawa wachunguzwe
 
Taasis na Idara wameweka Namba za simu za Dodoma kwenye mitandao na zote hazipatikani, hata sijui wanahudumiaje wanaotaka huduma zao...
Bora wangeacha tu huko Dar ila wapatikane
Mparee mmoja mjinga sana sijawahi kuona waache namba dar ofisi ziko dar

USSR
 
Dar wanakua wanaoenda kufanya nini?
Makao makuu ya nchi ni Dodoma na ofisi ziko DOdoma nadhani gharama zinakua za watu binafsi wanaoenda shopping Dar.

Nadhani bado kuna watu wanahoma ya Dar na hawapendi Dodoma.
Baada ya miaka kama 10 ijayo itakua imeshazoeleka Dodoma ni makao makuu ya nchi na hizi homa za Dar zitakua zimeisha.
 
Dodoma is a right decision - wanaolaumu Mungu aendelee kuwapa maisha marefu wote watabadili misimamo

Mbongo bila lawama na kukosoa hujisikia kilema
 
Taasis na Idara wameweka Namba za simu za Dodoma kwenye mitandao na zote hazipatikani, hata sijui wanahudumiaje wanaotaka huduma zao...
Taasisi zote?

Acha uongo
 
Kila alipogusa magu ni hasara tupu tunajikaza tu.
 
Pumbavu kabisa
Kwa style hii, nimeghairi kusoma PHd kama hawa ndio phd holders wenyewe. Hovyo kabisa. Yan hapo Baba Levo ndio utafikiri msomi wa phd kuliko hiyo jamaa
 
Tatizo sio Magufuli tena,Tatizo ni hao Watumishi ambao hawataki kuhamia Dodoma moja kwa moja
 
Angekuwa na maana kama angesema serikali ya ccm ilifanya makosa makubwa sana kuteua dodoma kama makao makuu ya nchi. Maana kama ni kuhamia ilikuwa ni lazima waamie haijalishi ni awamu gani.

Magufuli angekuwa amefanya makosa kuhamishia serikali dodoma endapo kama mpango huo usingekuwepo tangu awali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…