Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Duru zinatabanaisha huenda Rais Samia akafanya mabadiriko kwenye baraza la mawaziri hivi karibuni huku ikitarajiwa Dkt. Kalemani kurejeshwa kwenye baraza tarajiwa na atapewa ahudumu wizara ya mifugo wakati huohuo aliyepo sasa ikitarajiwa atafutwa kazi.
Mabadiriko hayo pia yatagusa baadhi ya wizara na ikitabiriwa bwana January Makamba atahamishiwa wizara ya madini huku anayehudumu madini bwana Biteko atahamishiwa nishati.
Mungu ibariki Tanzania.
Mabadiriko hayo pia yatagusa baadhi ya wizara na ikitabiriwa bwana January Makamba atahamishiwa wizara ya madini huku anayehudumu madini bwana Biteko atahamishiwa nishati.
Mungu ibariki Tanzania.